Tanlink Medical Tourism Agency

Tanlink Medical Tourism Agency The Most Reliable Medical Travel Agency Dealing with Facilitation Of Medical Treatment Globally. CONTACT US:
0786-33-34-64
0763-36-34-64

Tanlink medical Tourism Agency tunawatakia Mapumiziko Mema ya Sikukuu ya Nane Nane
08/08/2026

Tanlink medical Tourism Agency tunawatakia Mapumiziko Mema ya Sikukuu ya Nane Nane

06/08/2026

And this is how we end Birthday celebration of Our Operation Manager Madam Aurelia πŸŽ‚

Leo, tarehe 6 Agosti, familia ya Tanlink inaungana kwa furaha kumpongeza Madam Aurelia katika siku yake ya kuzaliwa.Tuna...
06/08/2026

Leo, tarehe 6 Agosti, familia ya Tanlink inaungana kwa furaha kumpongeza Madam Aurelia katika siku yake ya kuzaliwa.

Tunathamini uongozi wake, weledi, kujituma, na mchango wake mkubwa katika kuhakikisha wagonjwa wetu wanapata huduma bora za uratibu wa matibabu ndani na nje ya nchi. Ameendelea kuwa sehemu muhimu ya mafanikio ya Tanlink kupitia moyo wake wa huduma na kujitolea.

Tunamuombea afya njema, hekima, mafanikio makubwa zaidi, na baraka tele katika mwaka huu mpya wa maisha. Mungu akuongoze katika kila hatua na azidi kukufungulia milango ya neema na mafanikio.

πŸ₯³ Happy Birthday, Madam Aurelia!

🩺✈️ Je, unahitaji Visa ya Matibabu kwenda India kwa uharaka?TANLINK Medical Tourism Agency iko hapa kwa ajili yako! Tuna...
05/08/2026

🩺✈️ Je, unahitaji Visa ya Matibabu kwenda India kwa uharaka?

TANLINK Medical Tourism Agency iko hapa kwa ajili yako! Tunakusaidia kupata Visa yako ndani ya masaa 10 hadi 48 tu! πŸš€

Hatusaidii na Visa pekee, tunashughulikia safari yako yote:
βœ… Visa
βœ… Airport services
βœ… Safari (Travel)
βœ… Malazi (Accommodation)
βœ… Miadi ya Kimatibabu (Medical Appointment)

Usisumbuke na michakato migumu. Piga simu sasa au ututembelee ofisini kwetu. Afya yako ni kipaumbele chetu! ❀️

πŸ“ž Wasiliana nasi: 0786 333 464 / 0763 363 464
πŸ“ Tupo hapa: Dar es Salaam, Posta mpya, mtaa wa Kisutu/India Haidery plaza, gorofa ya pili.

🩺 The Good Doctor’s Dinner Talk | An Exclusive Medical Knowledge-Sharing EveningJoin leading medical experts for an insi...
31/07/2026

🩺 The Good Doctor’s Dinner Talk | An Exclusive Medical Knowledge-Sharing Evening

Join leading medical experts for an insightful evening dedicated to advancing clinical knowledge and professional networking.

This exclusive session will explore the remarkable journey of gastrointestinal and hepatopancreatobiliary (GI & HPB) endoscopy through three decades of innovation, experience, and evolving clinical practice.

πŸ“– Main Topic
β€œEvolution and Advances in GI & HPB Endoscopy – A Perspective of 3 Decades of Experience.”

πŸŽ™ Featured Speakers
πŸ‘¨β€βš•οΈ Dr. Swaleh Pazi – Muhimbili National Hospital
πŸ‘¨β€βš•οΈ Dr. Vipulroy Rathod – Fortis Hospital, India

πŸ‘₯ Who Should Attend?
β€’ Internal Medicine Specialists
β€’ General Surgeons
β€’ Gastroenterologists
β€’ Medical Doctors
β€’ Healthcare Professionals interested in GI & HPB Endoscopy

πŸ“… Date: Friday, 21st August 2026
πŸ•– Time: 7:00 PM – 10:00 PM
πŸ“ Venue: Aura Suites, Upanga Lumumba Road

Expand your clinical knowledge, exchange ideas with fellow professionals, and learn from renowned experts with decades of practical experience.

πŸ“ž Reserve your seat today: 0758 583 583

Powered by Tanlink Medical Tourism Agency & Good Doctor App.

27/07/2026
Leo, Tanlink Medical Tourism Agency imepata fursa ya kutoa huduma za matibabu na ushauri wa afya bila malipo kwa wafanya...
27/07/2026

Leo, Tanlink Medical Tourism Agency imepata fursa ya kutoa huduma za matibabu na ushauri wa afya bila malipo kwa wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania katika Makao Makuu ya shirika.

Kupitia madaktari bingwa na wataalamu wa afya, wafanyakazi wamepata fursa ya kufanya uchunguzi wa awali, kupata ushauri wa kitaalamu kuhusu afya zao, pamoja na kuelekezwa hatua sahihi za matibabu pale ilipohitajika.

Tunaamini kuwa kinga ni bora kuliko tiba, na kuwekeza katika afya za wafanyakazi ni kuwekeza katika ufanisi, ustawi na maendeleo ya taasisi.

22/07/2026

Ushirikiano na wataalamu wa afya ni nguzo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya kwenye huduma za afya.

Tunashukuru madaktari bingwa wa Kitengo cha Magonjwa ya Ndani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushiriki nasi katika presentation kuhusu Medical Tourism na suluhisho za kidijitali zinazorahisisha upatikanaji wa huduma za afya.

Kupitia majadiliano na kubadilishana uzoefu, tunaendelea kujenga ushirikiano utakaowezesha Watanzania kupata huduma bora za afya ndani na nje ya nchi.

Pamoja, tunaijenga Tanzania yenye huduma za afya zinazofikika kwa urahisi.

Ushirikiano na wataalamu wa afya ni nguzo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya kwenye huduma za afya.Tunashukuru madak...
22/07/2026

Ushirikiano na wataalamu wa afya ni nguzo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya kwenye huduma za afya.

Tunashukuru madaktari bingwa wa Kitengo cha Magonjwa ya Ndani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushiriki nasi katika presentation kuhusu Medical Tourism na suluhisho za kidijitali zinazorahisisha upatikanaji wa huduma za afya.

Kupitia majadiliano na kubadilishana uzoefu, tunaendelea kujenga ushirikiano utakaowezesha Watanzania kupata huduma bora za afya ndani na nje ya nchi.

Pamoja, tunaijenga Tanzania yenye huduma za afya zinazofikika kwa urahisi.

Address

Posta Mpya Mtaa Wa Kisutu/india Haidery Plaza Gorofa Ya Pili
Dar Es Salaam
12324

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanlink Medical Tourism Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share