Chito TCM Health

Chito TCM Health Nasaidia Wanawake Kutoa Uvimbe Wa Kizazi Bila Upasuaji Ndani Ya Wiki 6 Kwa Dawa Na Program Maalum.

31/05/2026

Kutoka sentimita 7 za uvimbe hadi sifuri bila kisu cha daktari!...

Ushuhuda kutoka kwa waliopona ndio unaonyesha uwezo na ubora wa tiba sahihi asilia kutoka Tamaduni ya watu wa China inayofanya kazi mwilini...

Huyu dada alikuwa na uvimbe mkubwa wa Fibroids wa sentimita 7 na ulimtesa Kwa mda mrefu sana, madaktari wakamwambia njia pekee ni kufanyiwa oparesheni ilikuwa ni 2023,

Ilipofika mwaka 2024 uvimbe ukajimultiple na kuenea kizazi nje na ndani hivyo aliandikiwa kutolewa mfuko wa uzazi...

Aliamua Kwa dhati na kuchukua hatua ya kuanza program yetu Chito TCM Health Care;
alitumia alitumia vyema sambamba na mazoezi tiba, na baada ya muda uvimbe ulianza kutoka vipande vipande mpaka ukaisha wote kabisa...

Ikiwa na wewe unataka kupona k**a huyu dada,
Tuchecheck sasa
wa.me/255693166307




26/05/2026

"KUNA WAKATI MACHOZI YANAKUWA NDIO LUGHA PEKEE YA MOYO ILIYOBAKI..." 😭💔

Hebu vuta picha: Miaka inakatika, kila mara unakuwa na maumivu makali yasiyoelezeka ya Endometriosis. Kila kukicha, unakumbana na hukumu ya matabibu na wauguzi kwamba mirija imeziba na uvimbe (Mayomas) inazidi kukua...

Ndani ya chumba chako, kilio cha siri kimekuwa wimbo wako wa kila usiku...

Jamii inakunyooshea vidole, na sauti ya ndani inakuambia, "Umechelewa, huna thamani, na umri umeenda."

Huu ulikuwa ukweli mchungu wa maisha ya dada yetu huyu aliyeteseka kwa miaka mingi...

Alijaribu kila njia, akatumia kila aina ya dawa majibu yalibaki yale yale—kukata tamaa na maumivu yaliyopenya hadi kwenye mifupa.

Sikiliza hii... NDANI YA CHITO TCM HEALTH CARE HAKUNA WAKATI ULIOCHELEWA! 🙌✨

Katika umri wa miaka 49, umri ambao wengi wanaamini ndoto yake imekufa...

CHITO TCM HEALTH CARE imemfuta machozi yake ya miaka mingi! Kupitia ushauri, maelekezo, na virutubisho mahiri kabisa Grade A...

Dada huyu alipata uponyaji wa Mirija ilizibuka, uvimbe ulitoweka, na tumbo lake lililokuwa na maumivu likageuzwa kuwa nyumba ya kiumbe kipya.

Leo hii, mikononi mwake ameshika mtoto wa kiume—ishara hai ya subira wa huduma ya CHITO TCM amekuwa wakicheko badala ya kilio! 👶🍼🎉

💌 Ujumbe wangu kwako mwanamke unayesoma hapa:
Uvimbe, mirija kuziba, au umri wako visitishie ndoto yako ya kuitwa "Mama". K**a Mungu amefanya kwa huyu dada akiwa na miaka 49, anaenda kufanya na kwako pia. Usikate tamaa, usijifungie ndani na maumivu yako. Kuna suluhisho la uhakika linalobadili maisha yako.

👇 CHUKUA HATUA LEO:
Je, na wewe unapitia changamoto k**a hizi au unamfahamu mwanamke anayelia kwa siri kwa sababu ya changamoto za uzazi? Usikae kimya.
👉 Tuma ujumbe sasa hivi kwenye Inbox (DM) yetu ya Chito TCM Health kupata ushauri wa kina na kuanza safari yako ya uponyaji.

Usisahau ku-SHARE post hii, unaweza kuwa daraja la kuokoa tabasamu la mwanamke mwingine leo! ❤️

23/05/2026

"UMRI NI NAMBA UNAPORUSU CHITO TCM IFUNGUE MILANGO YAKE KWAKO ..." 🕊️✨

Hebu wazia mchanganyiko wa Fibroids (uvimbe), mirija ya uzazi kuziba, na Endometriosis kwa mwanamke mmoja.
Kitaalamu na kijamii, hii inaonekana k**a dhoruba inayoshindikana...

Kwani mchanganyiko unaoleta maumivu makali ya kimwili, na maumivu makubwa zaidi ya kisaikolojia...

Hali hii ilimfanya dada mmoja kukata tamaa kabisa...

Miaka ilisogea, hadi akafikisha miaka 46..

Katika umri huo, wanawake wengi hukubali matokeo na kukata tamaa kabisa na ndoto ya kupata mtoto hutoweka.

Fahamu palipo na subira na usaidizi sahihi ndani ya CHITO TCM HEALTH hakuna linaloshindikana...

Baada ya kukutana na Madam Claudia, safari mpya ya uponyaji ilianza...

Haikuwa safari ya siku moja,jambo jema zaidi ilikuwa safari ya uhakika na yenye matokeo...

Leo tunasherehekea uponyaji wake kamili — uvimbe haupo, Endometriosis hakuna tena, na mirija ikawa wazi, na na kupelekea kubeba mimba iliyokuwa bila usumbufu na hatimae amejifungua salama mtoto wa k**e mwenye afya njema kabisa! 🎉👶❤️...

Hii inatufundisha nini? Kwamba miili yetu ina uwezo wa kujiponya na kurejea kwenye uasili wake k**a tukitumia mbinu sahihi na kupata usimamizi mzuri.

🌿 Ujumbe wetu wa Matumaini kwako:
Ugonjwa wako usiwe kikwazo na umri wako sio kikwazo cha uponyaji wako...

Mirija inafunguka, Adenomyosis inaisha, Endometriosis na Fibroids vina isha na Suluhusho lipo.

Usikubali kuishi na maumivu k**a sehemu ya kawaida ya maisha yako.

👇 NJOO TIONGEE KWA FARAGHA:

Afya yako ya uzazi ni siri yako na ni kitu cha thamani sana. Ndio maana tunakukaribisha kuzungumza nasi kwa usiri mkubwa...

📩 Tuma ujumbe wa faragha (Private Message/Inbox) sasa hivi kwenda Chito TCM Health...

Tutasikiliza changamoto yako na kukupa muongozo utakaokusaidia kupata tabasamu lako tena k**a dada yetu wa miaka 46...

📢 Share post hii kwenye magroup na kwenye profile yako. Kuna mwanamke yuko kwenye group lako analia sasa hivi, post hii inaweza kuwa mwangaza wake wa pekee.


10/05/2026

🌷 HAPPY MOTHER’S DAY 🌷
Leo tunawapongeza wanawake wote wenye moyo wa upendo, uvumilivu na nguvu kubwa ya kuwa mama ❤️
Lakini pia tunawakumbuka kina mama wengi wanaopitia changamoto za kiafya kimya kimya…
❌ Maumivu ya tumbo
❌ Uvimbe kwenye kizazi
❌ Fibroids
❌ Cyst
❌ Kutokwa damu nyingi
❌ Maumivu ya hedhi
❌ Kushindwa kupata ujauzito
Mama mwenye afya ni furaha ya familia 💐
Katika siku hii maalum ya Mama Duniani, tunasema:
Usikubali kuendelea kuumia kimya kimya.
Afya yako ni muhimu, maisha yako ni ya thamani, na bado unaweza kuishi maisha yenye furaha na amani ❤️
Karibu tupate ushauri na msaada wa afya kwa upendo na kujali 🤝
🌹 Happy Mother’s Day kwa mama wote wapambanaji!
Mungu awape afya njema, furaha na maisha marefu


06/05/2026

MUNGU NI MWEMA – HAKUNA LISILOWEZEKANA KWAKE
Baada ya miaka 11 ya maumivu, machozi na kukata tamaa…
leo hii Dada Saada anashuhudia wema wa Mungu katika maisha yake 🙏
✔️ Uvimbe (Fibroids) umeondoka
✔️ Endometriosis imeisha
✔️ Mirija imefunguka
✔️ Hakuna tena damu kupotea
✔️ Hakuna tena maji machafu
✔️ Hakuna tena maumivu
👉 Alipitia mengi… hata hivyo Mungu hakumwacha.
👉 Leo hii amepewa afya mpya na amani ya moyo 💛,
K**a unapitia changamoto k**a hii,
usikate tamaa…

📩 Nicheki inbox / WhatsApp tuanze safari yako ya ushuhuda

27/04/2026

Kutana na ushuhuda wa dada Anna (siojina halisi)

Dada Anna alijua kuhusu CHITO HEALTH CARE kupitia mmoja wa matabibu( mtoa huduma yatiba lishe) ambaye ni rafiki yake,

Na aliweza kuanza program ya kumaliza uvimbe bila upasuaji na utoke Kwa kuuona Kwa macho unavyotoka Vipande Vipande ...

Huduma hii aliipata ndani ya CHITO TCM HEALTH CARE,

Aliona matokeo kwa macho yake – uvimbe ulianza kupungua na aliishi maisha bora zaidi bila uchungu. 💚


21/04/2026

Kila iitwapo leo tuna mtukuza Mungu atuwezeshae kushindwa...
Toa uvimbe bila upasuaji,
Hivi ndivyo itakavyokuwa na kwako pia...



15/04/2026

“Matokeo yanaongea! 🙌
Mmoja kati ya wanawake tuliowahudumia, amejifungua salama baada ya kupata huduma yetu 💯
Karibu nawe upate huduma kwa sahihi.”


08/04/2026

Hivi ndivyo itakavyokuwa na kwako pia.

Usipoteze mda inuka njoo CHITO TCM HEALTH CARE,
Ujipatie Program ya kuutoa uvimbe Kwa kuuona Kwa macho Yako unavyotoka mpaka unaisha.



08/04/2026

Hivi ndivyo itakavyokuwa na kwako pia.

Usipoteze mda inuka njoo CHITO TCM HEALTH CARE,
Ujipatie Program ya kuutoa uvimbe Kwa kuuona Kwa macho Yako unavyotoka mpaka unaisha.

Address

Kimara

Telephone

+255693166307

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chito TCM Health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chito TCM Health:

Share