Neema Herbalist Co. LTD

Neema Herbalist  Co. LTD Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Neema Herbalist Co. LTD, UBUNGO Plaza STREET, Dar es Salam.

Huu ni ukurasa maalumu kwa ajili ya kuelimisha kuhusu dawa mbalimbali za asili zinazo tibu na kuponyesha magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya

JINSI MTI WA MVUNGE UNAVYO TUMIKA KUONGEZA UKUBWA WA MAUMBILE YA KIUME.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Mahitaji : 1. Tunda la mti wa Mvunge ililo k...
11/11/2025

JINSI MTI WA MVUNGE UNAVYO TUMIKA KUONGEZA UKUBWA WA MAUMBILE YA KIUME.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Mahitaji :

1. Tunda la mti wa Mvunge ililo komaa vizuri ( Mtaalamu wa miti au mimea / Herbalist au Botanist ana uwezo wa kujua tunda ambalo lipo tayari kwa kuchumwa.) ( unatakiwa kupata matunda mawili)

2. Uume wa ng'ombe. ( Utaupata machinjioni)

3. Nyongo ya n'gombe. ( Utaipata machinjioni pia)

4. Utomvu wa mti unaitwa " Mpamba wake". ( Huu mti wa Mpamba wake unatumika sana kwenye masuala ya uzazi kwa wanawake. Unasafisha njia ya uzazi, unarutubisha mayai na unatibu na kuponyesha kabisa tatizo la mimba kuchoropoka) .

5. Mbegu za ubuyu

Matayarisho. ......................

Kwa MATAYARISHO na MATUMIZI tembelea blogu yetu :πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ WWW.NEEMAHERBALIST.BLOGSPOT.COM.

Mchanganyiko wa kitaalamu wa vitu tajwa hapo juu hutengeneza mafuta ya Mvunge na Unga wa Mvunge ambavyo vyote kwa pamoja hutumika KUREFUSHA na kunenepesha
Uume ndani ya siku ishirini na moja na mabadiliko unaanza kuyaona siku ya saba.

METAYARISHWA NA DUKA LA KUUZA DAWA ZA ASILI NA MIMEA LA NEEMA HERBALIST.

SIMU : πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

WHATSAPP : +255 745 - 433 595.

AU KAWAIDA : +255 766 - 53 83 84.

24/10/2025

DOCUMENTARY MAALUMU KUHUSU: JINSI YA KUONDOA KITAMBI, MANYAMA UZEMBE, UNENE NA UZITO KWA KUTUMIA DAWA YA ASILI. ....................

Ni documentary inayo onyesha na Ku fundisha kwa vitendo, jinsi ya: πŸ‘‡

1. Kuondoa Kitambi.

2. Kuondoa Manyama Uzembe.

3. Kuondoa unene.
4. Na kupunguza uzito.

Kwa KUTUMIA πŸ‘‡

1. DAWA ya ASILI iitwayo MKATAA KITAMBI.
2. Ndizi mbichi za kupikwa.
3. Maharage
4. Karanga za kukaanga na
5 N**i.

Ndani ya documentary hii, wahusika mbalimbali, wenye vitambi vilivyo pitiliza, wenye manyama Uzembe, wenye unene na uzito ulio pitiliza.

Wataonekana wakiwa wanatumia πŸ‘‡

1. Dawa ASILI ya MKATAA KITAMBI.
2. Ndizi mbichi za kupikwa ( Ambazo zina fanyiwa maandalizi maalumu kwanza kabla ya kupikwa na zinapikwa kwa utaratibu maalumu)

3. Maharage.

4. Karanga za kukaanga na

5. N**i.

Na ndani ya siku ishirini na nane, washiriki wote wataonekana tayari wakiwa πŸ‘‡

1. Vitambi vyao vikiwa vimeondoka vyote na matumbo kuwa flat kabisa.

2. Manyama Uzembe yote yakiwa yameondoka.

3. Unene na uzito ukiwa umepungua kwa kiwango cha hali ya juu Sana.

Documentary hii itaonyeshwa kupitia You Tube Channel yetu kuanzia tarehe 05 December 2025 na itawahusisha washiriki kutoka mkoa wa Dar Es Salaam.

Kwa taarifa na maelezo zaidi KUHUSU documentary hii, tutembelee kupitia tovuti yetu ambayo ni : WWW dot NEEMAHERBALIST dot BLOGSPOT dot COM.

SIMU: WHATSAPP: 0745 - 433 595

AU KAWAIDA : 0766 - 53 83 84.

MWANAUME UJUE MWILI WAKO:Ili mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa ni lazima mambo yafuatayo yatokee.1. Ni lazima kwanza ...
22/10/2025

MWANAUME UJUE MWILI WAKO:

Ili mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa ni lazima mambo yafuatayo yatokee.

1. Ni lazima kwanza upate wazo la kufanya tendo la ndoa. Wazo la kufanya tendo la ndoa hunaswa kwenye mishipa ya fahamu iliyopo katika ubongo na hunaswa k**a camera inavyo nasa picha au video.

2. Mishipa ya fahamu katika ubongo ikisha nasa hilo wazo la kufanya tendo la ndoa, hulichukua na kulisafirisha k**a taarifa hadi kwenye mishipa ya uti wa mgongo( Spinal Cord)

3. Mishipa ya UTI WA MGONGO ikisha pokea taarifa hiyo hutoa ishara kwenye mshipa wa ateri.

4. Mshipa wa ateri ukisha pokea ishara hiyo kutoka kwenye uti wa mgongo, hufunguka na kutanuka.

6. Mishipa ya ateri ikifunguka na kutanuka huruhusu damu kutiririka kwa kasi yake ya asili hadi kwenye misuli ya uume.

7. Misuli ya uume ikisha pokea damu hutuna na hivyo kufanya uume kusimama tayari kwa tendo la ndoa.

Jambo hili haliwezi kutokea ikiwa mwanaume husika ana tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume.

Mwanaume akiwa na tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, tafsiri zake ni 2 tu.

1. Ndani ya mfumo wa mwili wake hakuna ushirikiano na network imara kati ya mishipa ya ubongo, mishipa ya uti wa mgongo na mshipa wa ateri.

2. Misuli yake ya uume ni dhaifu.

SULUHISHO ni kutumia dawa asili iitwayo JIKO. Dawa hii Inatibu na kuponyesha kabisa tatizo la nguvu za kiume ndani ya siku 28. Lakini kabla ya kutumia dawa ya jiko ni lazima kwanza mhusika apate lishe maalumu. Moja Kati ya kazi kubwa za lishe hiyo ni pamoja na kurekebisha network ndani ya mwili wa mhusika. Ndio maana wateja wetu wa dawa ya Jiko huwa tunawapa pia unga wa UJI DUME ambao hutumika pamoja na JIKO. Unga wa UJI DUME unatayarishwa kwa kutumia nafaka za aina 7 pamoja na miti ya aina nne. Unga huu hutumika pamoja na dawa ya Jiko.

SIMU ZETU ; +255 766 53 83 84

WHATSAPP: + 255 745 -433 595.

05/10/2025

TATIZO LA UUME KWENDA UPANDE. ............................................

Tatizo la uume kwenda upande tafsiri yake ni kwamba kwenye sehemu uume ulipo jipinda kuna uvimbe. Uvimbe huo unatokana na mgandano wa mafuta, ama kwa lugha nyingine kuna mafuta yamegandiana mahali hapo. Mafuta hayo yamerundikana na kugandiana mahali hapo kwa muda mrefu kiasi cha kutengeneza kitu k**a sponji hivi.

Mwanaume mwenye uume ulio pinda hawezi kuwa na nguvu za kiume sawa sawa kwa sababu kwanza hayo mafuta yaliyo gandiana huzuia damu kutiririka kwa kasi yake kwenda kwenye misuli ya uume, lakini pia huo uvimbe huathiri utendaji kazi wa misuli ya uume. Hali hii inapokuwa ya muda mrefu hudhoofisha utendaji kazi ya misuli ya uume inakuwa dhaifu k**a mtu alie athirika na ma********on.

Ili uume urudi katika hali yake ni lazima mhusika atumie dawa ambayo itaenda kuyeyusha hayo mafuta yaliyo gandana sehemu hiyo.

Zipo dawa kadhaa za asili ambazo zinaweza kutibu na ponyesha kabisa tatizo la uume kwenda upande.

Dawa hizo zinatibu na Ku ponyesha kabisa tatizo la uume kwenda upande ndani ya siku 21.

K**a uume wako umeenda upande, na unahitaji kupata tiba ya uhakika ya tatizo lako, wasiliana nasi kupitia namba zetu za simu zifuatazo: πŸ‘‡πŸ‘‡

Kawaida : 0766 - 53 83 84.

WHATSAPP : 0745 - 433 595.

Tutembelee kwenye blogu yetu :πŸ‘‡

https://neemaherbalist.blogspot.com/2025/10/tatizo-la-uume-kwenda-upande-chanzo.html

NAFASI YA KUSHIRIKI KWENYE Part 2 ya DOCUMENTARY KUHUSU KUONDOA KITAMBI, KUPUNGUZA UNENE NA UZITO................ Tuna a...
03/10/2025

NAFASI YA KUSHIRIKI KWENYE Part 2 ya DOCUMENTARY KUHUSU KUONDOA KITAMBI, KUPUNGUZA UNENE NA UZITO................

Tuna andaa part 2 ya documentary inayo husu jinsi ya KUONDOA KITAMBI, KUPUNGUZA UNENE NA UZITO kwa kutumia dawa za ASILI na lishe maalumu.

Ndani ya documentary hiyo wahusika watachukuliwa picha za kawaida ( Still Pictures) na picha za video kuanzia siku ya kwanza ambayo wataanza kutumia dawa yetu ya kupunguza mwili wakiwa na Vitambi vikubwa na unene ulio pitiliza, hadi siku ya mwisho wakiwa hawana Vitambi kabisa, na unene wote ukiwa umeondoka.

Lengo la documentary hii ni kuielimisha jamii kuhusu madhara ya Kiafya yatokanayo na unene na uzito uliopitiliza :

K**a unataka kushiriki kwenye documentary hii wasiliana nasi kupitia namba zetu za SIMU : 0766 53 83 84 / 0693 005 189

AU WHATSAPP : 0745 - 433 595.

KIKUBWA tu UWE na KITAMBI KIKUBWA KINACHO ONEKANA na UWE na unene ulio pitilza. Ukiwa na manyama uzembe pia itapendeza zaidi.

DOCUMENTARY MAALUMU KUHUSU JINSI YA KUNENEPA( KURUDISHA MWILI ULIO KONDA) KWA KUTUMIA DAWA ZA MIMEA PAMOJA NA LISHE MAAL...
03/10/2025

DOCUMENTARY MAALUMU KUHUSU JINSI YA KUNENEPA( KURUDISHA MWILI ULIO KONDA) KWA KUTUMIA DAWA ZA MIMEA PAMOJA NA LISHE MAALUMU. ................................................................

Documentary hii ina andaliwa na kutayarishwa na duka la kuuza DAWA za MIMEA la NEEMA HERBALIST lililopo CHANIKA MWISHO/ NZASA KWA MWARABU JIJINI Dar Es Salaam ( Zamani tulikuwa Ubungo and now tumehamia Chanika)

Katika documentary hii utashuhudia jinsi watu mbalimbali walio konda, wakinenepa kwa kutumia dawa za ASILI na lishe maalumu kutoka NEEMA Herbalist.

Watu hawa ni watu walio konda kwa sababu mbalimbali k**a vile : Kupatwa na msongo wa mawazo ( Stress) au kuugua magonjwa mbalimbali k**a vile kisukari na vidonda vya tumbo.

Documentary hii itawahusisha watu 20 ambao wote ni wakazi wa Chanika jijini Dar Es Salaam.

Ndani ya documentary hii utashuhudia safari ya watu hawa kuanzia siku ya kwanza wanayo anza kutumia DAWA wakiwa wamekonda hadi siku ya mwisho wanayo maliza kutumia dawa wakiwa wamerudisha afya na miili pamoja na nuru Yao kwa KUTUMIA dawa yetu ya ASILI iitwayo DAWA-LISHE YA KUNENEPESHA MWILI pamoja na lishe yake maalumu..

Story na safari za washiriki wa documentary hii katika kurudisha mwili zitakuwa posted kupitia hapa hapa kwenye page, kwenye page yetu ya Instagram, kwenye akaunti yetu ya You Tube, bila kusahau kwenye Blog yetu ( NEEMA HERBALIST BLOG)

Imetolewa na duka la kuuza dawa za mimea la NEEMA HERBALIST.

Simu : KAWAIDA : 0766 - 53 83 84.

WHATSAPP : 0745 - 433 595.

Kwa wale wanao hitaji dawa zetu wanaweza kuja moja kwa moja OFISINI kwetu Chanika, na kwa wale waliopo mbali na Chanika wanaweza kupelekewa mahali popote walipo ndani ya jiji la Dar Es Salaam.

Na kwa wale waliopo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam, tunawatumia dawa kwa njia ya mabus mbalimbali. Kwa waliopo Zanzibar, dawa tunawatumia kwa njia ya boti na kwa wale waliopo Mombasa na Nairobi Kenya tunawatumia dawa kwa njia ya mabus.

Documentary Maalumu inayo itwa JINSI YA KUONDOA KITAMBI, KUPUNGUZA UNENE NA UZITO KWA KUTUMIA DAWA ASILI ZA MIMEA NA LIS...
03/10/2025

Documentary Maalumu inayo itwa JINSI YA KUONDOA KITAMBI, KUPUNGUZA UNENE NA UZITO KWA KUTUMIA DAWA ASILI ZA MIMEA NA LISHE MAALUMU" kukujia hivi karibuni. Ndani ya Documentary hiyo utashuhudia watu mbalimbali wenye vitambi na wenye unene na uzito ulio kithiri wakipunguza kitambi, unene na uzito kwa KUTUMIA DAWA ASILI ZA MIMEA na LISHE MAALUMU kutoka kwetu NEEMA HERBALIST.

Tutakuwa tukipost picha na maelezo ya washiriki wa documentary hii hapa hapa k wenye page yetu, kwenye ukurasa wetu wa INSTAGRAM, kwenye BLOGU YETU ( NEEMA HERBALIST BLOG) na videos zao kupitia account yetu ya You Tube.

Utawashuhudia wakiondoa vitambi na KUPUNGUZA unene na uzito kwa namna ya ajabu Sana mbele ya macho yako.

Kwa kuanza, tunaanza na washiriki ishiri kutoka kata ya Chanika jijini Dar Es Salaam.

Tutaanza kwa kuweka picha pamoja na video zao siku ya kwanza kabisa wanapo anza KUTUMIA DAWA na diet yetu hadi siku ya mwisho wanapo kamilisha KUTUMIA DAWA na diet yetu.

Pia tutakuwa tukipost progress zao kila Vaasa ya siku kadhaa.

At the end of the day utashuhudia mwenyewe kwa macho jinsi DAWA yetu ya asili iitwayo MKATAA KITAMBI pamoja na lishe yake maalumu zinavyo ondoa kitambi na kufanya tumbo kuwa flat kabisa pamoja na kuondoa uzito na unene ulio zidi.

Imetolewa na duka la kuuza DAWA za mimea la NEEMA HERBALIST.

SIMU : KAWAIDA : 0766 53 84 84.

WHATSAPP : 0745 - 433 595.
............................

Kwa wewe unae hitaji dawa zetu, unaweza kuja moja kwa moja ofisini kwetu Chanika Mwisho ( NZASA Kwa MWARABU)

Kwa wewe ambae huna nafasi ya kuja ofisini kwetu unaweza kuletewa dawa mahali popote ulipo ndani ya jiji la Dar Es Salaam ( HOME DELIVERY & OFFICE DELIVERY)

Na kwa wewe ambae upo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam, utatumiwa dawa kwa njia ya mabus mbalimbali. Kwa wewe ambae upo Zanzibar utatumiwa dawa kwa njia ya usafiri wa boti na kwa wewe ambae upo Nairobi au Mombasa, utatumiwa dawa kwa njia ya bus.

03/06/2025

Enzi za mabibi na mababu zetu, wanawake walikuwa wakipelekwa UNYAGONI, moja Kati ya mafunzo ambayo walikuwa wakipatiwa UNYAGONI ilikuwa ni pamoja na kuandaa vyakula na lishe maalumu kwa wanaume. Vyakula vinavyo wapa na kuwaongezea wanaume msisimko wa tendo la ndoa. Ndio chanzo cha mke kuitwa " Jiko" Kwa sababu uhai wa ndoa ulikuwa " unapikwa" jikoni. Hii ndio sababu kuu kwanini dawa yetu ya asili inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la nguvu za kiume tumeiita "Jiko".

Siku hizi elimu hiyo ya mapishi maalumu kwa wanaume wenye tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume haitolewi tena mahali popote. Na hii ndio sababu Sisi Neema Herbalist huwa tunawafundisha wateja wetu elimu hiyo. Mbali ya kuwapatia dawa ya asili ya Jiko pamoja na lishe yake maalumu iitwayo " UJI DUME" ambayo hupikwa k**a UJI, pia tunawapa elimu kuhusu vyakula mbalimbali vya asili maalumu na muhimu na lazima kwa mwanaume yoyote yule iwe ana tatizo au hana tatizo la nguvu za kiume.

( Mada yetu kuhusu hoja kwamba wanawake wanao vaa nusu uchi husababisha wanaume kuyazoea sana maumbile ya wanawake na hivyo kupoteza msisimko wa tendo la ndoa itachapishwa hapa itakapo kamilika)

Kwa wewe unae hitaji dawa asili ya Jiko ambayo itakujia kwako pamoja unga wake special wa uji ( UJI- DUME), wasiliana nasi kupitia SIMU : 0766 53 83 84 au 0693 005 189

Kwa wateja waliopo nje ya Dar es Salaam tunawatumia dawa kwa njia ya usafiri mabus au boti kwa waliopo Zanzibar.

Na kwa wale waliopo jijini Dar wasio na muda wa kufika ofisini kwetu, tunafanya delivery

01/06/2025

Je kuna ukweli wowote kuhusu dhana ya kwamba wanawake wanao vaa nusu uchi husababisha wanaume kuyazoea sana maumbile ya wanawake jambo ambalo hupelekea wanaume kupatwa na tatizo la udhaifu katika nguvu za kiume?

Stay tuned kwa majibu kutoka Neema Herbalist Co. LTD ambayo yatakujia hapahapa kupitia ukurasa wetu.
....

Jiko ni dawa ya asili inayo tibu na kuponyesna kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.

Inatumika pamoja na uji wake maalumu unaitwa UJI -DUME.

Kwa mahitaji ya dawa hii wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo.

KAWAIDA : VODA: 0766 53 83 84
AU AIRTEL : 0693 005 189.

Habari wapendwa? Dawa yenu pendwa ya kuondoa weusi kati kati ya mapaja ( dark inner thighs) na alama  za michirizi ya mi...
02/02/2024

Habari wapendwa? Dawa yenu pendwa ya kuondoa weusi kati kati ya mapaja ( dark inner thighs) na alama za michirizi ya mistari ( stretch marks) sasa imeingia tena.

Ni dawa ya asili kabisa ( pure herbal) isiyo na kemikali yoyote ya viwandani na inaondoa moja kwa moja tatizo la weusi katikati ya mapaja ndani ya siku kumi na 4. Wasiliana nasi kupitia simu namba 0766 53 83 84.

Address

UBUNGO Plaza STREET
Dar Es Salam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Neema Herbalist Co. LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Neema Herbalist Co. LTD:

Share