Mwakyoma Herbs

Mwakyoma Herbs Tunawasaidia wanaume wenye changamoto za nguvu za kiume kuweza kuondokana na changamoto hizo kupitia tiba lishe.

09/08/2026
SPECIAL FOR MENUume ni K**a charge ya simu ikianza kuchoka lazima uanze kuitegesha tegesha mala hivi mala vile ili iingi...
01/08/2026

SPECIAL FOR MEN
Uume ni K**a charge ya simu ikianza kuchoka lazima uanze kuitegesha tegesha mala hivi mala vile ili iingize charge kwenye simu mwisho wa siku inakufa kabisa na hutajua sababu ni nini.
Ukiona umefikia hatua ya Kuishika shika mashine yako ndo isimame kwenye Tendo la Ndoa, Ujue hiyo ni Dalili ya Awali kuwa Haupo Vizuri unahitaji kujifanyia Service ya kinga Tatizo lisiendelee Au Tiba Tatizo lipone kabisa usipo Fanya hivyo Siku Uume ukilala Mazima hauamki tena Baada ya Bao la kwanza tu nalo la Kuwahi ndani ya Dakika 2 basi Utaelewa ninachosema
Imagine Upo tayari kufanyia Service Gari Yako kwa Mamilioni ya Pesa, Lakini Haupo tayari Kuufanyia service Mwili Wako angalau Hata Mara Moja Unasubili Tatizo liwe sugu Alafu uanze kusema nimetumia madawa Mengi ila Sijapata Kupona ,

.Unamsifia Mke kwamba ni Mvumilivu anakuvumilia Sana ila Wewe haupo Bado hujaamua kujiongeza(kuchange gia angani Upone) kweli wapo wanawake wavumilivu lakini wapo wengine wakiona umeshindwa kuwakidhi chumbani akili zao wanazijua wenyewe,ila kwasababu bado unaona ni kawaida tu we endelea, ipo Siku utaelewa ninachokisema baada ya Kuambiwa utoe mamilion kwa ajili ya service ya Mwili wako.

.Hivyo basi ujumbe wangu kwako mwanaume ni huu 👉usiendelee kulea tatizo ilihali tiba sahihi zenye matokeo ya kudumu zipo, ungana na wanaume wenzako walioamini huduma zetu ufurahie maisha ya ndoa au mahusiano yako.

Mwakyoma herbs
☎️ 0763 167664

YAJUE HAYA KUHUSU MBEGU ZA KIUME (S***M)Wanaume wengi hawajui siri kubwa kuhusu mbegu zao, kumbe afya ya mbegu za kiume ...
01/08/2026

YAJUE HAYA KUHUSU MBEGU ZA KIUME (S***M)

Wanaume wengi hawajui siri kubwa kuhusu mbegu zao, kumbe afya ya mbegu za kiume ndiyo msingi wa uzazi bora. Haya ndiyo mambo muhimu ya kuzingatia:
UZALISHAJI WA MBEGU

Mbegu hutengenezwa kwenye korodani (testes).Inachukua takribani siku 64–72 mbegu moja kukomaa.

Kila mwanaume huzalisha zaidi ya milioni 1 hadi 1.5 kwa dak 1
UBORA WA MBEGU

Mbegu bora lazima iwe na:
1 Kasi
iwe na uwezo wa kuogelea vizuri.

2 Uumbaji sahihi
kichwa na mkia vilivyo kamili.

3 Idadi ya kutosha
angalau milioni 15 kwa ml moja.
VITU VINAVYOATHIRI UBORA WAKE

❌ Pombe, sigara na bangi huharibu uzalishaji.

❌ Msongo wa mawazo na kukosa usingizi hupunguza nguvu za mbegu.

❌ Vyakula vyenye mafuta mengi, soda, na vyakula vya haraka (fast food).

❌ Joto kubwa (kuvaa nguo za kubana, kuweka laptop mapajani muda mrefu).
VITU VINAVYOBORAISHA MBEGU

✅ . Kula vyakula vyenye zinki (karanga, mbegu za maboga, dagaa).
✅. Kula matunda yenye vitamini C & E (machungwa, parachichi, karoti).
✅.Tangawizi, vitunguu swaumu na asali ni bora sana kwa uzazi.
✅.Mazoezi ya mwili na kuepuka uzito mkubwa.
✅. Kunywa maji ya kutosha kila siku.
UMUHIMU WA MBEGU ZENYE AFYA

⚽Zinaongeza nafasi ya kupata mimba haraka.

⚽Zina mchango mkubwa kwenye nguvu za kiume na hamu ya tendo.

⚽Mbegu bora huchangia kupata mtoto mwenye afya njema.

ZINGATIA
K**a mwanaume anataka uzao bora, basi anatakiwa kutunza afya ya mbegu zake kila siku, kupitia lishe bora, mtindo mzuri wa maisha, na kuepuka mazoea mabaya.

MWAKYOMA HERBS
☎️ 0763167664
---------------------

FAIDA UTAKAZOPATA UKITUMIA PRO-VIG1. kuimarisha misuli ya Uume2. Kufanya uume usimame kwa ukak**avu3. Kufanya udumu kwen...
30/07/2026

FAIDA UTAKAZOPATA UKITUMIA PRO-VIG

1. kuimarisha misuli ya Uume

2. Kufanya uume usimame kwa ukak**avu

3. Kufanya udumu kwenye tendo mda mrefu

4. Kutibu athari zinazotokana na upigaji punyeto

5. Kuongezea Urefu na Unene wa uume kwa ujumla

6. Pia itakusaidia kuongeza hamu ya kufanya tendo

7. Kuupa uume nguvu ya kusimama kwa mtu ambae
hawezi simamisha kabisa

☎️ 0763167664

———Tafiti zinasema kwamba mwanamke anapenda zaidi kufanya mapenzi zaidi ya mwanaume anavyopenda.. na ndio maana mwanamke...
26/07/2026

———

Tafiti zinasema kwamba mwanamke anapenda zaidi kufanya mapenzi zaidi ya mwanaume anavyopenda.. na ndio maana mwanamke akipata mwanaume ambaye anamridhisha vizuri ni rahisi sana kumpenda na kutokutaka kuachana nae hata k**a hana pesa nyingi.

Lakini sasa mwanamke usipomridhisha na ukawa unamhitaji tena ni rahisi sana kuanza kukosa hisia na wewe kwasababu unampa hamu nyingi lakini unashindwa kuzimaliza na hiki kitu kinawakera wanawake na ndio chanzo cha kukuchukia mwanaume na kutokuona thamani yako au kuishusha thamani yako.

💌ANGALIZO: .... K**a mwanamke wako humridhishi na anakuambia na anaonyesha anatamani wewe ndio umridhishe basi ujue anakupenda sana na hataki kukusaliti

⚠️👉LAKINI k**a unaona kabisa humridhishi mwanamke wako na yeye wala hakuambii na anaonekana yuko poa tu, aisee ndugu. yangu kuna mwanaume mwenzio anakusaidia huko nje. HIZO HISIA HAZIVUMILIKI KWA WANAWAKE

MWANAUME FIKIRIA HILL,
hebu fikiria hufiki kileleni kwasababu ya mwanamke wako hayuko vizuri kinachofuata hapo kwanza hutomuona ana thamani sana kwako na pili ni rahisi sana kutafuta alternative huko nje. HIVI NDIVYO ILIVYO HATA KWA WANAWAKE

CHUKUA HATUA MAPEMA KUNUSURU MAHUSIANO YAKO, KURUDISHA HESHIMA YAKO NA KUONGEZA UPENDO NA FURAHA KATI YENU*

TUPIGIE SIMU KWA HUDUMA ZA UHAKIKA AU TEXT/WHATSAPP

0763 167664
Mwakyoma Herbs

Mazoezi ya mwili yana faida nyingi kwa afya ya mwili na akili. Baadhi ya faida hizo ni:1. Huimarisha afya ya moyo – Husa...
24/06/2026

Mazoezi ya mwili yana faida nyingi kwa afya ya mwili na akili. Baadhi ya faida hizo ni:

1. Huimarisha afya ya moyo – Husaidia moyo kufanya kazi vizuri na kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.
2. Husaidia kudhibiti uzito – Huchoma kalori na kusaidia kupunguza au kudumisha uzito unaofaa.
3. Huongeza nguvu na stamina – Misuli na mifupa huwa imara zaidi.
4. Huboresha afya ya akili – Hupunguza msongo wa mawazo, wasiwasi, na dalili za unyogovu.
5. Huboresha usingizi – Watu wanaofanya mazoezi mara kwa mara hulala vizuri zaidi.
6. Huongeza kinga ya mwili – Mwili huwa na uwezo bora wa kupambana na baadhi ya magonjwa.
7. Huboresha mzunguko wa damu – Oksijeni na virutubisho husafirishwa vizuri mwilini.
8. Hupunguza hatari ya magonjwa sugu – K**a vile kisukari cha aina ya pili, shinikizo la damu, na baadhi ya saratani.
9. Huongeza kujiamini – Mwonekano na hali ya mwili vinapoboreka, mtu hujisikia vizuri zaidi.
10. Huongeza ubora wa maisha kwa ujumla – Huwezesha kufanya shughuli za kila siku kwa urahisi zaidi.

Kwa afya bora, inashauriwa kufanya mazoezi ya wastani kwa angalau dakika 15 kwa siku, k**a kutembea kwa haraka, kukimbia, kuogelea, au kuendesha baiskeli.

🍥 Yani mwanaume Asubuhi Unachanganya Maharage na Chapati pamoja Alafu unataka uichape kisawasawa 😂 Unaleta Utani Wewe......
04/06/2026

🍥 Yani mwanaume Asubuhi Unachanganya Maharage na Chapati pamoja Alafu unataka uichape kisawasawa 😂 Unaleta Utani Wewe....

🛑 • IPO HIVI....
Kundi Kubwa la Vijana Wanaohangaika na Nguvu za Kiume ndio hao vijana ambao wapo kwenye Level ya Utafutaji maisha, Wanakula Lishe Duni kwasababu wengi bado hawajaoa, hivyo chochote mbele yake anapita nacho

💌 WENGI WANAKULA HIVI....
⚠️ Asubuhi:
Utakuta anaagiza Soda na Chapati au Maandazi au Vitumbua, k**a sio hivyo Basi anakunywa chai na Maandazi Nane au kumi

⚠️ Mchana:
Ataagiza Chipsi na Soda, au Ugali / Wali kutoka kwa Mama Ntilie ambapo sio Salama kutokana na Mafuta na sukari nyingi

⚠️ USIKU:
Ataagiza Chipsi na Soda au Ugali / Wali atanunua kwa Mama ntilie..

⚠️ 🛑
■ Bad enough Mazoezi kwake inaweza kuwa changamoto

■ Akienda Kulala, atapitia Page zake za Ngono astue na kimoja (nyeto)

🛑 Hata wewe si Unaona Hapo Hizo nguvu za Kiume zitatoka Wapi ? 😂

⚠️TUNAJITAHIDI KUTOA ELIMU KUHUSU VYAKULA LAKINI KIUHALISIA KIBONGO BONGO BADO SANA KUTOKANA NA LEVEL ZA KIUCHUMI

☎️ 0763167664

07/04/2026

Ewe Mwanaume Mwenzangu Usichukulie Poa Kabisa Hali Ya Kushindwa Kushiriki Vizuri Tendo La Ndoa Pamoja na Changamoto Ya Kuwahi Kufika Kileleni....

🎱 Asikuongopee Mtu Yoyote....

Ipo wazi kwamba Kila Mwanamke Ana furahia Kufikishwa Kileleni .....

Na Ndio Maana Haijalishi Utatumia Pesa Au Nguvu Kiasi Gani Kulinda Mahusiano Yako

K**a Uwezo Wako Wa Kushiriki Vizuri Tendo La Ndoa Ni DAKIKA TANO CHALI Basi

Unahitaji Kuchukua Hatua Ya Mapema Sana Ya Kutatua Changamoto Yako...Ili Kuepuka Kusalitiwa na Kuonekana Sio Rijali ..Ambako Kunaweza Kumfanya Mwenza Wako Akachepuka au akakuona Sio Mwanaume Rijali

Kwanini Uruhusu Hilo Litokee Wakati Dawa Yetu PRO-VIG Inaweza Kusaidia Kuondokana Kabisa Na Hii Aibu

PRO-VIG Itakusaidia Kuimarisha MISULI Ya UUME Hasa Kwako Mwanaume Uliewahi KUSHIRIKI PUNYETO KWA MUDA MREFU Au Umri Mkubwa

Full Dose 150,000 Tshs
Half Dose 75,000 Tshs

MWANAUME KUNA BAADHI YA STYLES  HUTOWEZA KUFANYA KUTOKANA NA AINA YA UUME ULIONAO NA NAMNA ULIVYOATHIRIKA NA MFUMO WA MA...
19/03/2026

MWANAUME KUNA BAADHI YA STYLES HUTOWEZA KUFANYA KUTOKANA NA AINA YA UUME ULIONAO NA NAMNA ULIVYOATHIRIKA NA MFUMO WA MAISHA EITHER UMRI AU ULAJI WAKO NA MCHEZO MCHAFU WA PUNYETO

HIVYO NI BORA KUANZA MARA MOJA KUTUMIA PRO VIG MAPEMA KUWEKA FIT MFUMO MZIMA WA MISULI YA UUME WAKO KUPANGA NI KUCHAGUA UAMUZI NI WAKO SASA

CONTACT 0763167664

MADHARA 7 YA KUJICHUA KWA MWANAUME 1.   Kujichua kupita kiasi kunaweza kuathiri afya yako ya akili na maisha yako kwa uj...
17/03/2026

MADHARA 7 YA KUJICHUA KWA MWANAUME

1. Kujichua kupita kiasi kunaweza kuathiri afya yako ya akili na maisha yako kwa ujumla. Hapa kuna madhara yake:

2. Kukosa Msukumo – Kupoteza hamasa ya kufanya mambo muhimu k**a kazi, mazoezi, au kujifunza.

3. Msongo wa Mawazo na Huzuni – Kujihisi mwenye hatia au kuwa na huzuni baada ya kujichua mara kwa mara.

4. Kutengwa Kijamii – Kupunguza hamu ya kuwasiliana au kujihusisha na watu wa karibu.

5. Matatizo ya Kulala – Kuzoea kujichua kabla ya kulala kunaweza kuvuruga usingizi na kusababisha uchovu.

6. Kupungua kwa Hamu ya Kufanya Mapenzi – Mwili huanza kujizoeza kuridhika na kujichua badala ya mahusiano ya kawaida.

7. Uraibu wa Kujichua – Kupenda kujichua kupita kiasi hadi kushindwa kuacha, jambo linaloweza kuathiri kazi na mahusiano.

USHAURI KWA WANAOPIGA NYETO

✅ Kupunguza muda wa upweke
✅ Kuepuka vichocheo vya ngono
✅ Kushiriki katika shughuli zenye tija
✅ Kusaka ushauri wa kitaalamu
✅Tumia dawa ya PRO-VIG utanishukuru

0763 167664
-----------------------
Mwakyoma Herbal

Address

Magomeni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwakyoma Herbs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share