25/08/2023
*๐ฉบ DONDOO ZA AFYA
Dr belam
0733883199
*IJUE SABABU YA KUTOKUPONA VIDONDA VYA TUMBO HIYO HAPO CHINI๐*
Uzalishwaji wa ACID nyingi tumboni ndyo sababu kubwa ,ndyo maana Kuna watu unawajua wamepona vidonda lakini wewe hauponi kwasababu vidonda vyake ni tofauti na vyako,WASILIANA na DOCTOR upate ufafanuzi
*DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux*
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:โคต๏ธโคต๏ธ
1.๐๏ธ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.๐๏ธ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.๐๏ธ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.๐๏ธ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.๐๏ธ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.๐๏ธ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.๐๏ธ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.๐๏ธ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.๐๏ธ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.๐๏ธ Kupata kikokozi kisichoisha
11.๐๏ธ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.๐๏ธ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.๐๏ธ Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.๐๏ธ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.๐๏ธ Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.๐๏ธ Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.๐๏ธ Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.๐๏ธ Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
Bonyeza kitufe cha whatsapp Ili kuwasiliana nami