Dr. Mbeki

Dr. Mbeki ๐ŸŒฟ Suluhisho la afya kwa njia ya asili
Tunasaidia changamoto za afya kwa tiba za mimea.
๐Ÿ“ž Piga/WhatsApp: +255 764 233 411
๐Ÿ“š Afya ni maarifa Usiache Kujifunza

05/06/2026

๐Ÿ FAIDA ZA MPERA KWA AFYA YAKO ๐Ÿ

Je, unajua kuwa mpera ni moja ya matunda yenye virutubisho vingi vinavyosaidia mwili kufanya kazi vizuri?

โœ… Huongeza kinga ya mwili kutokana na kuwa na Vitamin C kwa wingi.

โœ… Husaidia mmeng'enyo wa chakula kwa sababu una nyuzinyuzi (fiber) zinazosaidia utumbo kufanya kazi vizuri.

โœ… Husaidia kupunguza tatizo la kufunga choo.

โœ… Huchangia afya ya moyo kwa kusaidia kudhibiti kiwango cha mafuta mabaya mwilini.

โœ… Husaidia kudhibiti sukari kwenye damu inapoliwa kwa kiasi sahihi.

โœ… Husaidia ngozi kuwa na afya nzuri kutokana na vitamini na antioxidants zilizomo.

โœ… Husaidia mwili kupambana na uchovu na kuongeza nguvu.

๐Ÿ“Œ Ushauri: Kula mpera ulioiva vizuri na usisahau kunywa maji ya kutosha kila siku kwa afya bora.

๐Ÿ’š Afya ni Maarifa. Usiache Kujifunza. ๐Ÿ’š

๐Ÿ“ž +255 764 233 411

ใ‚šviralใ‚ท

04/06/2026

๐ŸŒฟ AFYA NI UTAJIRI WA KWELI ๐ŸŒฟ

Watu wengi hutafuta fedha kwa bidii, lakini husahau kwamba bila afya njema ni vigumu kufurahia mafanikio hayo.

K**a umekuwa ukisumbuliwa na: โœ… Acid Reflux
โœ… Vidonda vya tumbo
โœ… Gesi tumboni
โœ… Kichefuchefu mara kwa mara
โœ… Kuhisi kitu kimekwama kooni
โœ… Kuvimba tumbo baada ya kula

Usikubali kuendelea kuteseka kimya kimya. Tafuta taarifa sahihi na chukua hatua mapema.

๐Ÿ“š Afya ni maarifa. Usikome kujifunza.

๐Ÿ“ž +255 764 233 411


ใ‚šviralใ‚ท

03/06/2026

Kuendelea kuteseka na Kiungulia wakati dawa hii hapa na iko mtaani kwako sio jambo jema mimi nime share kazi yako kuchukua hatua.....!

ใ‚šviralใ‚ท

๐Ÿ˜ฎ JE, UMEWAHI KUHISI K**A KUNA KITU KIMEKWAMA KOONI?Au unasumbuliwa na:โŒ Harufu mbaya ya kinywa isiyoisha hata baada ya ...
30/05/2026

๐Ÿ˜ฎ JE, UMEWAHI KUHISI K**A KUNA KITU KIMEKWAMA KOONI?

Au unasumbuliwa na:

โŒ Harufu mbaya ya kinywa isiyoisha hata baada ya kupiga mswaki
โŒ Koo kuuma mara kwa mara
โŒ Kikohozi kisichoeleweka
โŒ Kuhisi kitu kimekwama kooni unapomeza
โŒ Maambukizi ya koo yanayojirudia mara kwa mara

Inawezekana tatizo likawa linahusiana na MAWE YA TONSIL (Tonsil Stones).

Watu wengi huishi na hali hii kwa muda mrefu bila kujua chanzo chake, wakidhani ni tatizo la kawaida la koo au tumbo.

โš ๏ธ Usipuuze dalili hizi k**a zimekuwa zikijirudia mara kwa mara.

Elimu sahihi ya afya inaweza kukusaidia kuelewa chanzo cha tatizo na hatua zinazofaa kuchukua.

๐Ÿ“ฒ Kwa maelezo zaidi:
+255764-233-411

๐Ÿ’š Afya ni Maarifa
๐Ÿ“š Usiache Kujifunza
ใ‚šviralใ‚ท

29/05/2026

- ๐Ÿ”ฅ Ushuhuda mwingine huu hapa ๐Ÿ‘‡

- Mgonjwa alikuwa akisumbuliwa na:

- โŒ Gesi tumboni

- โŒ Kiungulia

- โŒ Tumbo kujaa baada ya kula

- โŒ Maumivu ya kifua na mgongo

- Baada ya kuanza kutumia program yetu ameanza kuona mabadiliko ๐Ÿ™

- Kumbuka:

- Tatizo la tumbo likikaa muda mrefu linaweza kuharibu kabisa maisha yako ya kila siku โ€” usingizi, appetite, nguvu na amani ya mwili.

- Usizoe maumivu k**a sehemu ya maisha.

- K**a unasumbuliwa na:

โœ”๏ธ Acid reflux
โœ”๏ธ Vidonda vya tumbo
โœ”๏ธ Gesi
โœ”๏ธ Kiungulia
โœ”๏ธ Kukosa choo vizuri

- Andika โ€œMSAADAโ€ inbox tukuongoze hatua kwa hatua ๐Ÿ“ฉ

- Au Piga sm kua
+255764-233-411
ใ‚šviralใ‚ท

28/05/2026

๐Ÿ˜‹ Hivi unajua faida ya kula senene?
Wahaya wanajua sana utamu wake na nguvu zake! ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿฆ— Senene ni zaidi ya kitafunwa โ€” zina protein nyingi, zinaongeza nguvu mwilini na ni sehemu ya utamaduni wenye heshima kubwa Kagera. โค๏ธ

Ukishaanza kula senene za ukweliโ€ฆ chipsi zinaweza zikakusahau ๐Ÿ˜„

Je wewe umewahi kula senene?
Niambie zinapikwaje vizuri zaidi๐Ÿ‘‡


ใ‚šviralใ‚ท

27/05/2026

Usiache kua makini Aisee Watu sio watu tena

27/05/2026

๐ŸŽ‰ OFA MAALUM YA EID AL-ADHA ๐ŸŽ‰

๐Ÿ’ก SABABU YA OFA HII:
Kwa kuadhimisha Sikukuu ya Eid Al-Adha, tumefungua nafasi chache za watu 5 pekee ili kuwapa fursa ya kuanza program ya mwongozo wa afya ya tumbo kwa gharama ya upendeleo.

๐Ÿšจ UMESHAWAHI KUJIHISI HIVI?

- Kiungulia kikikutesa usiku
- Tumbo kuungua baada ya kula
- Gesi kujaa tumboni na kukosa amani

๐Ÿ‘‰ Hii si kawaida, ni ishara ya changamoto ya tumbo inayohitaji mwongozo sahihi.

๐Ÿ’ก SULUHISHO LIPO HAPA

Program maalum ya mwongozo wa afya ya tumbo kwa watu wenye:

โœ” Kiungulia (Acid Reflux)
โœ” Vidonda vya tumbo
โœ” Gesi tumboni na tumbo kujaa

๐ŸŽฏ UNAPATA NINI KWA 310,000/=

โœ” Mwongozo wa chakula na mtindo wa maisha
โœ” Ufuatiliaji wa hali yako (Follow-up)
โœ” Msaada wa kuelewa chanzo cha changamoto yako

โš ๏ธ KUMBUKA:
Kuchukua hatua mapema husaidia kupunguza madhara yanayoendelea kwa muda mrefu.

๐Ÿ’ฐ Gharama ya Ofa: 310,000/= tu
๐Ÿ’Ž Thamani halisi ya Program: 700,000/=

๐Ÿ“ž PIGA SIMU WEKA ODA / : +255 764 233 411
๐Ÿ’ณ MALIPO (M-Pesa): +255 746 405 557

โš ๏ธ KUMBUKA:

- Ofa hii ni ya watu 5 pekee
- Inaisha kesho saa 12:00 usiku

๐Ÿ›ก AHADI YA HUDUMA (MONYE GUARANTEE):
Ukifuata program kikamilifu kwa siku 14 za mwanzo k**a ulivyoelekezwa, na bado usione mabadiliko yoyote ya msingi, tutapitia hali yako na kushughulikia kwa mujibu wa masharti ya huduma ya program.

๐Ÿ“ฉ Andika: "NIKO TAYARI" au piga simu sasa kuanza mara moja.+255764-233-411

ใ‚šviralใ‚ท

26/05/2026

Habari ๐Ÿ˜Š

Watu wengi wenye Acid Reflux na Vidonda vya Tumbo wanafanya kosa moja kila siku bila kujua.

Je, dalili yako kubwa ni ipi kwa sasa?
ใ‚šviralใ‚ท

Andika neno: DALILI

Nikueleze.

26/05/2026

UMECHOKA kutumia dawa za kiungulia mara kwa mara lakini tatizo linaendelea kurudi?

Watu wengi hupunguza maumivu kwa muda, lakini hawajui chanzo kinachofanya kiungulia, gesi tumboni au acid reflux kujirudia tena na tena.

K**a:
โœ“ Unapata kiungulia baada ya kula
โœ“ Unasikia moto kifuani au kooni
โœ“ Tumbo kujaa gesi mara kwa mara
โœ“ Kichefuchefu au tumbo kutokuwa sawa

Bofya "Learn More" ujifunze hatua zinazoweza kusaidia kudhibiti hali hii na kupata ushauri kulingana na changamoto unayopitia.

๐Ÿ‘‡ Bonyeza hapa kupata maelezo zaidi. https://chat.whatsapp.com/H42tbzytVfUEKq5Vi7qiwd

Address

Nyamagana
Mwanza
1333

Opening Hours

Monday 07:00 - 19:00
Tuesday 07:00 - 07:58
Wednesday 07:00 - 19:56
Friday 07:00 - 19:00
Saturday 00:00 - 00:00

Telephone

+255764233411

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Mbeki posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dr. Mbeki:

Share