Leonia health clinic

Leonia health clinic Nasaidia watu mbalimbali kuondokana na changamoto za kiafya magonjwa yasiyokuwa ya kuambukizwa.

17/12/2025
Mwanamke Akifika KileleniTafiti Zinaonyesha  Kua Asilimia 60 Ya Wanawake  Hawawezi Kufika Kileleni.⭐️Japo Wapo Baadhi Wa...
25/02/2025

Mwanamke Akifika Kileleni
Tafiti Zinaonyesha Kua Asilimia 60 Ya Wanawake Hawawezi Kufika Kileleni.
⭐️Japo Wapo Baadhi Wanaofika, Hata Hivyo Katika Hao Wanaofika Kileleni Baadhi Yao Huwa Ni Vigumu Mwanaume Kujua Au Kugundua K**a Mwanamke Kafika Kweli Kileleni.
⭐️Hizi Ni Dalili Za Mwanamke Aliefika Kileleni.
🍏Uke Utabana Na Kuachia
🍏Kuhema Kwa Kasi Na Kutokwa Jasho
🍏Mwili Kulegea
🍏Kumzuia Mwanaume Asiendelee Kufanya Chochote K**a Kuendelea Na Tendo
🍏Kumbana Mwanaume Kwa Nguvu,Kumfinya Na Hata Kung'ata Shuka Au Mito Kwa Nguvu.
🍏Bila Kusahau Hali Ya Kutetemeka Ambapo Mapaja na Hata Miguu Yote Hutetemeka Muda Mfupi Baada Ya Kufika Kilele
🍎KWA WASTANI MWANAMKE KUFIKA KILELENI NI DAKIKA 14
+255758649474

25/02/2025

Nipigie nikuhudumiee +255758649474

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 Gastroesophageal reflux disease (GERD).-Ni hali in...
20/02/2025

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)

𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔

Gastroesophageal reflux disease (GERD).
-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.

Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatzo hili.

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🖇️ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🖇️ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🖇️ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🖇️ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🖇️ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🖇️ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🖇️ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🖇️ Kupata kikokozi kisichoisha
11.🖇️ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🖇️ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🖇️ Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🖇️ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🖇️ Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto

20/02/2025

*Dr. Ts Toothpaste*

*Hii ni dawa ya meno ya asili iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa mimea yenye faida zifuatazo:-*

*✔ Notoginseng – Husaidia kuzuia kutokwa na damu kwenye fizi.*
*✔ Honeysuckle – Hupunguza uvimbe wa fizi na kuimarisha afya ya kinywa.*
*✔ Green Tea – Huondoa harufu mbaya mdomoni na kuacha harufu safi na ya kupendeza.*
*✔ Blue Cleansing Factor – Husafisha meno kwa kina, kuyafanya meupe na yenye kung'aa.*
*✔ Herbal Factor – Hupunguza maumivu ya meno, huimarisha afya ya meno, na kusaidia kuondoa hali ya meno kuwa na hisia kali (sensitivity/ ukakasi wa meno unapotafuna vitu vigumu au sauti za msuguano).*

*Kwa maelezo zaidi, wasiliana nami:-*
*📲 +255758649474

🪼 *AINA ZA CHEMBE YA MOYO (TYPES)*📌 Stable Angina:✅Hutokea wakati moyo ukifanya kazi zaidi ya kawaida k**a. Mazoezi ✅Hal...
20/02/2025

🪼 *AINA ZA CHEMBE YA MOYO (TYPES)*
📌 Stable Angina:
✅Hutokea wakati moyo ukifanya kazi zaidi ya kawaida k**a. Mazoezi ✅Hali Huchukua dakika na huweza Kujirudia kwa miezi au miaka.
✅Maumivu wakati wa kupanda Mlimani au baridi.

📌Unstable Angina
✅Hutokea hata wakati wa kipumzika au huwa tofaina maumivu yote uliyoyazoea.
✅Huja ghafla na maumivu Huchukua muda mrefu zaidi, dakika 30+.
✅Inaweza isiondoke na ni kiashiria shambulio la moyo.

🪼 *CHEMBE YA MOYO (ANGINA PECTORIS)*📌 Hii ni Hali ya kusikia Kubanwa, kwamba Kuna uzito, au. Maumivu kwenye kifua.📌 Watu...
20/02/2025

🪼 *CHEMBE YA MOYO (ANGINA PECTORIS)*
📌 Hii ni Hali ya kusikia Kubanwa, kwamba Kuna uzito, au. Maumivu kwenye kifua.
📌 Watu wengi husema wanasikia k**a kifua kina Kinywa.
📌 Kitaalamu tatizo hili huitwa angina pectoris.
📌 Angina pectoris no maumivu kifuani yanayotokana na kupungua mtiririko wa damu kwenye misuli ya moyo.
📌 Lisipoyhibitiwa kinaweza sababisha shambulio la moyo ( *heart attack)*
📌 Ni kiashiria cha Ugonjwa wa moyo ( *coronary heart disease - CHD)*
📌 Hutokea IWAPO moja ya arteries za moyo zimeshindwa kupeleka damu moyo izikiwa ni nyembamba au zimeziba *(artersclorisis)*

🪼 *DALILI ZA CHEMBE YA MOYO (SYMPTOMS)*✅ Maumivu ya kifuani✅Kifua Kubanwa na kuwakaa au KUJAA.✅Maumivu shingoni, Taya, n...
20/02/2025

🪼 *DALILI ZA CHEMBE YA MOYO (SYMPTOMS)*
✅ Maumivu ya kifuani
✅Kifua Kubanwa na kuwakaa au KUJAA.
✅Maumivu shingoni, Taya, na mabega na mgongo I.
✅Kizunguzungu
✅Uchovu
✅Kukosa pumzi
✅Kutoka jasho.

🐫 *SABABU YA CHEMBE YA MOYO (CAUSES)*📌 Hutokea a na kupungua kwa mtiririko wa damu kwenye misuli ya moyo.📌 Damu huosafir...
20/02/2025

🐫 *SABABU YA CHEMBE YA MOYO (CAUSES)*
📌 Hutokea a na kupungua kwa mtiririko wa damu kwenye misuli ya moyo.
📌 Damu huosafirisha oxygen, ambayo huitajika na moyo ili uwe na Afya.
📌Misuli ya moyo ikikosa oxygen kwa kiwango cha kutosha ( *ischemia* ) hutokea
📌 Chanzo kikubwa cha kupungua kwa mtiririko wa damu kwenye misuli ya moyo ni ugonjwa wa *coronary artery disease*
📌 Artery za coronary za moyo zinaweza kupungua kipenyo sababu ya matabayya Mafuta ( *plagues* ) Hali hii huitwa *atherosclerosis*
📌 Wakati wa mahitaji madogo ya oxygen
✅Ukiwa umepumzika
Misuli ya moyo inaweza kuendelea kufanya kazi vizuri bila kukuletea tatizo la chembe ya moyo.
📌 Ukiongeza mahitaji ya oxygen k**a wakati wa mazoezi, angina hutokea.

+255758649474
20/02/2025

+255758649474

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Leonia health clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share