Said kilele

Said kilele Music Distributor & Social Media Manager Alikiba Blood Fans

12/05/2026

🚨 β€œMADAWA” OUT NOW 🩸πŸ”₯
Sauti ya mapenzi, maumivu na hisia halisi…
Sasa inapatikana rasmi kwenye Audiomack 🎧
Support ni kusikiliza, kushare na kuniambia umefeel verse gani zaidi ❀️‍πŸ”₯

&Pain

Link πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://audiomack.com/testarr/song/madawa?share-user-id=11113927

10/05/2026

Mfalme Kila show anatoa Darasa la live music with band ila kuna wanafunzi ni vichwa maji hawataki kupokea mafunzo kutoka Kwa Teacher King

Sasa hivi inabidi king ashike kiboko

30/04/2026

Hebu tucheze kimadoido kidogo

22/04/2026

Kibabage wa kwenye mziki amejua KUJITUTUMUA hapo sasa anatamani kusema Bill zote ziende kwake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jamani hata Simba ikicheza vizuri mbele ya Yanga inasifiwa ila ukweli unabaki pale pale yanga bingwa
Na Bill πŸ’Έ πŸ’΅ zote apewe Ali πŸƒ

22/04/2026

Nyama za kutosha plus maini k**a yote πŸ‘‰πŸŽ§πŸŽΆ

21/04/2026

Andika neno moja tu unalotaka kumwambia king juu ya kipaji chake

18/04/2026

Mnaweza kunilaumu ila katika wasanii ninao wasikikiza ni huyu Nina Imani na kipaji chake , siwezi kumsikikiza copy ya Prince Bora nisikilize nyimbo za zamani ya msanii original

Najua mtaniuliza Nani copy ya Baraka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Address

Kahama

Telephone

+255652580857

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Said kilele posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Said kilele:

Share