10/08/2026
Katika historia na tafiti za Tiba Asili, majani ya mashikanguo (Bidens pilosa) yametumiwa na wengi kwa matatizo kadha wa kadha kuanzia kukata damu kwenye jeraha hadi chai ya kuongeza damu
Je, wewe una ushuhuda gani kuhusu huu mmea? Umewahi kuutumia?
Tuandikie
Tunajibu kila comment
Maoni yako ni ya muhimu sana