17/10/2023
Kuanzia Tarehe 26-10-2023 Hadi 28-10-2023 Hospital ya KKKT Orkesumet, Simanjiro. Inapenda kutangaza Kambi ya Madaktri Bingwa Kutoka Hospital ya Seliani Ngaramtoni...
Matibabu yatatolewa kwa gharama nafuu, Nyote mnakaribishwa.