Dr. Khalfan Tiba Asilia

Dr. Khalfan Tiba Asilia Ukijiona una-tatizo la kiafya Magonjwa Mwilini. Tafuta Bidhaa zetu Muundo wa Syrup, Mafuta & Sabuni.Dawa Mbadala kwa kutibu Magonjwa mengi.

Jiunge nasi upate habari zaidi na uweze kujipatia bidhaa mbalimbali kumaliza Matatizo yako✨

 : Tambua Vifungo & Mikwamo Ndio Maana Hufanikiwi ili iwe rahisi kusoma na kufuata 👇Channel yetu ..🤝 https://whatsapp.co...
22/05/2026

: Tambua Vifungo & Mikwamo Ndio Maana Hufanikiwi ili iwe rahisi kusoma na kufuata 👇

Channel yetu ..🤝 https://whatsapp.com/channel/0029Vb6dpGL8V0txCgvIxG1Z
---
👉Tatizo Linapoanza:
Unaweza kuwa mtu mchapakazi, mwaminifu, huna tabia mbaya, lakini miaka inakwenda huku maisha yako hayabadiliki.
Wengine walioanza baadaye na kipato kidogo kuliko chako wanaonekana kupiga hatua, wewe bado uko pale.
Unafanya biashara, unaboresha kila siku, lakini mambo yan**idi kudorora. Hujui shida iko wapi.

---
👉Mkosi Ni Nini?
Mkosi ni hali ya kila kitu unachofanya kuharibika bila sababu ya wazi, iwe una hatia au huna.
Asilimia kubwa ya mikosi inatokana na uchawi, na inagawanyika katika mifumo 3:

A. Mfumo wa Kichawi
Huu ni uchawi wa kuonea mtu bila kosa.
- Wachawi hukutana na kupanga namna ya kukuangusha hata k**a unaendelea vizuri.
- Wanatumia vitu k**a: uchafu wa chizi, maji ya kuoshea maiti, damu ya hedhi, uchafu wa mgonjwa kabla ya kufa, n.k.
- Vitu hivyo hupelekwa kwenye biashara yako, nyumba yako, au hufungiwa jina lako kwenye sehemu chafu.
- Matokeo: Unachanganyikiwa, unamaliza waganga na maombi, lakini bado hufanikiwi.
- Mara nyingi utaitwa “mchawi” ukishinda, na watu watakukwepa kwa wivu.

B. Mfumo wa Kimajini
Huu hutokea unapovunja masharti ya majini wanaoaminiwa kuwa wanamsimamia mtu tangu tumboni.
- Majini hawakuja kukuumiza, bali kukusaidia kufanikiwa.
- Lakini wanakasirika ukifanya mambo waliyokataza, k**a: zinaa, kudhulumu, kulala na mpenzi asiyetulia.
- Adhabu yao ni “kukupakia mavi ya mbwa” kiroho – yaani kukwamisha kila kitu mpaka ujirekebishe.

C. Mfumo wa Kimizimu
Hujafanuliwa kwa kina katika ujumbe wako, lakini ni aina nyingine ya kifungo kisichoonekana.

---
👉Tiba ya Mikosi ya Kimajini

Ikiwa unashuku kuwa tatizo lako linatokana na majini, unaweza kutayarisha mchanganyiko huu:

Viungo:
- Mwiko uliookotwa njiani – uchome upate unga
- Magamba ya miti yaliyofungia kuni porini – uchome upate unga
- N**i mdondo iliyochomwa mpaka iwe unga
- Mifupa ya kuku mweupe iliyosagwa
- Unga wa mlangamia, mpapuo
- Majani ya msoniti
- Mzizi wa mgomba – chimba mwenyewe
- Mzizi wa mpapai dume usiozaa

:
1. Kuoga: Changanya unga kidogo na maji, oga asubuhi na jioni kwa siku 7-14.
2. Kunywa: Changanya unga na uji mwepesi + ndimu, kunywa asubuhi na jioni kwa siku 7.
3. Kujisugua:Jisugue na unga kabla ya kuoga/kunywa. Unga unaoanguka ukusanye, funga kwenye kitambaa cheusi na sindano, kisha utupe sehemu iliyosahaulika k**a njia iliyokufa.

---
👉Jinsi ya Kujua Umeshapona

Jaribu njia moja kati ya hizi:
- Njia ya n**i: Weka kifuu cha n**i njia panda saa 6 usiku. Angalia asubuhi saa 11. Ikiwa kimepotea, umefunguka.
- Njia ya udi: Washa udi 7 usiku, nuia uote kitu. Ukiona ndoto nzuri, umepona.
- Njia ya mtu wa kwanza: Asubuhi ukiamka, mtu wa kwanza wa jinsia tofauti unayemuona uso kwa uso ni ishara umepona.

---
👉 Njia Rahisi Zaidi:
Tumia Mafuta ya Pigo la Majini & wachawi kwa siku 7:
- Pakaa mwilini
- Jifukize nayo
- Weka matone kwenye maji ya kuoga

Mafuta haya yanasaidia kuvuta bahati, kupunguza madhara, na kufanya maendeleo yako yatabirike.
---
Gharama 25000Tsh
WhatsApp / call :+255 0684 765 575
Manzese. Dsm

ARTHRITIS TIBA ZAKE:👉Dalili Kuu za ArthritisMaumivu ya viungo: Maumivu makali au kuuma.Ugumu wa viungo (Stiffness): Hasa...
17/04/2026

ARTHRITIS TIBA ZAKE:
👉Dalili Kuu za Arthritis
Maumivu ya viungo: Maumivu makali au kuuma.

Ugumu wa viungo (Stiffness): Hasa asubuhi au baada ya kukaa muda mrefu.

Uvimbe na Uwekundu: Eneo la kiungo kuvimba na kuhisi joto.
Kupungua kwa

uwezo wa kusogeza kiungo: Kushindwa kunyoosha au kukunja kiungo vizuri.

👉Aina Kuu za Arthritis
Osteoarthritis (OA):✔️
Hii ni aina ya kawaida inayotokana na uchakavu wa gegedu (cartilage) kutokana na umri au matumizi ya muda mrefu, ikishambulia zaidi magoti, nyonga, na mikono.

Rheumatoid Arthritis (RA):✔️ Ugonjwa wa kinga ya mwili (autoimmune) ambapo mfumo wa kinga hushambulia tishu za viungo, na kusababisha uvimbe sugu.

Gout:✔️ Aina inayosababishwa na fuwele za asidi ya mkojo (uric acid) kujikusanya kwenye viungo.

👉Sababu na Vichochezi
Uchakavu: Kuvunjika kwa tishu za viungo kadiri umri unavyosonga.

Maambukizi (Infection):✔️ Vimelea vinavyoweza kuathiri viungo.

Kinga Mwili:✔️ Mfumo wa kinga kushambulia viungo (kwa RA).

Uzito uliopitiliza:✔️ Kuongezeka uzito huongeza mzigo kwenye magoti na nyonga.

Majeraha:✔️ Majeraha ya zamani ya viungo

Unaweza pia kuongeza uharaka pia wa kuweza kupaona ARTHRITIS kwa dalili za mwanzoni chini ya miezi 06 ufapona kabisa haraka.

: Hakikisha unakunywa ukiwa umepata chakula cha nguvu cha mchana na cha jioni ili tiba ifanye kazi.

🌐MATUMIZI YA HALBAT ATHAUM :
🔥Tumia kijiko cha chakula 2 X 2 kwa siku
( KULA USHIBE NDIO KUNYWA DAWA)
🔥Huchanganyi na chochote unatumia k**a ilivyo kwa siku 15
🔥Dozi ni siku 15 Tu (inategemea na ukubwa wa tatizo lako kuongezeka)
🔥Matokeo yanaweza kuwa haraka au mpaka mwisho wa dozi kutegemea na Hormonal reaction ya mwili wako
🔥Tingisha Chupa ya dawa vizuri kabla ya kutumia hakikisha inachanganyika vizuri

: K**a umekunywa HALBAT ATHAUM saa 1:00am asubuhi hakikisha unakunywa HALBAT ATHAUM saa 1:00 pm usiku.

DOSES: TSH.60,000, / WEEK-2 DELIVERY 10000 KWA DAR / MKOANI TUNATUMA. TUNAPATIKANA MANZESE MIDIZINI ROAD, DSM. MUDA WA KAZI; 8AM TO 5PM, MON-SAT. W/A OR CALL +255 758 673897 .

 : SIRI KUBWA YA CHUMVI YA MAWECHUMVI YA MAWEChumvi ya mawe ni ile chumvi ya asili inayotokana na maji ya bahari au ziwa...
17/04/2026

: SIRI KUBWA YA CHUMVI YA MAWE

CHUMVI YA MAWE
Chumvi ya mawe ni ile chumvi ya asili inayotokana na maji ya bahari au ziwa. Chumvi ina nguvu💪💪 nyunyiza chumvi kidogo kwenye mlango wako husaidia kuweka Ulinzi mkubwa nguvu za giza

Faida za chumvi ya mawe
💥Pigia deki chumvi ya Mawe.
Huondoa mikosi ndani na kuweka bahati mpya ndani kwako.

💥 Huondoa nuksi, mikosi na vifungo
Chukua chumvi ya mawe wingi wa kiganja kimoja weka ktk maji ya kuogea ogea asubuhi na jioni ni vizur kuoga wakati wa jua kuchomoza na jua kuzama.
Si vizur kuogea chooni baada ya siku 7 manufaa utayaona

💥Kuondoa ubaya mwilini
Chukua chumvi ya mawe kiasi cha viganja 3 weka ktk beseni weka maji ktk beseni kiasi kinachotosha hadi kuzama kongwa mbili, vaa nguo yenye nafasi isiyobana k**a dera au kanzu nk usivae nguo ya ndani kisha simama ktk maji kwa dk 10. Unaweza hisi kizunguzungu au mwili kuwasha na maudhi mengne jitahidi kuyavumilia
Fanya kwa siku 5 mfululizo kabla ya kulala

💥Chumvi ya Mfukoni:
Kifuko kidogo cha chumvi kwenye mfuko wako au mfuko wa kushoto ..inakualika nguvu na nyakati za bahati nzuri.

💥Ongeza kivutio chako kwa chumvi kabla ya wikendi itaweka sauti ya wingi na maendeleo. wengine husafisha pochi au kadi yao kwa chumvi kidogo ili kukaribisha fursa mpya.

Follow dr Dr. Khalfan Tiba Asilia
Call 0758673897 kutoka mango Herbal

 : RUDISHA UCHAWI KOMESHA ADUI HARAKA..Tekeleza jukumu hili mara moja Usicheze na chapisho hili tafadhali jaribu na ufan...
17/04/2026

: RUDISHA UCHAWI KOMESHA ADUI HARAKA..

Tekeleza jukumu hili mara moja Usicheze na chapisho hili tafadhali jaribu na ufanye hivi na uthibitishe haraka sana💥💥

Nenda kachukue
👉kitunguu maji chekundu,
👉sindano
👉Karatasi 1

Mojawapo ya njia bora ya kurudiaha ubaya na laana kwa aliyekutupia haraka hufanya kazi vizuri sana.

💥 HURUDISHAA LAANA NA MIKWAMO..
Kata kipande cha karatasi andika jina lake adui yako. Happy bint Anna kwenye kipande cha karatasi.. K**a humjui andia yeyote yule..limkute.

:Chukua kitunguu maji kikubwa ambacho kinaweza beba shida zako zote.

Kata kati kitunguu maji kifutie maji yake kwenye maungio ya mwili wako ( ). Ukimaliza iwe weka karatsi ya jina la adui yako katikati kisha choma sindano kwa kukiunga kile kitunguu

Nuia " NARUDISHA KILIO, MARADHI, RIZKI, MIKWAMO LEO NAMRUDISHIA HUYU" huku unachomeka sindano kupita kwenye kipande viwili kitunguu maji kati kukiwa na jina la adui au yeyote yule alikuletea mabalaa..✨✨

👉 NENDA KAZIKE KOKOTE KULE UKIMALIZA USIGEUKE NYUMA..

Namna ya kurudisha Nuksi na balaa kwa maadui zako au adui yako vitatiririka 💯.. Fanya hivi muda siku wowote usiku wa kuanzia saa 6 usiku.

Follow Dr. Khalfan Tiba Asilia kwa mahitaji dawa silia zilizo tayari piga 0758 673 897

UKIAMKA ASUBUHI UMECHOKA, UVIVU WA KWENDA KWENYE UTAFUTAJI NA KUONA MALUWE LUWE ( UCHOVU) Wengi wanashindwa kuelewa kwam...
17/04/2026

UKIAMKA ASUBUHI UMECHOKA, UVIVU WA KWENDA KWENYE UTAFUTAJI NA KUONA MALUWE LUWE ( UCHOVU)

Wengi wanashindwa kuelewa kwamba 😫Dunia ina viumbe vingi na wanadamu wanaomtumikia shetani..
Majini na Wachawi humfanyia mtu hasadi za kijini na kichawi kwa kumuonea na kumkwamisha mtu kwenye majambo yake.

Unaweza Ukawa unatumika katika mifumo hii:-
Hizi hufanyiwa mtu uchawi wa kuteswa, kutumikishwa na kutupiwa mikosi bila kosa lolote ingawa zote zinatokana na uchawi lakini hii ni mikosi ya kiuonevu tu ili kumuangusha mtu bila hatia ambapo mfumo huu wa kichawi ndio ambao wengi umewakumba na una watesa kwa kiwango kikubwa katika miaka tuliyonayo hapa wachawi huitisha kikao maalum katika kijiwe chao na husema mtu mmoja kati yao kuna mtu mtaani amekuja kwa kasi sana kafungua genge tumekula chumaulete sana lakini bado anafanikiwa sasa hivi kanunua kiwanja jirani na alipopanga hapo wanaendelea kukufuatilia utapata uzitoooo mpaka utakawia kwenye maisha yako.

TAFUTA MAJI YA DUA UTASAIDIKA

MAJI YA DUA
Ni maji yaliyokusanywa kwenye visima, mito, mapango na mvua na kupata kisomo Mujarabu kutoka kwa mashekh zaidi ya 12 kuandaa tiba itakayokuwa Josho la kukinga na wachawi na majini wabaya watembea usiku na mchana.

Maji Yamesomea Dua mchanganyiko ni nyingi za kinabii na Mitume ambazo zimeelezwa kwenye Qurani zaidi ziliomba na waja wema zikawa Josho la kufukuza wachawi na majini. Maji ya dua kwa kufukuza na kukukinga zidi ya mashetani na wachawi.

Faida za Maji ya DUA
1. Hukinga mwili wako zidi ya majini wachawi na wanga
2.Hufungua matego katika miji na nyumba
3.Huvunja mazindiko katika miji na nyumba
4.Husafisha nyota na kupandisha nyota
5.Huongeza mvuto mwilini.
6.Hufungua rizki
7.Huondoa uchawi wa kulishwa mwili.
8. Hufukuza jin mahaba
9.Huzuia chuma uete kwenye biashara
10.Huongeza mvuto wa mapenzi

: Ni maji mazuri kwa wagonjwa wenye maradhi ambayo hayajulikani hospital yote unapona kwa kukukinga na nguvu za kijini na kichawi.

: Kunywa usiku na mchana vifuniko 6. Weka vifuniko 2 Changanya maji ya kuoga oga..itakusaidia kufungua mwili na kuondoa vifungo vya uchawi mwili na kutapika uchawi k**a ulilishwa.

MAJI YA DUA 25000TSH, LOC; MANZESE DSM
WHATSAPP:+255 684765575

 : SIRI KUBWA SANA KAMBA LA MLANGAMIA (MFUNGAFUNGA)✨MLANGAMIAHuu ni mti wenye kambakamba nyingi unaota ktk mti wowote na...
17/04/2026

: SIRI KUBWA SANA KAMBA LA MLANGAMIA (MFUNGAFUNGA)✨

MLANGAMIA
Huu ni mti wenye kambakamba nyingi unaota ktk mti wowote na kuutambaa. Mti huu hauna shina linaloonesha mti ulipoota.
Ni mti wenye kazi nyingi Sana kwasababu unapoota mti huu lazima kuwe sehemu salama kwa mizimu.
Leo tutazungumzia majani au hizo kambakamba zake na siku Nyingne nitawapa Faida ya kiazi Cha mmea huu wa mlangamia.

Faida za mlangamia
👉Kuondoa uchawi mwilini a vifungo
Chemsha au saga vizur mlangamia uchuje unywe kikombe kidogo kwa watoto wadogo wapewe kijiko kimoja. Au chemsha weka kwenye maji ya kuoga na chumvi mawe oga kuondoa nuksi na vifungo

👉Upele, ukurutu
Andaa maji kidogo na mlangamia usage vzuri Kisha ujipake mwilini ay chemsha awe anaogea.

👉Mtoto aliebemendwa
Chemsha mlangamia na msoniti umnyweshe kijiko kimoja. Pia maji mliochemsha baba na mama wa mtoto mkishamaliza tendo tumieni kunawa mikono. Kisha muogesheni mtoto maji hayo...

👉Mjamzito aliepitiliza mda wa kujifungua
Chemsha mlangamia au usage vizur Kisha Tumia kwa kunywa kikombe kidogo
Wakati unakunywa simama Katika kizingiti Cha mlango wako ukimaliza kiachilie kikombe kianguke chini.

👉Ukitumia mlangamia, majani ya mbaazi na kifumbasi kuchemsha na kuogea kunaondoa nuksi

👉Tumbo kuuma
Chemsha mlangamia unywe kikombe kimoja asubuhi na jioni kwa siku 5.

👉DAWA YA CHANGO KWA MWANAMKE

Chukua mlangamia wako kias kisha twanga vizuri na uweke kwnye chombo kisha weka maji kiasi chemsha vyema. Tia maji lita 1 kunywa kikombe cha chai 2 x3 kwa siku 11.

:
Tumia kunywa x3 kwa siku, ndani ya siku 7/11
Tumia Nusu kikombe cha chai kisha
Kunywa asubuh kbla haujala kit chochote
Na mchna na usk wakati wa kulala

Tunaptkna kwa huduma zengine za tiba asili na matatzo mbali mbali piga simu 📞 phone 0758 673 897

ASILI NI Dr. Khalfan Tiba Asilia

 : TAMBUA VIFUNGO & MIKWAMO NDIO MAANA HUFANIKIWI.Una mkuta mtu yupo katika ajira muda mrefu lakini inaenda miaka sasa y...
17/04/2026

: TAMBUA VIFUNGO & MIKWAMO NDIO MAANA HUFANIKIWI.

Una mkuta mtu yupo katika ajira muda mrefu lakini inaenda miaka sasa yeye hakuna alichowahi kubadilisha katika maisha yake tofauti na wenzie wameanza maisha hivi karibuni na mishahara au pesa wanazopata ni ndogo kuliko yeye ila wanafanya mabadiliko na maendeleo yanaonekana huzuni inamtawala zaidi mtu wa namna hii kwakuwa akijiangalia tabia hana hanasa ya aina yoyote na hana uhuni wa aina yoyote lakini haendelei wala hafanikiwi na hajui shida nini wala tatizo ninini?

Unajitahidi kujibidiisha kwa kila kitu biashara una boresha na kuboresha lakini huoni mabadiliko yoyote zaidi ndio kwanza inakufa hata ukifuatilia wenzio wanavyofanya unafanya hadi unawazidi lakini bado unakwama na huendelei na huelewi shida nini tatizo ninini?

Nimeona nianze kwa maelezo hayo ili tuelewe wapi tunaenda katika somo letu hili

MKOSI ni ninini?
Mkosi ni hali ya kuharibikiwa na kila kitu unachokifanya kimazingira bila ya hatia yoyote au kutokana na hatia uliyonayo. Ina maana nyingi mikosi

Sasa tuone namna unaweza kujikuta umo kwenye mikosi na huelewi unahisi hisi tu

Mikosi inatokana na uchawi kwa asilimia kubwa ingawa ipo katika mifumo mitatu tofauti

• Mfumo wa kichawi
• Mfumo wa kimajini
• Mfumo wa kimizimu
•Mfumo wa kichawi
Hizi hufanyiwa mtu uchawi wa mkosi bila kosa lolote ingawa zote zinatokana na uchawi lakini hii ni mikosi ya kiuonevu tu ili kumuangusha mtu bila hatia ambapo mfumo huu wa kichawi ndio ambao wengi umewakumba na una watesa kwa kiwango kikubwa katika miaka tuliyonayo hapa wachawi huitisha kikao maalum katika kijiwe chao na husema mtu mmoja kati yao kuna mtu mtaani amekuja kwa kasi sana kafungua genge tumekula chumaulete sana lakini bado anafanikiwa sasa hivi kanunua kiwanja jirani na alipopanga hapo wanaendelea kukufuatilia utapata uzitoooo mpaka utakawia kujenga hatimae utajenga mpaka utamaliza utazidi kuendelea na kufanikiwa utanunua aidha usafiri wako binafsi genge limezaa mafrem kila kona kwa ujumla una mafanikio au biashara tatu nne ambazo unajimudu kwa kila kitu bado utaendelea kufatiliwa na majirani wakichawi au mchawi mkuu wa Kijiji hicho mwisho akikushindwa atakuzulia maneno mtaani na yatatapakaa anaringa anajiskia anaringa anajiskia n.k. mpaka utachukiwa na kila mtu ila bado utaendelea kufanikiwa ataona haitoshi ndio atawashirikisha wenzake

Wenzake wanakuwa 12-40 nakuendelea hapo utakaliwa kikao kikubwa na lengo ni kukuangusha ulipo uwe chini tofauti na awali cha kwanza watapitia biashara zako zote wakiwa na dawa zao za kichawi zilizoandaliwa kichawi moja ya dawa zao ni

-Uchafu wa chizi
- Maji ya bafuni yanayotoka nje ule utando wake wa juu
- maji aliooshewa maiti
-Uchafu wa maiti au mgonjwa mara ya mwisho kabla ya kufa
- Damu za siku
Na vingine vyote hivi wanaviandaa wakiwa watupu na wanaviandalia jalalani au chooni maana sehemu huwezi kupita ukajisikia raha basi baada ya hapo mzigo huo unachukuliwa na kuanza kupitishwa kila duka lako kwa viapo vikubwa vya kichawi lengo kuu ni kuiua biashara yako au uchumi wako kwa ujumla na kuhakikisha kuwa utashuka na utafilisika kwa namna yoyote ile.

Wakisha fanya zoezi hili wanakufunga wewe mwenyewe pia hapo wanatumia nguvu kubwa wanadili na majina yako na njiapanda jalalani na kwenye miti iliyokufa yenyewe au mapangoni wakishatupia humo kwanza wewe mwenyewe tu utakuwa hueleweki unahisi kuchanganyikiwa lakini huchanganyikiwi una maliza dawa za mvuto unamaliza waganga unamaliza maombi unamaliza funga n.k.lakini hufanikiwi na yote haya umefanyiwa bila kosa lolote huu ndio tunauita mkosi wa kichawi ambao kwa jamii kubwa tuliyonayo inateswa na uchawi huu na kila mwenye kuushinda lazima ataitwa mchawi na vitatembea vineno vya chinichini kuwa huyu jamaa aliaga kwao au mchawi sana n.k. ila wakikuweza ndio kila mara wakija watakusifu kinafki na ikibidi watakukopa sana bila kulipa ili kukuangusha ulipo uwe chini ya waliochini usifikie lengo lako la mafanikio makubwa unayoyatarajia huu ndio mkosi wa kichawi kwa asiye na hatia.

Vipi utajinasua katika hili?

Sasa usiache kufuatilia sehemu inayofuata ya
mfumo wa kimajini ambao nao hutia mikosi kwa wengi bila kuelewa tiba yake ni rahisi ikiwemo kuzingatia utachoelekezwa na kukifanyia kazi ili kuweka mambo sawa.

•Mfumo wa kimajini

Huu ni mkosi unaotokana na majini wako mwenyewe kutokana na wewe kwenda kinyume na muongozo wao wanaokupa.
Mtu anaweza kushangaa majini wangu? Wanaweza kunipa mkosi? Kwanza majini wangu kivipi? Mi Sina majini sasa nakuelewesha hapa ufahamu tu kuwa kielimu ya tiba ingawa sio wote wanaoamini hili lakini kila mtu ana jini mwilini mwake ambaye hakuja kwa nia ya kumdhuru wala kumletea matatizo ila kwa mapenzi tu ili kumpa anachokitaka na kuhakikisha atakipata bila kizuizi na kumfanya awe mshindi dhidi ya lolote analolihitaji na hawa husimama na wewe tu kabla ya kuzaliwa mimba inapotunga tu kwenye sehemu yake husimama majini kulingana na tabia zao pamoja na wachawi humuangalia mtu akiwa tumboni na hujua mapema kuwa huyu atakuwa nani baadaye na ataishije ataishi wapi atapitia nini na nini n.k. baada ya hapo huibuka upinzani kwanzia mimba ipo tumboni majini na wachawi hushindana nani amchukue mtoto ukumbuke hapa majini ni wema na wachawi ndio waovu au wabaya ambao pia husimamiwa na majini wa kichawi katika zoezi lao hilo iwapo wakishinda majini basi mtoto atalindwa kwanzia tumboni na atazaliwa na kutakuwa na muujiza katika kuzaliwa kwake lazima kuna kitu kitatokea na kwa watu wazima litawatoka neno dah mtoto huyu kweli ana bahati kubwa n.k.baada ya hapo wachawi huwa wameshindwa hivyo mtoto atashikiliwa na majini mpaka atakapokuwa ametimiza ndoto zake na hapo kwenye kushikiliwa na majini huwa wana masharti yao na taratibu zao na hapo ndio wengi hukwama na matatizo huanzia hapo kwakuwa wameenda kinyume nao kwa kujua au kutokujua.

Mikosi ya majini humvaa mtu pindi anapojihusisha na mambo ambayo wameshamhadhari nayo kuwa asiyasogelee haswa mambo wasiyoyapenda zaidi ni uchafu wa zinaa haswa mke wa mtu ambaye hajaachwa na bado anaishi na mumewe hiyo hawapendi kabisa, pia mpenzi au mchumba asiyetulia (kulala na mtu ambaye kila siku analala na mtu mpya) sio salama kabisa kwa mtu mwenye majini hao na kingine kudhulumu nako husababisha majini kukukasirikia na kuamua kukupakaa mavi ya jibwa jeusi au yai viza wanakupaa usoni ukiwa umelala baada ya hapo utakwama sana mpaka uzinduke wapi ulikosea.

Hivyo nuksi ya majini inaweza kuharibu mipango yako mingi kwa mara moja tu ndio maana kuna watu wengi unawafahamu wana biashara nzuri kazi nzuri vipaji vizuri lakini hawapigi hatua yoyote kwenye maisha yao.

Je ukiwa shida hizi unatatua vipi?

Utaandaa vitu vifuatavyo kujiweka sawa

• mwiko wa kuokota njiani choma upate unga wake

• Kamba za miti (magamba ya miti yaliyodondoka ambayo yalifungia kuni au mzigo wa porini) choma upate unga wake

• N**i mdondo (toa maji yote ndani ya N**i hiyo ibaki tupu) choma upate unga wake

• mifupa ya kuku mweupe saga mifupa hiyo ya kuku mweupe upate unga

• Unga wa mlangamia

• Unga wa mpapuo

•Majani ya msoniti

• Unga wa mzizi wa mgomba au mzizi tu wa mgomba (usinunue dukani utapewa mgomba gomba ambao sio ) kachimbe mzizi mwenyewe wa mgomba

•Mzizi wa mpapai dume yani usiozaa

Utavichanganya pamoja hivi kisha utachukua na utumie nitakavyokuelekeza ......

√Huo unga utatia kidogo katika maji usiku asubuhi uogee fanya hivi x2 kutwa siku 7-14 na unuie mambo yako yawe sawa

√Unga kiasi kingine utatia katika maji au uji mwepesi kidogo na ukamulie ndimu kisha unywe asubuhi na jioni siku 7 tu utafunguka vifungo vyote

• unga huo huo jisugue nao mwilini kabla ya hujanywa wala hujaoga kisha ule unaodondoka chini ukusanye bila kuushika na mkono kisha ufunge kwenye kitambaa cheusi kisha uchome sindano ibaki palepale imenasia kisha utaitupa sehemu yoyote iliyosahaulika k**a jumba gofu gogo linalooza au njia iliyokufa basi uchawi utaisha mikosi itaisha na adui yako atajuta kuzaliwa na utamjua adui yako.

Pia ukitaka kujua umefanikiwa kujitibu chukua kifuu cha N**i weka njia panda usiku wa saa 6 nenda nyumbani asubuhi saa 11 kakiangalie k**a kipo palepale hujafunguka rudia tiba na ukikikosa uchawi umeisha na bahati nzuri zitakufikia.

Ukiona hiyo ngumu basi washa udi 7 usiku nuia uote kitu fulani ukikiota umepona usipokiota bado upo katika shida.

Ikiwa hiyo ngumu lala usiku nuia kujua umepona au hujapona
Asubuhi ukiamka mtu wa kwanza kuonana naye uso kwa uso ndio jibu lako k**a ni jinsia tofauti umepona k**a jinsia moja bado kapambane

NJIA RAHISI NI MAFUTA YA PIGO LA MAJINI TUMIA YATAKUSAIDIA HARAKA MNO.
✔️Pakaa kwa siku 7
✔️Jifukize nayo
✔️Weka matone kaoge

Uzuri wa huduma hiyo ni kuwa siku zote kuwe na utabiri kusiwe na utabiri utajua namna ya kukwepa na kupunguza makali ya madhara yoyote yanayohitaji kukufikia wewe na pia inakusaidia bahati zako kuzivuta karibu yako au kuzikaribia zaidi na mafanikio yako yatakuwa yenye kutabirika hivyo njia hii Ni nzuri sana.

Ukihitaji huduma hii sema tu nahitaji huduma ya nyota nikupe utaratibu wake.

whatsApp: 0758673897

 : USICHEZE NA HII POST TAFADHARI🙏 Weka ufagio wako mahali nitakapoonyesha na hutawahi kukosa wingi wa fedha au bahati y...
28/03/2026

: USICHEZE NA HII POST TAFADHARI🙏 Weka ufagio wako mahali nitakapoonyesha na hutawahi kukosa wingi wa fedha au bahati ya kifedha.

Ufagio ni ishara maalum ya usafi na upya. Kwa nguvu zake, tunaweza kusafisha mazingira yetu ya nishati hasi na vizuizi vinavyozuia mtiririko wa mafanikio na ustawi katika maisha yetu.

👉Kabla ya kulala, nyunyiza chumvi kidogo kwenye ufagio wako na uuiache nyuma ya mlango wa mbele wa nyumba yako. Wakati wa usiku, ufagio utakusanya kila kitu kinachozuia njia yako, kila kitu kinachokuzuia kufikia mafanikio, ustawi, malengo yako yote, pamoja na hofu zako, mashaka au vizuizi vingine vyovyote vya mafanikio yako.

👉Asubuhi yake, fungua mlango wako na ufagie kuanzia mlangoni ukitoka nje huku ukisema hivi:
"Ninafukuza nguvu zote za uovu na vizuizi vinavyonizuia katika njia yangu. Kwa ufagio huu uliochawiwa, ninafagia nishati hasi yote, na kuhakikisha nyumba yangu imesafishwa na nitapokea baraka na ustawi wangu."

👉Hii ifanywe zaidi wakati wa kukwama au wakati wa shida, hasa katika hali ngumu au changamoto kubwa. Rudia hii kwa siku 3 mfululizo.

👉Ufagio wa wowote.. Mzuri zaidi wa kienyeji..

NB; K**a unahitaji huduma ya tiba, iwe una tatizo la kiuchawi au tatizo lolote na ushauri au mambo mengine binafsi whatsapp+255 6i4 765 575
゚viralシ

   ...💪💪💪  ..!💥💥💥Umejiandaa!   ukiwa Afya Bora!!💥💥Vijana wa siku hizi tunapiga kazi… lakini pia tunapiga mwili!Tunakunyw...
08/02/2026

...💪💪💪 ..!💥💥💥

Umejiandaa! ukiwa Afya Bora!!💥💥

Vijana wa siku hizi tunapiga kazi… lakini pia tunapiga mwili!
Tunakunywa pombe mara kwa mara, kuvuta sigara na sh**ha, kula fast food. Na yote haya yanaumiza ini bila sisi kujua!

Virutubisho vya mimea ya Msoni, Msomvi, Nolo, Sanino, Vombo, Dondo, Gonji, inasaidia kusafisha na kulinda ini kutokana na madhara ya pombe, mafuta na kemikali mwilini.

Husaidia kuondoa sumu mwilini na kuboresha afya ya figo pamoja na mapafu.

Ukilinganisha na lifestyle ya sasa , mwili wako unahitaji kinga mathubuti kupigana magonjwa yanakukabili.Tumia lishe hii kila siku ili kulinda ini mapema kabla matatizo hayajaanza.

Pia hii itakusaidia kwa..
1.Presha & kisukali
2.Magonjwa ya Moyo
4.Bawasiri Sugu
5.Magonjwa ya Ngozi
6.Uvimbe kizazi ( )
7.Vidonda vya Tumbo
8.Kifua cha Pumu
9.Hedhi bila mpangilio
10.Acidity Reflux
11.Magonjwa ya Macho
12.Ganzi mwilini & Maumimivu ya kifupa
13.NGUVU ZA KIUME.
14.KUTOKWA UCHAFU UKENI & HARUFU MBAYA

Tumekuandalia kwa pamoja Mimea hii na kuipata Jina Kila chupa ni kwa week mmoja, lakini unapoinunua chupa 2 unapata punguzo la 15%.

DOZI: 60000Tsh Weka X sema nina 45000Tsh chupa 2.
: TSH 10,000 kwa Dar / Tunatuma Nchi Nzima. Malipo ni kabla nje ya Dar (ODA KABLA YA SAA 4 ASH)
Tunapatikana Manzese, Mkunguni DSM.
Masaa: 8AM - 5PM, Jumatatu - Jumamosi.
W/A au Piga Simu: +255 684 765 575

  💥 Sisi k**a sisi ni watu wa kutoa Afya kwako tu! Ushindwe wewe katika msimu huu tunakupa hadi Asilimia 15% ya punguzo ...
08/02/2026

💥 Sisi k**a sisi ni watu wa kutoa Afya kwako tu! Ushindwe wewe katika msimu huu tunakupa hadi Asilimia 15% ya punguzo la bei kwenye bidhaa zetu zote..!

Sisi hatukati Lawama na wewe.. 😎
PIA TUNA ZAWADI SPESHO kutoka kwetu.. ukinunua utapata asilia na Mafuta Asilia kwa ngozi yako💥💥. Anza kupanga Afya yako kwa kuchagua chakula asilia na halisi kwa 100%.

Uko na BAWASIRI? Huna NGUVU ZA KIUME? PUMU YA NGOZI?( upele, Muwasho, majipu, mba mwilini)😫

Sasa TOP SYRUP, BAWASIRI SYRUP & POWER RIJAAL punguzo la 15%.. Sio tena 60000Tsh ni 45000Tsh kwa dozi kamili.

✔️USIBAKI NA KIBAMIA KUZA UUME MPAKA INCH-12 NA POWER RIJAAL WAKATI NDIO HUU USHINDWE WEWE TU!💥

Furahia punguzo la asilimia 15% ya LISHE ZETU katika Mwezi huu FEBRUARY NI WAKO WAHI WAPEMA💥💥

Chakufanya Piga/ Whatsapp 0758 673 897 LOC. MANZESE DSM
DOZI ZOTE: 45000TSH.






Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard!, Faraja Joram, Ayubu Sambala, Saumu Abdallah, Distensi Sope, Mamu Actress, Jean Paul

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Khalfan Tiba Asilia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share