AFYA BORA

AFYA BORA โ€‹๐Ÿ“ Tupate katika matawi yetu:
โœ…โ€‹Mwanza
โœ…โ€‹Dar es Salaam
โœ…โ€‹Lubumbashi (DRC)
โœ…โ€‹Bujumbura (Burundi)

06/05/2026

๐—ญ๐—œ๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐—™๐—”๐—œ๐——๐—” ๐—ญ๐—” ๐—ข๐— ๐—˜๐—š๐—”-3 ๐—ž๐—ช๐—” ๐—”๐—™๐—ฌ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข.

Mwili wako hauna uwezo wa kujitengenezea Omega 3 ni lazima upate kupitia vyakula / virutubisho k**a Omega 3 fish oil.

๐—™๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ข๐—บ๐—ฒ๐—ด๐—ฎ 3 ๐—ณ๐—ถ๐˜€๐—ต ๐—ผ๐—ถ๐—น:

โœ”๏ธ Huboresha afya ya moyo
โœ”๏ธ Hupunguza presha ya damu
โœ”๏ธ Hushusha kiwango cha cholesterol mbaya (๐—Ÿ๐——๐—Ÿ)
โœ”๏ธ Huongeza afya ya ubongo na kumbukumbu ๐Ÿง 
โœ”๏ธ Huboresha afya ya macho
โœ”๏ธ Hupunguza uvimbe mwilini (๐—ฎ๐—ป๐˜๐—ถ-๐—ถ๐—ป๐—ณ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—บ๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฟ๐˜†)
โœ”๏ธ Husaidia afya ya ngozi
โœ”๏ธ Huimarisha kinga ya mwili

๐—๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ธ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ฎ๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ท๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐—น๐—ฒ๐—ผ!

๐—ข๐—บ๐—ฒ๐—ด๐—ฎ-3 fish oil ni uwekezaji mdogo wenye matokeo makubwa kwa afya yako.

Usisubiri hadi uumwe ndio uanze kuzingatia lishe yako. Anza safari ya kujenga afya imara sasa kwa kuongeza virutubisho hivi kwenye milo yako.

๐—”๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ผ ๐—ธ๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐—ผ!

๐Ÿซ€๐ŸŒน ๐—™๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐—ฏ๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—”๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ผ๐˜†๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ข๐—บ๐—ฒ๐—ด๐—ฎ 3 ๐—ฆ๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ผ๐—ป ๐—ข๐—ถ๐—น

๐Ÿซ€ Husaidia kupunguza mafuta mabaya kwenye damu (๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—น๐—ฒ๐˜€๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ผ๐—น).
๐Ÿซ€ Huchangia kushusha hatari ya presha ya damu kuwa juu.
๐Ÿซ€ Husaidia mapigo ya moyo kwenda sawa.
๐Ÿซ€ Hupunguza hatari ya kuziba kwa mishipa ya damu.
๐Ÿซ€ Husaidia kuongeza mzunguko mzuri wa damu mwilini.
๐Ÿซ€ Huchangia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.
๐Ÿซ€ Husaidia moyo kufanya kazi kwa nguvu na afya bora.

๐—ข๐— ๐—˜๐—š๐—”-3 ๐—™๐—”๐—ง๐—ง๐—ฌ ๐—”๐—–๐—œ๐——๐—ฆ ๐—ก๐—œ ๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ?

๐—ข๐—บ๐—ฒ๐—ด๐—ฎ-3 ni aina ya mafuta muhimu sana (๐—ฒ๐˜€๐˜€๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ถ๐—ฎ๐—น ๐—ณ๐—ฎ๐˜๐˜€) ambayo mwili hauwezi kuyazalisha wenyewe, hivyo lazima uyapate kupitia chakula.

๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ 3 za ๐—ข๐—บ๐—ฒ๐—ด๐—ฎ-3:

๐—”๐—Ÿ๐—” (๐—”๐—น๐—ฝ๐—ต๐—ฎ-๐—น๐—ถ๐—ป๐—ผ๐—น๐—ฒ๐—ป๐—ถ๐—ฐ ๐—ฎ๐—ฐ๐—ถ๐—ฑ) โ€“ hupatikana kwenye mimea

๐—˜๐—ฃ๐—” (๐—˜๐—ถ๐—ฐ๐—ผ๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ผ๐—ถ๐—ฐ ๐—ฎ๐—ฐ๐—ถ๐—ฑ) โ€“ hupatikana kwenye samaki

๐——๐—›๐—” (๐——๐—ผ๐—ฐ๐—ผ๐˜€๐—ฎ๐—ต๐—ฒ๐˜…๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ผ๐—ถ๐—ฐ ๐—ฎ๐—ฐ๐—ถ๐—ฑ) โ€“ muhimu sana kwa ubongo na macho

๐—™๐—”๐—œ๐——๐—” ๐—ญ๐—” ๐—ข๐— ๐—˜๐—š๐—”-3 ๐— ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—œ

1. Hupunguza uvimbe (inflammation) Uvimbe wa ndani wa mwili ni chanzo kikubwa cha magonjwa mengi k**a unene, kisukari na matatizo ya moyo. Omega-3 husaidia kuutuliza.

2. Husaidia kupunguza kitambi Omega-3 husaidia mwili kutumia mafuta k**a nishati badala ya kuyahifadhi, hasa mafuta ya tumboni.

3. Huboresha kazi ya homoni Homoni k**a insulin zikifanya kazi vibaya, mwili huhifadhi mafuta zaidi. Omega-3 husaidia kurekebisha hali hiyo.

4. Huimarisha afya ya ubongo ๐——๐—›๐—” ni muhimu sana kwa kumbukumbu, umakini, na hata kupunguza msongo wa mawazo.

5. Husaidia afya ya moyo Hupunguza triglycerides, shinikizo la damu na hatari ya magonjwa ya moyo.

6. Huboresha ngozi na nywele Husaidia ngozi kuwa laini, yenye unyevunyevu na kupunguza ukavu.

๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—จ๐—ฃ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—™๐—จ ๐—ช๐—” ๐—ข๐— ๐—˜๐—š๐—”-3

Ngozi kukauka sana

Uchovu wa mara kwa mara

Kusahau haraka

Maumivu ya viungo

Kuongezeka kwa mafuta ya tumboni

๐—ฉ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—ญ๐—ข ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—ข๐— ๐—˜๐—š๐—”-3

๐Ÿ‘‰ Vyanzo vya wanyama (bora zaidi):

Samaki wa mafuta (k**a sardines, salmon, dagaa, mackerel)

Mafuta ya samaki (๐—ณ๐—ถ๐˜€๐—ต ๐—ผ๐—ถ๐—น)

๐Ÿ‘‰ Vyanzo vya mimea:

Mbegu za flax (๐—น๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ฒ๐—ฒ๐—ฑ)

Mbegu za chia

Karanga (๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ป๐˜‚๐˜๐˜€)

Mafuta ya

Mboga za majani ya kijani (๐—ด๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ๐—ป ๐—น๐—ฒ๐—ฎ๐—ณ๐˜†, k**a ๐˜€๐—ฝ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฐ๐—ต)

๐— ๐—จ๐—›๐—œ๐— ๐—จ ๐—ž๐—จ๐—๐—จ๐—” Watu wengi wanakula Omega-6 nyingi (kutoka mafuta ya kupikia ya kawaida) lakini hawapati Omega-3 ya kutosha โ€” hii inasababisha mwili kuwa kwenye hali ya uvimbe (inflammation) muda wote

๐—–๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ.๐Ÿ‘‡

K**a unahangaika na kitambi, uzito kupitiliza, au mwili kushindwa kuburn mafuta, usibaki peke yakoโ€ฆ

๐Ÿ“ฒ Kwa msaada zaidi wa kupunguza kitambi na unene kupitiliza, wasiliana nasi kwa namba: +255757246595

Tutakusaidia kwa mfumo unaoeleweka na unaoleta matokeo ๐Ÿ’ช

23/04/2026

Najua huu ujumbe wewe mjamzito unakuhusu ila mimba jamani iheshimiwe๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

โ€‹"Kutoka 'gari kubwa' hadi 'gari dogo' la kuridhisha! ๐Ÿ˜… Matokeo ya safari ya kishujaa."

โ€‹"Nilijua nitazaa katuni, lakini matokeo ni mtoto mzuri ajabu! ๐Ÿ˜‚ Baraka tupu."

โ€‹"Mwili wangu ulifikiri ni meli ya abiria, lakini mwishowe nilitia nanga salama na shehena yangu! ๐Ÿšข๐Ÿ‘ถ"

โ€‹"9 months of carrying a giant water balloon and now I'm a professional baby carrier! ๐Ÿ‹๏ธโ€โ™€๏ธ๐Ÿ‘ถ"
โ€‹"Before: Carrying a small building. After: Carrying a small human who runs my life. Send coffee! โ˜•๏ธ๐Ÿ‘ถ"

Kwa changamoto za uzazi na nyinginezo tuwasiliane kwa namba zetu hapa chini kwa msaada zaidi wa tiba na ushauri +255 757 246 595

07/04/2026

*Hatimaye Tumebarikiwa Kuijua Siri ya Majani ya Mpera!*

โœจ "Ukiisafisha nyumba yako vizuri, mgeni mzuri huingia..." โ€” vivyo hivyo kwa kizazi chako!

*Dada yangu...*
K**a umeshachoka kusikia โ€œpoleโ€, kila mwezi mimba haiji...

Na umejaribu kila siku za hatari bila mafanikio...
Huenda tatizo ni moja tu: *SUMU IMEZIBA NJIA YA UJAUZITO!*

Lakini usihofu.
Mungu hatoi kiu bila kutoa kisima.
Siri ipo kwenye mmea wa kawaida kabisa: Majani ya Mpera.

Majani haya sio tu ya kupuuzwa โ€” yana nguvu kubwa sana za:

โœ… Kusafisha kizazi chako kwa undani
โœ… Kuondoa sumu zinazochelewesha mimba
โœ… Kurejesha rutuba ya uzazi
โœ… Kuzuia mtoto wa ulemavu kwa sababu ya upungufu wa folic acid
โœ… Kuongeza vitamin B9, C, na E โ€” zinazoimarisha mimba salama

Hii ndiyo chai ya uzazi wa ndoto zako...
Watu wengi wameshawahi kutumia na sasa ni mashuhuda โ€” mimba imeingia baada ya kusafisha kwanza!

*โžก๏ธ Tengeneza hivi:*
Chukua majani ya mpera fresh
Chemsha na maji safi
Kunywa kikombe 1 asubuhi
Na kingine jioni
Fanya hivi kwa siku 14 tu

Ujue, sio kila mimba huja kwa maombi tu
Wakati mwingine, mwili wako unahitaji kusafishwa kwanza!

Na mimi k**a daktari wako, sitaki ukose baraka zako
Na wala usitawaliwe na aibu wala kukata tamaa โ€” uzazi wako unaweza kurejea tena

Safisha kizazi chako leo...
Kisha ujitayarishe kumshika mwanao wa baraka...

@โจDR LUCASโฉ

Address

Majengo
Misungwi
20

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA BORA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share