Afya Clinic Online

Directions

Afya Clinic Online Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Clinic Online, Medical and health, Mbeya.

25/06/2026

🥰🥰🥰 Wakati wa Bwana ni wakati sahihi uzao wako utabarikiwa🙏🙏

25/06/2026

Usikate tamaa jitamkie mema Mungu wetu mwaminifu utanyonyesha mtoto wako soon furaha yako itarejea na ndoa yako itakuwa na amani..

25/06/2026

New Babyy in town congratulations madam 🥰🥰🥰 next testimony is you😇

🚨 WANAWAKE WENGI HUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO BILA KUJUA JAMBO HILI MUHIMU!Je, unajua kuwa baada ya kuacha kutumia nj...
25/06/2026

🚨 WANAWAKE WENGI HUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO BILA KUJUA JAMBO HILI MUHIMU!

Je, unajua kuwa baada ya kuacha kutumia njia za uzazi wa mpango, mwili wako unaweza kuhitaji muda na virutubisho sahihi ili kurejea kwenye hali bora ya uzazi?

Wanawake wengi huanza kutafuta ujauzito mara baada ya kuacha njia hizo, lakini husahau jambo muhimu la kujiandaa kwanza kwa kuboresha afya ya mayai, homoni na mfumo wa uzazi kwa ujumla.

🌱 COMPLETE imeundwa kusaidia mwili wako kupata virutubisho muhimu vinavyoweza kusaidia:
✔️ Afya ya mfumo wa uzazi
✔️ Ubora wa mayai ya uzazi
✔️ Maandalizi ya ujauzito wenye afya
✔️ Ustawi wa homoni za uzazi
✔️ Kuupa mwili mazingira bora ya kushika mimba

Usisubiri mpaka uanze kupata changamoto za kushika ujauzito ndipo uchukue hatua.

Anza kuwekeza kwenye afya yako ya uzazi leo.

Andika COMPLETE kwenye comment au inbox upate maelezo zaidi.

WhatsApp Me +255688146089

゚viralシ

25/06/2026

Huu ndio ute wa ovulation unaotokea siku ya 14 kabla ya hedhi inayofuata kwenye kila mzunguko wa mwanamke
Ute huu unasaidia mbegu kusafiri kwa urahisi zaidi kulifikia yai na pia inasaidia kudunza mbegu ili kudumu kwa muda mrefu kusubiri yai ili kutunga mimba
Ikiwa huoni ute huu ni ishara ya tatizo la ovulation na unashauriwa kuusaidia mwili wako kwa dawa na supplements na kutumia maji ya bamia kuongeza rate ya upatikanaji wa ute huu kila mzunguko wa mwezi

Je?,wewe unapata ute huu?
WhatsApp Me +255688146089

゚

👶👶 UNATAKA KUPATA WATOTO MAPACHA? SIRI KUBWA NI HII!!Ukweli ni kwamba kupata mapacha mara nyingi kunahusiana na mwanamke...
25/06/2026

👶👶 UNATAKA KUPATA WATOTO MAPACHA? SIRI KUBWA NI HII!!

Ukweli ni kwamba kupata mapacha mara nyingi kunahusiana na mwanamke kutoa mayai mawili au zaidi wakati wa ovulation.

Hali hii huongeza nafasi ya mayai yote kurutubishwa na kusababisha ujauzito wa mapacha.

✨ Wanawake wengine huwa na uwezekano mkubwa wa kupata mapacha kutokana na kurithi tabia hiyo katika familia, umri wao, au sababu nyingine za kibailojia zinazoongeza nafasi ya kutoa mayai zaidi ya moja kwa wakati mmoja.

⚠️ Ni muhimu kujua kwamba hakuna njia inayoweza kuhakikisha kupata mapacha kwa asilimia 100.

Kilichothibitishwa kisayansi ni kwamba mapacha wengi hutokea pale ambapo mayai mawili yanatolewa na kurutubishwa katika mzunguko mmoja.

🌱 Afya nzuri ya uzazi, mzunguko unaopata ovulation vizuri, na mwili ulio katika hali bora huongeza nafasi ya kupata ujauzito kwa ujumla, iwe ni wa mtoto mmoja au mapacha.

❤️ Kila ujauzito ni zawadi ya kipekee, na jambo muhimu zaidi ni kupata ujauzito wenye afya na maendeleo mazuri ya mtoto.

Dr.veronica
+255688146089

17/05/2026

K**a huna mpango wa kubeba ujauzito usitumie hizi supplements — Complete, C24/7 na Omega 3 🚫💊

16/05/2026

Mwanamke 🤍, unakutana na changamoto gani kati ya hizi? 👇
✔️ Ute mdogo wakati wa ovulation 💧
✔️ Hedhi zisizoeleweka au kuchelewa 📆
✔️ Maumivu wakati wa tendo la ndoa 😣
✔️ Kushindwa kupata ujauzito kwa muda mrefu 🤰
✔️ Homoni kutokuwa sawa ⚖️

✨ Usijali… kuna njia ya kusaidia mwili wako!

👉 Tumia supplements sahihi za uzazi, zinaweza kusaidia kuboresha ovulation, ubora wa mayai na homoni zako kwa ujumla.

💊 Virutubisho muhimu vinavyosaidia:

Folic acid (Vitamin B9) – husaidia ovulation na maandalizi ya mimba

Vitamin D – huimarisha homoni za uzazi

Omega-3 – huboresha afya ya mfuko wa uzazi

CoQ10 – huongeza ubora wa mayai 🥚

Zinc & Selenium – kusaidia balance ya homoni

📌 Tafiti zinaonyesha virutubisho hivi vina mchango mkubwa kwenye afya ya uzazi na kuongeza nafasi ya kushika mimba, hasa ukiviunganisha na lishe bora

Zinapatikana kwa bei nafuu Tsh 160,000 tu

+255688146089
Madam Veronica

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Clinic Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share