AFYA YAKO NA LUCAS

AFYA YAKO NA LUCAS Karibu kwenye ukurasa wa Elimu ya Afya 🫢
Pata maarifa sahihi kuhusu magonjwa, lishe, uzazi na mtindo bora wa maisha.⛑️

Karibu kwenye ukurasa wa Elimu ya Afya 🫢
Pata maarifa sahihi kuhusu magonjwa, lishe, uzazi na mtindo bora wa maisha.🩺

Huwa kitu gani cha kwanza kukitupa huko baada ya kufika nyumbani..!!!!Etiiiiiiiii..!!?
13/08/2026

Huwa kitu gani cha kwanza kukitupa huko baada ya kufika nyumbani..!!!!

Etiiiiiiiii..!!?

Apa... ❀️ Au kule..... πŸ’šMie apa.... ❀️❀️.. πŸ˜‚
12/08/2026

Apa... ❀️ Au kule..... πŸ’š

Mie apa.... ❀️❀️.. πŸ˜‚

Kwa ufupi:βœ… Folic Acid – Husaidia ukuaji wa ubongo na uti wa mgongo wa mtoto na kuzuia baadhi ya kasoro za kuzaliwa k**a...
11/08/2026

Kwa ufupi:

βœ… Folic Acid – Husaidia ukuaji wa ubongo na uti wa mgongo wa mtoto na kuzuia baadhi ya kasoro za kuzaliwa k**a vile mgongo wazi, mdomo wa sungura, kichwa kikubwa nk.

βœ… SP – Husaidia kuzuia malaria wakati wa ujauzito, ambayo inaweza kumdhuru mama na mtoto k**a vile mtoto kuzaliwa kabla ya wakati, upungufu wa damu kwa mama (Anemia) .

βœ… Mebendazole – Husaidia kutibu/kuondoa minyoo ya tumbo, ambayo inaweza kuchangia upungufu wa damu na udhaifu kwa mama,minyoo inaweza kuwa chanzo cha upungufu wa damu kwa mama mjamzito (Anemia .

Etiiiiiiiii...!??

Etiii...!!?? Mtoto Mchanga anapofunga choo, anajikamua hola choo hakitoki , hakalali kakijamba ndoo kanalala, kulilia in...
10/08/2026

Etiii...!!??
Mtoto Mchanga anapofunga choo, anajikamua hola choo hakitoki , hakalali kakijamba ndoo kanalala, kulilia inafika hatua hadi unamwonea huruma.. Ila kunyonya ananyonya vizuri..!!

Siende ila  nauli yake nakula...... We ulisikia wapi kwamba hamzaliii... πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
09/08/2026

Siende ila nauli yake nakula...... We ulisikia wapi kwamba hamzaliii... πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£

πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚.... Etiii..!!! Mie bado 15 tuu
08/08/2026

πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚.... Etiii..!!! Mie bado 15 tuu

Kunuka mdomo ni tatizo k**a yaliyo magonjwa mengine na kitalaam wanaita Halitosis.. Mhimu k**a unatatizo hili na umelita...
07/08/2026

Kunuka mdomo ni tatizo k**a yaliyo magonjwa mengine na kitalaam wanaita Halitosis.. Mhimu k**a unatatizo hili na umelitaftia ufumbuzi mara kadhaa lakini huponi mhimu kumwona daktari wa meno na baadae daktari wa pua na koo au wote wawili ili kupata ufumbuzi wa tatizo lako. Sababu kubwa ya Ugonjwa huu ni kwenye kinywa haswa uchafu kwenye meno na ulimi pia matatizo mengine kwenye njia ya hewa na chakula inaweza kuwa chanzo.

Vipi unaweza mwambia mwenza au mpenzi wako...!!?

Ukazima ndoo kwa jirani etiiiiiiiii jitahidi kuisafisha vizuri kabla ya kutumia... Nasikia uwaga unaazima choo cha mwenz...
06/08/2026

Ukazima ndoo kwa jirani etiiiiiiiii jitahidi kuisafisha vizuri kabla ya kutumia... Nasikia uwaga unaazima choo cha mwenzako pasipo kujua... πŸ˜‚πŸ˜‚.. Nawewe mwenye choo hiki cha ndani hakikisha unakisafisha vizuri ili kuepuka maambukizi ya yutiai (UTI) za kujirudia rudia pia magonjwa mengine ya kuhara.

We kuweza safe container room ndio hii sasa.. πŸ˜‚πŸ˜‚

Mtoto akiwa tumboni kwa mama hutegemea kwa kila kitu kutoka kwa mama kwa 100% hivyo mama lazima uhakikishe uko vizuri ki...
05/08/2026

Mtoto akiwa tumboni kwa mama hutegemea kwa kila kitu kutoka kwa mama kwa 100% hivyo mama lazima uhakikishe uko vizuri kiafya, kisaikolojia nk mtakuwa mashahidi wazuri mnapokuwa na msongo wa mawazo (stress) hata uchezaji wa mtoto pia huwa ni wa mashakashaka vivyo hivyo siku ukila chakula kitamu shughuli ya mtoto pia inakuwa ni shughuli haswa.

Hivi ndivyo mtoto wako mdogo anavyotegemea kila siku.... πŸ‘‡

β–ͺ️ Oksijeni
Mtoto wako hupokea oksijeni kupitia kondo la nyuma. Ndiyo maana unasisitizwa kulala ubavu kipindi cha au wakati wa ujauzito(mimba) kwakuwa kufanya hivyo hufanya mtoto aendeleee kupata hewa safi ya okisijeni .

β–ͺ️ Lishe Bora
Lishe bora yenye protini, matunda, mboga mboga, nafaka ambazo hazijakobolewa, na mafuta yenye afya hutoa msingi mzuri wa ukuaji wa mtoto wako.

β–ͺ️Vidonge vyenye madini ya Foliki πŸ’Š
Madini ya folic ni muhimu hasa mwanzoni mwa ujauzito kwa sababu husaidia kupunguza hatari ya kasoro fulani za ubongo na uti wa mgongo ambazo mtoto anaweza kuzaliwa nazo k**a vile mdomo wa sungura, mgongo wazi nk .

β–ͺ️ Huduma ya Kawaida ya Kabla ya Kuzaliwa
Maudhurio ya kliniki kabla ya kujifungua husaidia kufuatilia ukuaji wa mtoto wako na kutambua matatizo yeyote mapema.

β–ͺ️ Pumziko la Kutosha
Mwili wako unafanya kazi usiku na mchana. Kupata mapumziko ya kutosha husaidia afya yako katika kipindi chote cha ujauzito.

β–ͺ️ Maji
Kunywa maji ya kutosha husaidia kuongeza ujazo wa damu mwilini mwako na maji ya (amniotic fluid) yanayomzunguka mtoto wako.

β–ͺ️ Mama Mwenye Afya
Unapohudhuria uchunguzi wako, kunywa virutubisho vilivyoagizwa na daktari, epuka kuvuta sigara na pombe, na kutafuta ushauri wa daktari wakati kitu hakijisikii vizuri, unampa mtoto wako mwanzo mzuri iwezekanavyo.

Vipi kliniki ulianza mimba ikiwa na miezi mingapi kwani...!!??

Happy birthday to me.. πŸ‘‘πŸŽ‚πŸŽŠπŸŽπŸŽ‰
04/08/2026

Happy birthday to me.. πŸ‘‘πŸŽ‚πŸŽŠπŸŽπŸŽ‰

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YAKO NA LUCAS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AFYA YAKO NA LUCAS:

Shortcuts

Share