29/04/2026
Je, umewahi kuchelewesha kufanya vipimo vya afya kwa sababu ya gharama?
Afya Kibubu ni suluhisho rahisi na la uhakika. Unachofanya ni kuweka pesa kidogo kidogo kulingana na uwezo wako, na akiba hiyo inakuwa tayari kutumika unapohitaji kufanya vipimo vya afya bila presha ya kifedha.
Afya Kibubu si tu akiba ya pesa, bali ni uwekezaji wa moja kwa moja kwenye maisha yako.
Anza leo weka kidogo, linda afya yako kwa uhakika kesho.