11/10/2022
๐๐๐๐๐๐ 2
๐๐ข๐ง๐ฌ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐ข๐๐ฎ ๐ฆ๐๐ฎ๐ฆ๐ข๐ฏ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐๐ญ๐ข๐ญ๐ข ๐ฉ๐๐ค๐ ๐ฒ๐๐ค๐จ ๐ฎ๐ค๐ข๐ฐ๐ ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐๐๐ง๐ข(๐๐๐๐ ๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐)
Unachoweza kufanya wewe mwenyewe
๐Unaweza kutumia njia zifuatazo ili ili kutambua na kuondoa maumivu na uvimbe kwenye mat**i unaojirudia kwa kila mzunguko wa hedhi (K**a mat**i yamevimba, ya moto, mekundu na yanauma, utafuata maelekezo yatakayofuata kwa chini kidogo)
๐Tunza daftari lenye kumbukumbu za mzunguko wa hedhi kwa miezi 2 au 3, ukiandika ni wakati gani mat**i yanapoanza kuvimba au kuwa na vivimbe, yanapoanza kuuma na ni wakati gani dalili hizi huondoka. Hii itakusaidia kuamua k**a tatizo hili linahusiana na mabadiliko ya homoni wakati wa mzunguko wa hedhi.
๐ฑHakikisha kuwa manati ya kubebea mat**i โโbrasโโ hayabani na yanatoshea vizuri. Jaribu kuvaa manati yenye size kubwa kidogo, wiki 1 kabla ya kuanza kupata hedhi, vaaโโbraโโ inayoyategemeza vizuri mat**i ili yasichezecheze sana. Unaweza kujaribu kuvaa โโbraโโ laini usiku, kwa baadhi ya wanawake inawapunguzia karaha.
๐ฑPunguza kiwango cha โโcaffeineโโ unachotumia kwa kupunguza unywaji wa kahawa, chai na cola
๐ฑK**a miguu huwa inavimba na kujaa maji, ni vizuri kupunguza kiwango cha chumvi unachotumia wiki 1 kabla ya hedhi kuanza
๐ฑOngeza kiwango cha wanga kwenye mlo, kula kiasi kikubwa cha matunda na mbogamboga, na epuka vyakula vya mafuta.
๐ฑK**a uzito ni mkubwa, jaribu kupunguza uzito. K**a kuna kiwango kikubwa cha mafuta mwilini kinaweza kuathiri kiwango cha homoni mwilini na kuchangia maumivu ya mat**i
๐ฑMsongo mkubwa wa mawazo ni moja ya hatari inayoweza kukuongezea uwezekano wa kupata maumivu ya mat**i. Jaribu kufanya mazoezi ya upumuaji โโdeep breathing exerciseโโ au kufanya mazoezi ya kulegeza misuli ya mwili โโmuscle relaxing exerciseโโ.