Mwita pharmacy Tz

Mwita pharmacy Tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwita pharmacy Tz, Medical and health, Dodoma.

09/08/2026

07/08/2026

15/07/2026

Wizara Ya Afya Pharmacy Council-Tanzania

14/07/2026

Stay tuned

Pharmacy Council-Tanzania
Wizara Ya Afya

12/06/2026

⚠️ Wengi wanatumia Ibuprofen bila kujua madhara yake!

Nilifanya mahojiano na Clinical Officer ambaye amefunguka kuhusu:
🔴 Madhara ya Ibuprofen yanayopuuzwa na wengi
🔴 Nani hapaswi kutumia dawa hii bila ushauri wa daktari
🔴 Ujumbe muhimu kwa wafamasia kuelekea Wiki ya Famasia

Tazama video hii hadi mwisho, unaweza kujifunza jambo muhimu litakalolinda afya yako au ya mtu wa karibu.

11/06/2026

Katika kuadhimisha Wiki ya Famasia Kitaifa, Idara ya Famasia ya Kituo cha Afya Kimeya ilitoa elimu ya kitaalamu kuhusu uzazi wa mpango kwa watumishi wa afya wa kituo hicho pamoja na wanafunzi wa mafunzo kwa vitendo kutoka Chuo cha Afya Rubya. Mada zilizowasilishwa zilijumuisha njia mbalimbali za uzazi wa mpango na usalama wake, utaratibu wa jinsi dawa na homoni za uzazi wa mpango zinavyofanya kazi mwilini (mechanism of action), vigezo vinavyozuia au kuhitaji tahadhari katika matumizi ya baadhi ya njia (contraindications) pamoja na sababu zake za kitabibu. Washiriki pia walijifunza kuhusu madhara yanayoweza kujitokeza wakati wa matumizi ya njia mbalimbali za uzazi wa mpango, namna ya kuyatambua, ushauri sahihi wa kitaalamu kwa wateja, na mbinu za kuboresha utoaji wa huduma za afya ya uzazi. Elimu hii imelenga kuimarisha uwezo wa wataalamu wa afya na wanafunzi katika kutoa huduma bora, salama na zenye kuzingatia ushahidi wa kisayansi kwa jamii.

10/06/2026

Wiki ya famasi

09/06/2026

Office

22/05/2026

13/05/2026




Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwita pharmacy Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share