Afya kwa wote

Afya kwa wote Tuma neno AFYA JAMII kwenda WhatsApp nambaa 0629224104 usaidiwe Mapema.

Tiba hii ni ya kiasili iliyotumika Enzi Za Mababu zetu inayochochea nguvu, mzunguko wa damu, na kuamsha misuli ya jogoo ...
06/03/2026

Tiba hii ni ya kiasili iliyotumika Enzi Za Mababu zetu inayochochea nguvu, mzunguko wa damu, na kuamsha misuli ya jogoo bila kununua Dawa yoyote..

➡️ Ndani ya Karafuu kuna virutubisho vingi vinavyoweza kusaidia afya ya mwanaume k**a:

1️⃣ Kuongeza nguvu za kiume
● Karafuu husaidia kuongeza mzunguko wa damu mwilini, jambo linaloweza kusaidia kusimama vizuri kwa jogoo wako k**a utaitumia ina maana utaongeza uwezo wako wa kufanya tendo la ndoa.

2️⃣ Kuongeza hamu ya tendo
● Virutubisho vilivyopo kwenye karafuu vinaweza kusaidia kuongeza hamu ya kushiriki tendo Kwahiyo utaweza kufurahia mahusiano yako.

3️⃣ Kuimarisha mbegu zako Za kiume
● Karafuu zina madini k**a zinc na antioxidants ambazo husaidia kuboresha ubora wa mbegu za kiume ina maana utakuwa na uwezo wa kumfikisha mwenza wako kileleni akafurahia uwepo wako.

4️⃣ Kuongeza nguvu na stamina
● Karafuu husaidia mwili kupata nguvu zaidi na kupunguza uchovu, hivyo mwanaume anaweza kuwa na stamina nzuri Kwahiyo hautakuwa na uchovu tena baada ya kumaliza.

5️⃣ Kusaidia mmeng'enyo wa chakula
● Karafuu huchochea mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kufanya kazi vizuri na kupunguza gesi tumboni ina maana utakuwa na afya imara.

6️⃣ Kusaidia kupunguza maambukizi
● Karafuu zina uwezo wa kupambana na bakteria na fangasi mwilini Kwahiyo hautakuwa tegemezi tena wa madawa ya fangas.

✅ Namna Ya Kutumia:
● Chukua Punje 2–3 Za Karafuu Kisha tafuna na kumeza baada ya chakula Tumia Mara Moja tu kwa siku.

AU....

● Changanya unga mfano wa karafuu 3 na asali au tangawizi ukala baada ya chakula mara moja kwa siku.

⚠️ Kumbuka Matumizi kupita kiasi yanaweza kuleta madhara tumboni Ni vizuri kutumia karafuu kwa kiasi.

▢▢▢
Kwa Ushauri | maswlai | Msaada Nipo Tayari kukusaidia kwa siri na heshima.

☎️ Call / WhatsApp: +255 629 224 104.

Address

Mwananyamala
14102

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya kwa wote posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afya kwa wote:

Shortcuts

Share