Oliver AFYA

Oliver AFYA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Oliver AFYA, Health & Wellness Website, Dar es Salaam.

03/02/2026

❗HILI NI SULUHISHO LA MAGONJWA SUGU YASIYOAMBUKIZA.

KWA TZS 30,000/=

✅Utamuona daktari

✅Utafanya uchunguzi wa mwili wako kubaini vyanzo vya
magonjwa yanayokutatiza

✅Utapendekezewa suluhisho kupitia lishe salama za afya
zinazoondoa Chanzo cha Tatizo kwa magonjwa
Yasiyoambukiza

k**a Presha, kisukari, kansa,matatizo ya in na Figo, changamoto za mmeng'enyo wa chakula, tumbo kujaa gesi, bawasili, Fangasi, UTI, PID, Nguvu za kiume, kiwango kidogo cha mbegu, maumivu ya mifupa na mgongo, miguu kuwaka moto, ganzi na matatizo ya Ngozi.

____________________________________________________________________________

📍 Tunapatikana DAR ES SALAAM na mikoa yote.

📞/WHATSAPP NO : 0743 978 931

JINSI LISHE DUNI INAVYO HARIBU HORMONE. 1,Ukosefu wa mafuta mazuri mwilini✍️Bila mafuta ya kutosha estrogen hushuka.2,Up...
03/02/2026

JINSI LISHE DUNI INAVYO HARIBU HORMONE.
1,Ukosefu wa mafuta mazuri mwilini
✍️Bila mafuta ya kutosha estrogen hushuka.
2,Upungufu wa protein.
✍️Protini hujenga homon na mayai ya uzazi bila protini ovulation hushindwa.
3,Upungufu wa iron(damu kidogo)
✍️Hedhi hubadirika mwili unachoka sana.
4,kukosa vitamini$madini(zinc,vitamini D,B complex)
✍️Homon zinapoteza balance.
5,Kupungua uzito sana au kula mlo mmoja tuhuu

LISHE DUNINHUPELEKEA MADHARANKAMA.1,Mvurugiko wa hedhi inaweza kuchelewa,kupata kwa uchache au kuto pata kabisa.2,Mayai ...
03/02/2026

LISHE DUNINHUPELEKEA MADHARANKAMA.
1,Mvurugiko wa hedhi inaweza kuchelewa,kupata kwa uchache au kuto pata kabisa.
2,Mayai kutokukomaa vizuri(inasababisha ugumu wa kupata mimba).
3,Ukavu ukeni(ute kupungua na kupelekea maumivu wakati wa tendo.
4,Hatari ya mimba kutoka au mtoto kuzaliwa na uzito mdogo sana.
5,Uchovu mwingi, upungufu wa damu(Anemia) mwili hauna nguvu ya kubeba mimba.

27/01/2026

WAHI TIBA KUEPUKA CHANGAMOTO KUWA KUBWA

27/01/2026
KULA VYAKULA VYENYE VIRUTUBISHO  VINAVYO Linda mwiliKujenga mwiliKukinga mwili. Na kuup mwili nguvu
26/01/2026

KULA VYAKULA VYENYE VIRUTUBISHO VINAVYO
Linda mwili
Kujenga mwili
Kukinga mwili.
Na kuup mwili nguvu

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONE IMBALANCE) KWA WANAWAKEUPUNGUFU WA HOMONI YA PROGESTERONEHii ndio aina kubwa zaid...
23/01/2026

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONE IMBALANCE) KWA WANAWAKE

UPUNGUFU WA HOMONI YA PROGESTERONE

Hii ndio aina kubwa zaidi ya mvurugiko wa homoni inayowasibu wanawake wengi sana wa rika zote. Vyanzo mara nyingi huwa ni mfumo wa ulaji pamoja na matumizi ya njia mbalimbali za uzazi wa mpango.

📍Dalili zake ni pamoja na:

Premenstrual syndrome (Hali inayomkumba mwanamke wiki moja hadi mbili kabla ya kuona siku zake k**a uchovu, miwasho sehemu za siri, vipele vyekundu au vyeusi hasa usoni, pamoja na mabadiliko ya mood)

🍡Kutoka kwa mimba

🍡Kuongezeka uzito ghafla

🍡Wasiwasi (Anxiety)

🍡Kukosa usingizi

🍡Maumivu au Vimbe kwenye maziwa

🍡Kupata Kizunguzungu mara kwa mara

→ Ugumba

👉🏻 UPUNGUFU WA ESTROGEN

Aina hii ya mvurugiko wa homoni ipo zaidi kwa wanawake wanaopitia ukomo wa hedhi kutokana na umri (menopause)

ZIJUE FAIDA 9 ZA  TIBA YETU YA PID 1⃣huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanao...
21/01/2026

ZIJUE FAIDA 9 ZA TIBA YETU YA PID

1⃣huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaoshare vyoo

2⃣inatibu Fangasi sugu ukeni, na U.T.I sugu
3⃣Ni nzuri sana kwa wenye P.I.D
4⃣huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa na kurudisha ute ute unaohitajika

5⃣Inafanya uke kuwa msafi na mkavu muda wote.
6⃣Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovurugika.

7⃣Inakaza misuli ya uke uliolegea na kuwa tight.
8⃣Inaondoa maumivu ya tumbo chini ya kitovu. (chango)
9⃣ inaondoa michubuko ukeni,.

TIBU CHANGAMOTO YAKO SASA KUEPUKA GHARAMA HAPO BADAYE
20/01/2026

TIBU CHANGAMOTO YAKO SASA KUEPUKA GHARAMA HAPO BADAYE

🥦TIBA YA AFYA YA UZAZI KWA LISHE SALAMA ZA MWILI AMBAZO   🥬Zitasafisha mwili    🥬Zitatibu afya ya uzazi    🥬zitajenga af...
19/01/2026

🥦TIBA YA AFYA YA UZAZI KWA LISHE SALAMA ZA MWILI
AMBAZO
🥬Zitasafisha mwili
🥬Zitatibu afya ya uzazi
🥬zitajenga afya ya uzazi
🥬Zitatibu afya ya uzazi.

✅️TUNAPATIKANA MIKOA YOTE TANZANIA
0️⃣7️⃣4️⃣3️⃣9️⃣7️⃣8️⃣9️⃣3️⃣1️⃣

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Oliver AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share