Tinah-AfyaUzaziwanaume

Tinah-AfyaUzaziwanaume TinahAfya_Nguvu za kiume

🍎Upungufu wa nguvu za kiume,
🍎Kuwahi kumwaga
🍎kushindwa kurudia tendo
🍎 Ugumba

🏆. Dalili Mbaya kwa Mwanaume Wa Umri Wa Miaka 40 Nakuendelea...1. Kukojoa Mara Kwa Mara Hasa Nyakati zaUsiku.2. Shida wa...
31/07/2024

🏆. Dalili Mbaya kwa Mwanaume Wa Umri Wa Miaka 40 Nakuendelea...

1. Kukojoa Mara Kwa Mara Hasa Nyakati za
Usiku.

2. Shida wakati wa Kuanza kukojoa.

3. Mkojo Kutoka Kidogo Kidogo.

4. Kukojoa Kwa Shida.

5. Mkojo kutoka k**a Matone hasa Baada Ya Kukojoa.

6. Speed Ndogo Ya Mkojo.

7. Kuhisi Kibofu Hakijatulia Au kuhisi bado kinamkojo wakati umetoka kukojoa.

8. Kupungua kwa Uwezo Wa Kushiriki
tendo la ndoa.

Dalili hizi zinaweza kuwa viashiria vya Shida Katika Tezi dume Yako Yaani Tezi Dume imevimba Na Unapaswa kuchukua hatua.

Tinah
0768557525
Health consultant

IJUE PROSTATE RELAX CAPSULES na MAAJABU YAKE MAKUBWA KWA MATATIZO SUGU YA MFUMO WA UZAZI KWA WANAUME â—Ź *KAZI KUU ZA  PRO...
22/07/2024

IJUE PROSTATE RELAX CAPSULES na MAAJABU YAKE MAKUBWA KWA MATATIZO SUGU YA MFUMO WA UZAZI KWA WANAUME
â—Ź *KAZI KUU ZA PROSTATRELAX CAPSULES

â—‹ Inalinda tezi na kuzui kuongezeka kwa tezi dume na kuondoa uvimbe wa tezi dume
â—‹ Inazuia kuongezeka Kwa Corodani (Busha)
â—‹ Maumivu ya Corodani na chini ya kitovu
â—‹ MWENYE Matatizo ya ngiri sugu
â—‹ Inadumisha Afya ya Mkojo
â—‹ Inatibu UIT sugu Kwa mwanaume
â—‹ Inaboresha ufanisi wa tendo la ndoa
â—‹ Inaondoa maumivu ya kiuno na wakati wa kukojoa
â—‹ Husaidia kufika kileleni vizuri bila maumivu.
â—‹Inanyonya maji yoote yanayofanya kitu kinaitwa Busha kwenye korodani.
â—‹Huzuia TEZI dume kuongezeka ukubwa na hutibu na kutokomeza kabsa.
â—Ź NANI ANATUMIA
â—‹ Wanaume wenye shida ya tezi dume haswa wenye umri zaidi ya miaka 40.
â—‹ Watu wenye Matatizo ya kuvimba kwa corodani (Busha)
â—‹ Wanaume wenye shida ya kukojoa.
â—‹ Wenye shida za nguvu ya kiume.
°> Na Wanaume Wenye Shida Ya Mbegu. ( S***m ).

PROSTATE RELAX Furaha Ya Mwanaume

afya uzazi wanaume 0768557525

Hivi ndivyo maumivu ya kuwa na changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume yalivyo. Mbele za watu wajionesha hauna tatizo k...
19/07/2024

Hivi ndivyo maumivu ya kuwa na changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume yalivyo. Mbele za watu wajionesha hauna tatizo kumbe nyuma ya pazia unapitia maumivu makali ya kudhalilika mbele ya kila mwanamke unayekutananae chumbani.

Yaani Mwanaume kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo kabla ya Mwanamke ni aibu kubwa sana. Kusimamisha uume kwa ulegevu ni kupoteza heshima ya mwanaume.

[....Kadri unavyozidi kukaa na tatizo ndivyo tatizo linavyozidi kukuharibu zaidi. Hakuna siku ambayo majukumu ya kuhudumia familia yataisha jifunze kutenga kiasi fulani cha pesa kwa ajili ya kutatua Changamoto zako binafsi.....]
.....Wanaume wengi wanajisahau sana linapokuja swala la kujigharamia wao binafsi. Kumbuka hao unaohisi kwamba hawawezi kuishi bila wewe siku ukitoweka Duniani wataendelea kuishi bila wewe na watakusahau. Jifunze kujipenda na kujihudumia wewe binafsi kwanza hasa linapokuja swala la AFYA.....

KARIBU INBOX KWA USHAURI NA MSAADA ZAIDI

0768557525
Tinah
Health consultant

FAHAMU VIZURI NAMNA KUJICHUA  PUNYETO KUNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME.Katika uume kuna sehemu inaitwa Corpus cavernosum ni ...
27/06/2024

FAHAMU VIZURI NAMNA KUJICHUA PUNYETO KUNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME.

Katika uume kuna sehemu inaitwa Corpus cavernosum ni msuli muhimu sana unaojenga uume ,ni msuli mkubwa unaojaa damu kwa asilimia 90 uume ukiwa umesisima .Msuli huu ukiwa na afya njema ,uume utasimama vizuri na muda mrefu bila kusinyaa haraka.Pia Ndio husababisha uume uwe na nguvu hatimaye kumuwezesha mwanaume kushiriki tendo la ndoa kwa ufanisi wa hali ya juu.

Vivile msuli corpus cavernosum ukiwa salama uume unatuna na ukisimama unakuwa mrefu na mnene .Ikiwa kuna hitilafu ndani yake uume utasinyaa sana na kuwa k**a wa mtoto mdogo! Na hii hali hupelekea kuwa na Vijana wengi wenye vibamia kwa sasa.

Mwanaume aliyefanya punyeto huwa msuli huo unajeruhiwa sana ,hupelekea kukak**aa na kujenga usugu vile vile hata kupungua kipenyo chake na mishipa ya damu iliyopo kwa ndani hufa inabaki michache sana .Matokeo yake Damu Huingia kidogo uume ukiwa umesimama .

Dalili ambazo huonyesha kwamba uume wako umejeruhiwa na kupiga punyeto ni maumivu baada ya kumaliza kujichua,ukimaliza kujichua uume unanyea haraka sana na kurudi ndani,korodani kuuma,uume unasimama lakini haujikazi unakuwa lege lege,Unatoa mbegu kidogo ,kuna baadhi ya siku nyingine wakati shahawa zinatoka (ej*******on) unahisi maumivu badala ya raha,siku nyingine unahisi hamu za kufanya punyeto lakini uume hausimami mpaka ulazimishe,punyeto ndio hukupa raha zaidi kuliko uke,Kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo unavyozidi kubana uume kwa mkono au sehemu yoyote ile ili kuendelea kupata raha ile ile k**a ya mwanzoni.Hii ni kutokana na kufa kwa neva hivyo usipobana vizuri uume kwa nguvu hupati raha au msisimko!

Madam Tinah
0768557525
Maisha ni afya

K**A ULIFANYA PUNYETO USINIFICHE TAFADHALI, NIAMBIE UKWELI ILI NIKUSAIDIE KULINGANA NA CHANZO CHA CHANGAMOTO YAKO.

16/06/2024
Mwanaume ambaye umekuwa na changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume kwa mda mrefu , basi hakikisha unapitia makala haya ...
11/06/2024

Mwanaume ambaye umekuwa na changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume kwa mda mrefu , basi hakikisha unapitia makala haya mazuri Kwa ajili yako

Address

Dodoma Outlying

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tinah-AfyaUzaziwanaume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share