AFYA YA UZAZI

AFYA YA UZAZI Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA YA UZAZI, Medical and health, Dodoma.

NASAIDIA WANAWAKE NA WANAUME WENYE YA CHANGAMOTO YA UZAZI

✅Tunatatua kuanzia chanzo cha tatizo kwa kutumia bidhaa zenye ubora wa hali ya juu na kumaliza tatizo kabisa

✅Piga simu kwa ushauri na matibabu ya changamoto za uzazi
0652893499

21/07/2026

Ukweli mama zetu wamepitia nyakati ambazo mpaka leo zinafanya waone thamani ya watoto wao. heshinziende kwako wamama wote .

20/07/2026

K**a mzunguko wako ni siku 21 zingatia hii Chat kupanga uzazi ili kuacha kutumia uzazi wa mpango

20/07/2026

🚨 UNASUMBULIWA NA BAWASILI?

❌ Maumivu wakati wa kujisaidia?
❌ Damu kutoka?
❌ Kuwashwa au kuvimba?
Usiendelee kuteseka kimya kimya!
Bawasili husababishwa na kufunga choo, kukaa muda mrefu, ujauzito au kunyanyua vitu vizito.
Kwa ushauri sahihi na msaada wa kiafya, unaweza kupunguza tatizo hili mapema.

✅ Kupunguza maumivu
✅ Kupunguza uvimbe
✅ Kurahisisha choo kutoka
✅ Kuzuia kujirudia mara kwa mara

Chukua hatua mapema kabla hali haijawa mbaya zaidi.

Piga au WhatsApp sasa: 0652893499

Tunatuma popote Tanzania
Mu Health Solution

Afya yako ni kipaumbele chetu

16/07/2026

Usishiriki tendo la ndoa baada tu ya kumaliza period bila kujisafisha uke vizuri kuondoa bacteria wabaya wanaobaki ukeni kutokana na damu ya hidhi haya yanaweza kutokea

14/07/2026

K**a wewe ni mwanamke wa hivi una shida hakikisha unapata suluhisho homoni zako haziko sawa

12/07/2026

Mwanamke ... k**a unapitia hizi hali na huambiwi kitu kuna msaidizinwako anakusaidia anayemuondoa mawazo . na k**a anakwambia anafurahi kushiriki na wewe anakudanganya

11/07/2026

Utoaji wa mimba ni dhambi kubwa sana , fikilia wewe ndio ungetolewa na mama yako , ungepata muda wa kujisnap wapi na lini . Acha hiyo dhambi si utumie hata kondomu basi kuliko kuwa

11/07/2026

Jae mama yako na baba yako wangeamua kutoa mimba yako wewe ungekuwepo?, sasa kwanini wewe unaua . subiri adhabu yako kwa mungu

゚viralシ ゚

10/07/2026

mwanamke wako akiwa period hakikisha unamfanyia mambo haya ni muhimu sana

゚viralシ

Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 07:00 - 22:00
Tuesday 07:00 - 22:00
Wednesday 07:00 - 22:00
Thursday 07:00 - 22:00
Friday 07:00 - 22:00
Saturday 07:00 - 22:00
Sunday 07:00 - 22:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YA UZAZI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AFYA YA UZAZI:

Shortcuts

Share