17/06/2026
Happy New Islamic year 1448 Hijiria,
Tunakutakia kheir na Baraka Tele katika Mwaka Huu mpya Wa Kiislam.
Tuendelee kutunza mazingira yetu kwa faida ya Afya zetu na maendeleo ya Jamii zetu na Nchi yetu kiujumla.