Safewayfoodstore

Safewayfoodstore FRESHY FOOD,FRUITS FROM FARM/GRAIN SUPPLIER

07/06/2026

We deliver only quality 😤 🙌
Local & worldwide 🌐
Mteja wetu wa Tanga ni ushahidi kwamba ubora hujijengea imani. 😊🌰🍓🍇

Haijapita hata wiki tangu tumpelekee stock ya matunda na mixed nuts, leo ametuagizia tena. Asante kwa kuendelea kuiamini Safeway Foodstore! 💚🙏

07/06/2026

Mteja wetu wa Tanga ni ushahidi kwamba ubora hujijengea imani. 😊🌰🍓🍇
Haijapita hata wiki tangu tumpelekee stock ya matunda na mixed nuts, leo ametuagizia tena. Asante kwa kuendelea kuiamini Safeway Foodstore! 💚🙏

🌿 Fresh Detox Juice🍏 Natural & Healthy🥒 No Added Sugar🌱 100% Natural Ingredients📞 0755711120
06/06/2026

🌿 Fresh Detox Juice
🍏 Natural & Healthy
🥒 No Added Sugar
🌱 100% Natural Ingredients
📞 0755711120

04/06/2026

Pure kienyeji

Banana🍌 4800Tomatoes 🍅 3000Mangoes 🥭 4500Avocado 🥑 3000Eggplant 🍆 1000Vegetables 3000Red mangoes 🥭 4500Apples 🍎 10000Pea...
03/06/2026

Banana🍌 4800
Tomatoes 🍅 3000
Mangoes 🥭 4500
Avocado 🥑 3000
Eggplant 🍆 1000
Vegetables 3000
Red mangoes 🥭 4500
Apples 🍎 10000
Peas 🍐6000
Cabbage 3000
Papaya 6000

02/06/2026

….

“Matunda madogo, nguvu kubwa kwa afya yako!” 🍓🫐

Usidharau ukubwa wao— berries k**a strawberries ,blue berries,raspberries,blackberry,gooseberry n.k ni hazina ya virutubisho vinavyolinda mwili wako kila siku.

Faida zake kiafya:

✨ Huimarisha kinga ya mwili
Yana antioxidants za kutosha k**a vitamini C nyingi ambazo husaidia mwili kupambana na magonjwa mara kwa mara.

✨ Hulinda moyo wako
Yana antioxidants (hasa anthocyanins) zinazosaidia kupunguza shinikizo la damu na kulinda mishipa ya damu.

✨ Huongeza afya ya ubongo 🧠
Husaidia kumbukumbu na kupunguza hatari ya magonjwa ya uzee k**a kupoteza kumbukumbu.

✨ Hupunguza uvimbe mwilini (anti-inflammatory)
Hii husaidia kupunguza hatari ya magonjwa sugu k**a kisukari na saratani.

✨ Husaidia mmeng’enyo wa chakula
Yana nyuzinyuzi (fiber) zinazoboresha afya ya tumbo na kuzuia choo kigumu.

✨ Huchangia ngozi yenye afya ✨
Antioxidants hulinda ngozi dhidi ya kuzeeka mapema na madhara ya mazingira.

📌Ushauri:
Kula berries hizi mara kwa mara—ziwe fresh, kwenye smoothie, juisi n.k

“Afya bora haiji kwa bahati—hujengwa na uchaguzi wako wa kila siku.”

Chagua kuongeza berries 🍓🫐 kwenye lishe yako leo, na uone utofauti wake

Inspired by

Health is wealth 🙏
02/06/2026

Health is wealth 🙏

New month, Freshy energy, Healthy choices
01/06/2026

New month, Freshy energy, Healthy choices

Health is wealth 🫡 🥦 🥦  🍊  🍍 🍍 🥭 🥭
30/05/2026

Health is wealth 🫡
🥦 🥦 🍊 🍍 🍍 🥭 🥭

Siri Usiyoijua kuhusu Pili Pili😘😘 Uhal gani,natumai humzima Wa Afya tusiache kusifu na kuabudu maana bila Mwenyezi Mungu...
09/02/2025

Siri Usiyoijua kuhusu Pili Pili😘😘 Uhal gani,natumai humzima Wa Afya tusiache kusifu na kuabudu maana bila Mwenyezi Mungu kutujaalia hatuwez kutoboa kwa kwel🥲🥲🥲 Leo napenda kuizungumzia pili pil juu ya uwezo wake wa kukukinga na kukutibu magonjwa mengi Ukiacha khofu ya kula na kwenda kupata tabu choon ukiwa mwenyew na machoz ya kikutoka k**a kifaranga alie kosa mama🥲🥲 basi jua umetumia tiba kwa gharama nafuu sana Leo napenda nizungumzie upande wa Afya ya uzaz kwa jinsia zote 2 Unakuta mwanamke anakosa hamu au hafiki kilelen Uke wa barid sana k**a maji ya makambako🥲🥲 Uke Ukipata shuruba unatanuka Uke kukosa Ile harufu asilia Ngoz ya uke inapauka k**a imepigwa na vumb la dodoma 🥲🥲🥲 Kwa upande wa mwanaume k**a unakosa hamu baada ya kuutupa mzigo Mashine kunywea kabla ya kufika mwisho Mashine kuwah kufika k**a kuku kishingo Mashine Kushindwa kusimama imara k**a chuma Kushindwa kuhimil mikiki ya mwenza wako pumzi kisoda Sasa basi achana na stor zote ulizosikia kuhusu pili pil na kisha anza kunisikiliza mim ndugu yako/jamaa yako/mpendwa wako Jitahid kwenye kila msosi wako hukos kutumia pili pili moja yenye ukali mara dufu katika ulaji wako wa mlo mara 3 kwa siku.....Pia itakusaidia kukukinga na hatar ya kupata saratan zote 🙏🙏🙏 NB: Kula uwezavyo haina kiwango cha siku,Ukiona Minyegez inakuzidia punguza kiwango cha ulaji usje kubaka au kubakwa🥲🥲🥲🥲 Imeandikwa na One and Only Magai jr
asante 🙏

Address

Warioba
Dar Es Salaam
MIKOCHENIWARIOBA

Telephone

+255755711120

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Safewayfoodstore posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Safewayfoodstore:

Share