19/08/2026
πππ DAKTARI BINGWA WA MASIKIO, PUA NA KOO ANAPATIKANA
Una changamoto za masikio, pua au koo? Karibu Zango Zaidi Regional Referral Hospital upate huduma bora kutoka kwa Daktari Bingwa wa Masikio, Pua na Koo (ENT).
π Muda: Kuanzia Saa 4:00 Asubuhi
π Huduma zinazotolewa:
β’ Uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya masikio
β’ Uchunguzi wa matatizo ya usikivu
β’ Matibabu ya maambukizi ya masikio
β’ Uchunguzi na matibabu ya sinusitis
β’ Matibabu ya matatizo ya pua
β’ Uchunguzi na matibabu ya koo na tonsils
β’ Uchunguzi wa matatizo ya kupumua
β’ Ushauri na ufuatiliaji wa afya ya masikio, pua na koo
π₯ HUDUMA ZETU HOSPITALINI:
β’ π Huduma za Dharura β Masaa 24
β’ π Masikio, Pua na Koo (ENT)
β’ π©Ί Magonjwa ya Ndani
β’ π€° Wanawake na Uzazi
β’ πΆ Watoto
⒠𦴠Mifupa
β’ ποΈ Macho na Kliniki ya Miwani
β’ πΏ Ngozi
β’ π¦· Kinywa na Meno
β’ πͺ Mazoezi Tiba na Utengamao
β’ π©Ί Mfumo wa Mkojo
⒠𧬠Kliniki ya Kinga na Tiba (CTC)
β’ π€± Huduma za Mama na Mtoto (RCH)
β’ πͺ Upasuaji
β’ π¬ Maabara ya Kisasa β Masaa 24
β’ π©» X-Ray & Ultrasound
β’ π Pharmacy
π Usipuuze matatizo ya masikio, pua au koo. Karibu ZZRRH kwa uchunguzi na matibabu ya kitaalamu.
π Chamazi β Magengeni
π 0717 120 575 | 0674 782 040
Zango Zaidi Regional Referral Hospital
Afya Yako Ni Kipaumbele Chetu.