AfyaCast

AfyaCast Health for All
🥗 Balanced Nutrition | 🏃 Exercise | 🧠 Mental Health
📢 Health Awareness Campaigns
💬 DM for Collaboration & Guidance

Ujazo Sports Tumedhaminiwa na Unga Wa DONA uliochanganywa Mihogo na Mahindi lishe ya njanoLishe bora, ladha ya asili na ...
14/08/2026

Ujazo Sports Tumedhaminiwa na Unga Wa DONA uliochanganywa Mihogo na Mahindi lishe ya njano

Lishe bora, ladha ya asili na ubora unaoaminika kwa familia nzima. AfyaCast Lishe+ - Lishe Bora, Maisha Bora.

Inasambazwa na BrainUjazo kwa kushirikiana na kampuni ya Mshachu General Supplies Co.LTD

Tanzania

Mapema Itakua Sokoni, Tunakuletea AfyaCast Lishe+ Unga wa Lishe wenye ubora wa hali ya juu kwa afya bora ya familia yako...
14/08/2026

Mapema Itakua Sokoni, Tunakuletea AfyaCast Lishe+ Unga wa Lishe wenye ubora wa hali ya juu kwa afya bora ya familia yako na watoto kwa Bei: TSH 7,000 tu kwa 1KG. Chagua lishe bora leo kwa maisha yenye nguvu na afya njema. AfyaCast Lishe+ - Lishe Bora, Maisha Bora.Itakua Ikisambazwa na

Kutangazwa na BrainUjazo Digital kwa kushirikiana na Mshachu General Supplies Co.LTD Hashtags:

Unga Wa DONA uliochanganywa Mihogo na Mahindi lishe ya njanoLishe bora, ladha ya asili na ubora unaoaminika kwa familia ...
03/08/2026

Unga Wa DONA uliochanganywa Mihogo na Mahindi lishe ya njano
Lishe bora, ladha ya asili na ubora unaoaminika kwa familia nzima.
AfyaCast Lishe+ - Lishe Bora, Maisha Bora.
Inasambazwa na BrainUjazo kwa kushirikiana na kampuni ya Mshachu General Supplies Co.LTD




Bidhaa yetu ya asili tumekuletea mapema mwezi huu wa nane itakua Sokoni kwa Gharama ya Tsh Elfu Nne tu kwa Kilo inavirutubisho vya kutosha Jamni huu ndio muda wa kula Dona Sasa ilibora wewe mteja wetu ni wa thamani sana. Dona la Kusaza



Official logo

Mapema Itakua Sokoni, Tunakuletea AfyaCast Lishe+ Unga wa Lishe wenye ubora wa hali ya juu kwa afya bora ya familia yako...
03/08/2026

Mapema Itakua Sokoni, Tunakuletea AfyaCast Lishe+ Unga wa Lishe wenye ubora wa hali ya juu kwa afya bora ya familia yako na watoto kwa Bei: TSH 7,000 tu kwa 1KG. Chagua lishe bora leo kwa maisha yenye nguvu na afya njema.
AfyaCast Lishe+ - Lishe Bora, Maisha Bora.Itakua Ikisambazwa na Kutangazwa na BrainUjazo Digital kwa kushirikiana na Mshachu General Supplies Co.LTD Hashtags:




Hii Ni package yetu itakavyokua na Huyo Brand Ambassador wetu ni Mwenetu Askari wetu Geniuz Son tumeingia nae Mkataba Wa Kudumu sasa ni kwamba Watoto, Watu wazima Hii lishe ni yenu sasa kaeni tayari oda zimiminikeeee mashule,maofisi Brand yetu hii apa unaweza patiwa Lishe ukalipa kwa Invoice pia AfyaCast Lishe plus.

OFFICIAL LOGO

🩸 Damu yako inaweza kuwa tumaini la maisha kwa mtu mwingine. Jiunge nasi kwenye TABASAMU BLOOD DONATION 2026.❤️ Changia ...
11/06/2026

🩸 Damu yako inaweza kuwa tumaini la maisha kwa mtu mwingine. Jiunge nasi kwenye TABASAMU BLOOD DONATION 2026.

❤️ Changia Damu | Okoa Maisha | Sambaza Tabasamu

07/06/2026
🩸 Damu yako inaweza kuwa tumaini la maisha kwa mtu mwingine. Jiunge nasi kwenye TABASAMU BLOOD DONATION 2026.❤️ Changia ...
05/06/2026

🩸 Damu yako inaweza kuwa tumaini la maisha kwa mtu mwingine. Jiunge nasi kwenye TABASAMU BLOOD DONATION 2026.

❤️ Changia Damu | Okoa Maisha | Sambaza Tabasamu
sponsored by Ezzygraphics




BrainUjazo

Address

Kilimanjaro

Telephone

+255717269537

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AfyaCast posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AfyaCast:

Shortcuts

Share