13/08/2026
Tunapozungumzia afya na maendeleo ya mtoto, LISHE BORA ni sehemu muhimu ya kumsaidia mtoto kukua vizuri. 🧠👁️
🐟 FOREVER ARCTIC SEA ni chanzo cha Omega-3 (DHA & EPA), mafuta muhimu yanayohitajika mwilini k**a sehemu ya lishe bora.
🧠 UBONGO: DHA huchangia utendaji wa kawaida wa ubongo.
👁️ MACHO: DHA ni sehemu muhimu ya retina na huchangia utendaji wa kawaida wa macho.
✨ NGOZI: Omega-3 huchangia afya ya ngozi kwa ujumla.
🌱 UKUAJI: Omega-3 ni sehemu muhimu ya lishe katika kipindi cha ukuaji na maendeleo ya mtoto
Kwa watoto wenye Autism, ADHD au changamoto nyingine za maendeleo, Arctic Sea SI DAWA wala tiba ya hali hizo. Ni food supplement. Kwa mtoto mwenye hali ya kiafya au anayetumia dawa, mzazi anashauriwa kushauriana na daktari kuhusu matumizi na dozi inayofaa.
❤️ Tunachofanya ni kuelimisha wazazi kuhusu LISHE, OMEGA-3 na afya ya familia.
📩 DM “ARCTIC SEA” k**a ungependa kujua zaidi.
Call +255757 039 439