25/09/2023
Chuo cha Afya cha ELIJERRY,Tunakukaribisha k**a umemaliza Form 4 au Form 6,jiunge na muhula wa mwezi wa mwezi wa9 kusoma kozi za afya na ustawi wa jamii. Chuo kipo kwenye mazingira mazuri yakujisomea na walimu waliobobea katika ufundishaji na maabara za kisasa.
Ada zetu ni nafuu sana na unalipa kwa awamu 4 kwa mwaka.Chuo kipo mkoa wa Tanga.
Kujisajili kujiunga bonyeza hii link hapa chini 👇🏾kujaza form yakujiunga na chuo.
https://forms.gle/qJtnSfKFq3Fo9XyE8
KWA MAELEKEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0718146263 au 0714266535