Salome Heath care

Salome Heath care HS (Hussen Sewando)health care. Cosmetics and medicine . Tunajihusisha na dawa asilia na vipodozi.

Tunapatikana Morogoro mjini
Mtaa wa saba saba mkabala na ofisi za Fire, ,
:Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa no; 0678414941...

04/12/2024

Karibuni niwahudumie

Je ww ni muhanga wa chunusi na umehangaika bila mafanikio njoo nikuhudumie kwa bidhaa bora na za uhakika
13/09/2024

Je ww ni muhanga wa chunusi na umehangaika bila mafanikio njoo nikuhudumie kwa bidhaa bora na za uhakika

Je wewe ni mgeni kwenye mambo ya skincare na hujui uanze wapi? I got you!!!Kitu muhimu kabisa unachotakiwa kujua ni aina...
27/08/2024

Je wewe ni mgeni kwenye mambo ya skincare na hujui uanze wapi? I got you!!!

Kitu muhimu kabisa unachotakiwa kujua ni aina ya ngozi yako, k**a wewe ni oily skin, au dry skin, au sensitive etc. Ukishajua aina ya ngozi
Yako inakua rahisi kupata products sahihi kutokana na ngozi yako na skin concern yako.

Basic steps kwenye skincare ni
1.Cleanser
2.Moisturizer
3.Sunscreen.

Cleanser ni kwa ajili ya kuoshea uso, ukishaosha uso wako vizuri utaendelea na next step ambayo ni moisturizer, kisha baada ya moisturizer utapaka sunscreen k**a last step na most important step.

NOTE:Kama unafanya routine na haupaki suncreen bado unacheza my dear!!!

NB: Sunscreen ni mchana tu usipake usiku.

Don’t forget your night routine!!! Usiku ngozi inakua imetulia kwasababu hauna mahangaiko, hivyo products zitafanya kazi vizuri.

I hope hii itasaidia wale wanaotaka kuanza na hawajui wapi waanzie wapi.

Whatsap / Call
+255 678414941

SIMPLE  MOISTURIZER Best Brand From Uk🇬🇧 ✅inalainisha ngozi ya usoni. ✅inakupa rangi nzuri bila kuchubua. ✅ Simple faida...
23/08/2024

SIMPLE MOISTURIZER

Best Brand From Uk🇬🇧

✅inalainisha ngozi ya usoni. ✅inakupa rangi nzuri bila kuchubua.
✅ Simple faida yake nyingine kwenye uso ni kukukinga na athari zitokanazo na mazingira ( jua na upepo mkali).
✅ina moisterize ngozi ya uso, una glow. ✅ngozi ina kuwa clear kabisa soft. ✅inatoa takataka nyingi usoni. ✅alama na madoa usoni.
✅ngozi inakuwa na nuru.
✅inavitamin E nyingi ambayo ni muhimu sana kwa ngozi.
✅for all skin types(Sensitive, Oil, Dry, Normal and Combination skin)

Whatsap / Call +255 678414941

SIMPLE  MOISTURIZER Best Brand From Uk🇬🇧 ✅inalainisha ngozi ya usoni. ✅inakupa rangi nzuri bila kuchubua. ✅ Simple faida...
23/08/2024

SIMPLE MOISTURIZER

Best Brand From Uk🇬🇧

✅inalainisha ngozi ya usoni. ✅inakupa rangi nzuri bila kuchubua.
✅ Simple faida yake nyingine kwenye uso ni kukukinga na athari zitokanazo na mazingira ( jua na upepo mkali).
✅ina moisterize ngozi ya uso, una glow. ✅ngozi ina kuwa clear kabisa soft. ✅inatoa takataka nyingi usoni. ✅alama na madoa usoni.
✅ngozi inakuwa na nuru.
✅inavitamin E nyingi ambayo ni muhimu sana kwa ngozi.
✅for all skin types(Sensitive, Oil, Dry, Normal and Combination skin

Whatsap / Call +255 678414941

11/08/2024
UTANGULIZI – LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMEUpungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi k...
03/03/2022

UTANGULIZI – LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. atizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.

Hili tatizo huwanyima watu raha kwa kuwa na mawazo, kuwa na matatizo katika mahusiano, watu wengi wenye tatizo hili wanahitaji kutumia dawa zisizo na madhara na kubadilisha mitindo ya maisha yao ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo, cha msingi ni kuzingatia yale utakayoelekezwa.

Kuna matatizo ya kutofanya mapenzi kikamilifu, nayo ni; kuwahi kumwanga mbegu za uzazi, Kuto kumwaga, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa

maxresdefault (1)

CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
Kuvuta sigala na unywaji wa pombe
Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
Kisukari
Kuwa na mawazo na wasiwasi
Matumizi ya madawa mbalimbali
Umri hasa wazee
Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili
Kuwa na tatizo la kibofu
Tabia za kujichua kwa mda mrefu
Kutopata usingizi kamili
Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni k**a;

3850378299001_5085141251001_5085119722001-vs

Kuwahi kufika kileleni
Kukosa hamu ya mapenzi
Kushindwa kurudia tendo la ndoa
Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha
Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji
JINSI YA KUEPUKANA NA KUPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku
Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini k**a kisukari, moyo, punguza unene na mengine
Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi
Balansi usito wako
Usivute sigara
Punguza au acha kunywa pombe
Punguza mawazo
Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9
Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi
Kunywa maji ya kutosha
TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Hili ni tatizo ambalo huwanyima raha watu wengi kwasababu linaashiria upungufu flani wa kimwili, tunawashauri watu wengi wafanye mazoezi, kula chakula bora hasa asilia na pia wanywe maji mengi ili kuimarisha afya zao. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaondolewa japo ni kwa mda mrefu kidogo, wengi hudanganywa na kupewa dawa za kuongeza nguvu pale unapoenda kujamiiana na sio dawa ya kutibu.

Tuna dawa ya kutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na ukubwa wa tatizo, ukianza kutumia baada ya wiki mbili huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa utumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendekea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.

Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya.

MAWASILIANO

0678414941.

23/02/2022

Address

Morogoro Town
Morogoro
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 20:00
Wednesday 09:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 09:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 20:00
Sunday 15:00 - 20:00

Telephone

+255678414941

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Salome Heath care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Salome Heath care:

Shortcuts

Share