TIBA JUISI

TIBA JUISI Kidonge kinakuua bila wewe kujua!Kula mimea ya Mungu kupitia Tiba Juisi

29/12/2022

PONA BUREE KABISA VIDONDA VYA TUMBO NDANI YA SIKU 7 MKAZI WA MWANZA USITESEKE TENA PIGA 0744343221
"Naomba mniruhusu nianze na kisa hiki rafiki yangu wa karibu majuzi alilazwa katika hospitali kubwa hapa Mwanza na katika maisha yake yote hakuwahi kufahamu kuwa alikuwa na vidonda vya tumbo,alipewa tiba za kizungu,lakini kutokana na ukweli kuwa vidonda vyake vilikuwa vimeishafikia hatua mbaya sana dawa hizo ziligonga mwamba,basi baada ya kutoka na kunieleza nilimwambia nikiwa bado mdogo mama yangu alikuwa amenifundisha dawa inayoweza kusaidia watu kupona vidonda vya tumbo kabisa na dawa nyingine chache,basi kwa sababu jamaa tumezoeana hakuniamini sana ila akakubali nimuandalie dawa kishingo upande na nikamwelekeza baadhi ya vitu ambavyo inatakiwa aache kuvitumia kwa hizo siku atakazokuwa anatumia dawa ya vidonda,Amini usiamini baada ya kuanza kutumia siku 5 tu jamaa aliona mabadiliko makubwa sana na kupona, alinishukuru sana,na yeye ndiye aliyenisisitiza niwatangazie watu wanaoteseka ili niwasaidie kuwatibu pasina malipo".

Vidonda vya tumbo(gastric ulcers) ni michubuko iliyopo katika utumbo ndani ya tumbo kupanda kifuani. Vidonda hivi vinatokana na kuta kukwanguliwa na tindikali ndani ya tumbo na kupelekea maumivu makali sana kwa muathirika.

Vidonda vingi vya tumbo huchochewa na bakteria ajulikanaye k**a Helicobacter pylori, au H. pylori.

Vidonda vya tumbo wakati mwingine pia huchochewa na matumizi ya vidonge k**a asprin au aina nyingine kupitiliza na bila kufuata ushauri wa kitaalam.

Vidonda vya tumbo ni rahisi kutibika kuliko watu wanavyodhani kwani muathirika huitaji tu kuzuia kiwango cha tindikali inayozalishwa kwa wingi.

Kwa kuongezea ni kwamba tafiti mbalimbali nazo zimeonesha kuwa kupitia ulaji wa mimea dawa na vitu vya asili mtu anaweza kupona kabisa kabisa vidonda vya tumbo.

Ili tukutibu ni lazima tukuone kwanza hii siyo dawa ya kukutumia juu kwa juu hivyo bas Kwa mkazi wa Mwanza na maeneo jirani karibu tukutibu vidonda vya tumbo ndani ya siku saba na kukushauri bure.Wasiliana nasi sasa kupitia 0744343221
Tunapatikan Mwanza mjini karibia na lilipohamia soko kuu jipya Mirongo.

Kidonge kinakuua bila wewe kujua!Kula mimea ya Mungu kupitia Tiba Juisi

🍎USIENDELEE KUPOTEZA PESA ZAKO BURE WAKATI UNAWEZA KUJIKINGA NA KUJITIBU MWENYEWE MAGONJWA YOTE SUGU KWA MIMEA INAYOKUZU...
17/12/2022

🍎USIENDELEE KUPOTEZA PESA ZAKO BURE WAKATI UNAWEZA KUJIKINGA NA KUJITIBU MWENYEWE MAGONJWA YOTE SUGU KWA MIMEA INAYOKUZUNGUKA NA UKAPONA KABISA KWA UWEZA WA MWENYEZI MUNGU.

🥥HAPO UNAPOISHI UMEZUNGUKWA NA MIMEA DAWA MITUPU NA UNAWEZA KUICHUKUA UKAITUMIA KUJITENGENEZEA TIBA JUISI AMBAYO ITAKUSAIDIA KUIMARISHA NA KUONGEZA KINGA YAKO YA MWILI ILI USIENDELEE KUTESWA NA MAGONJWA WEWE NA FAMILIA YAKO.

🍄MAISHA NI MAFUPI SANA USIENDELEE KUTUMIA MUDA MWINGI WA MAISHA YAKO UKIWA KITANDANI WAKATI UNAWEZA TUMIA MIMEA MBOGA NA MATUNDA KUJIKINGA NA KUJITIBU MWENYEWE TENA BILA KUUMIZWA NA GHARAMA KUBWA ZA MATIBABU ZA SIKU HIZI🌻.

🥜UTAFUNDISHWA NI MIMEA🍃🌵 IPI INAYOKUZUNGUKA YENYE UWEZO WA KUKUTIBU NA KUKUKINGA,NI JINSI GANI UJITENGENEZEE TIBA JUISI AMBAYO NI DAWA NA KINGA YA MAGONJWA YOTE SUGU YANAYOTISHIA UHAI WA WATU HII LEO.

🥚KWA MAELEKEZO ZAIDI YA JINSI YA KUJIANDALIA DAWA⚘ YAKO MWENYEWE KWA AJILI YA KINGA NA TIBA WAWEZA JIUNGA KWENYE KUNDI HILI LA WHATSAPP KWA KUBONYEZA LINK HII
https://chat.whatsapp.com/LgoR8ytJoVE9OzNLGtls3Z

ILI KUNUFAIKA ZAIDI
LINDA SANA AFYA YAKO KULIKO VYOTE UVILINDAVYO.🌿

Bila shaka haka ka mmea unakajua vizuri tu si ndiyo!Basi nikuambie ni ka dawa kazuri tu haka!*Figo Kidney stone*Vidonda ...
08/12/2022

Bila shaka haka ka mmea unakajua vizuri tu si ndiyo!
Basi nikuambie ni ka dawa kazuri tu haka!

*Figo Kidney stone
*Vidonda vya tumbo
*Presha ya juu
*Kisukari
*Mawe kwenye kibofu cha nyongo Gallstones
*Gauti
*Homa ya Ini

Unautumiaje mmea huu:
Kwa maelezo zaidi 0744343221

08/12/2022

Mwanaume kula na kunywa kichwani ukiwa unawaza benki yako ya manii inanufaika nini kwenye unachokula?Utakaa usikie tatizo la nguvu za kiume!

Nitric oxide ukiijua mimea☘️🍀🌿🌱 yenye madini haya na ukaila kwa wingi
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Bye bye!

Nakupa mimea mitatu spinach☘️,kitunguu swaumu na karoti 🎋

Vingine nipigie 0744343221 nikuelekeze jinsi ya kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume ndani ya siku 10 kwa kujitibu mwenyewe

Kidonge kinakuua bila wewe kujua!Kula mimea ya Mungu kupitia Tiba Juisi

Nguvu ya mimea 10 katika tiba!Tunayo dawa ambayo tumekuandalia kwa kutumia mimea zaidi ya 10 yenye uwezo wa kupambana na...
07/12/2022

Nguvu ya mimea 10 katika tiba!
Tunayo dawa ambayo tumekuandalia kwa kutumia mimea zaidi ya 10 yenye uwezo wa kupambana na magonjwa sugu na hatari ya afya ya uzazi ikiwemo:nguvu za kiume(infertility), mauvimbe yote(fibroids),
,utasa (block tube),uvimbe kwenye mji wa mimba(ovarian cyst),kuondoa sumu mwilini(staphylococcus),matatizo ya uzazi(high prolactin),matatizo ya hedhi(ceased period,lack of ovulation),magonjwa sehemu za siri(pid), kupunguza unene(burn fat ) na magonjwa yote yatokanayo na maambukizi na mauvimbe sehemu za siri, Tayari tumekuandalia dawa itakayokutibu na kukurejeshea afya yako ya uzazi na nguvu za uzazi
+255744343221 karibu kwa msaada zaidi na dawa hii ina ushuhuda mkubwa sana kutoka kwa watu wengi ambao imewasaidia.

04/12/2022

Je Unasumbuliwa na Mafua makali,nywele kunyonyoka,Vidonda vya tumbo,Aleji,Kisukari,Msongo wa mawazo,Presha, Arthritis,Au Hemorrhoids?

Kwa mujibu wa tafiti za kisayansi kabisa ni wazi kuwa njia salama na kuaminika za kukuponya asilimia kubwa ya magonjwa ziko nyumbani kwako…
Mchanganyiko wa matunda ya asili,mboga za asili na mimea dawa k**a mlonge ni baadhi ya vitu unavyovihitaji ili ujikinge na magonjwa sugu na korofi ya leo au kujitibu kabisa . Kwa mchanganyo sahihi wa kiasi gani utumie na utengenezeje,unaweza kabisa kujitengenezea dawa hizi jikoni nyumbani kwako mwenyewe na ukajikinga au kujitibu ukapona kabisa!

Hata madawa unayoyakimbilia hospitali mengi yake yametokana na mimea,sema huchanganywa na makemikali ambayo hupelekea madhara makubwa kwenye kuudhofisha mwili wako kwa kuua kinga ya asili ya mwili ili uendelee kutegemea dawa zao na viwanda vyao visifungwe kwa kukosa wateja.Kuishi kwa mazoea ya kumeza dawa za hospitali madhara yake ni makubwa mno.

Ukiwasiliana nasi tutakuelekeza namna ya kujitengenezea dawa ambayo haiaribiki na itakusaidia kulingana na tatizo lako uwe kijana wa miaka 21 au hata uwe mzee wa miaka 80 kasoro.Wasiliana nasi kupitia 0744343221
Uzuri utatumia mimea ambayo imekuzunguka hapo nyumbani kwako mfano mstaferi nk

04/12/2022

NGUVU YA UPONYAJI WA MIMEA
K**a ujuavyo gharama za matibabu ziko juu na hakuna dalili kuwa siku moja zitashuka.

Nyakati hizi usisubiri mpaka upate kansa au upate bawasiri au vidonda vya tumbo ndo uanze matibabu,hapana tafuta njia mbadala ya kuuongezea mwili wako kinga ya kupambana na magonjwa korofi ili usije wahi lazwa maisha yako yote!

Tafiti za hivi karibuni zinaonesha asilimia kubwa ya watu wanasumbuliwa na magonjwa haya 10 mara kwa mara:

1. Mafua makali na kikohozi
2. Malaria na Typhoid
3. Moyo kuuma na kupooza
4. Vidonda vya tumbo
5. Arthirits/Maumivu ya Joint na Viungo
6. Asthma
7. Kisukari
8. Presha ya kupanda
9. Depression
10.Bawasiri/ Hemorrhoids

Ni lazima walau moja wapo ya ugonjwa huo hapo juu ukusumbue kwenye maisha yako. Unaweza ukawa hata sasa hivi magonjwa haya unayaugua na labda hauna habari.

Unaweza ukawa unatembea na unajiona mzima wa afya kumbe una Presha au ugonjwa wa moyo na haujui na ukija kujijua unakuwa ushachelewa!

Kwa mujibu wa kituo cha utafiti cha Marekani cha CDC, Shambulio la moyo na kupooza yanabaki kuwa magonjwa hatari na namba moja kwa kuua duniani.

Sababu kubwa inayopelekea vifo vingi vya magonjwa ya moyo na kupooza ni pamoja na uvutaji sigara,ulaji mbovu,na ukosefu wa mazoezi.

Watu wanashinda wamekaa maofisini,au kwenye magari na ulaji wao ni mbovu na hata hawapati muda wa mazoezi hata kidogo tu.

Kutokana na kuzidi kupaa kwa gharama za matibabu hii imepelekea watu wengi kutotaka hata kusikia neno hospitali na hivyo watu wengi wanaumwa.....

“Tiba Juisi tutakuelekeza ni mimea gani inayokuzunguka na itakayokutibu na jinsi gani uitumie kujitibu au hata kujikinga magonjwa mengi na dalili ambazo mara zote zimekufanya ukimbilie hospitalini

Chati nasi WhatsApp kupitia 0744433221 tukuelekeze jinsi ya kutumia mimea inayokuzunguka nyumbani kwako kujikinga na kujitibu k**a walivyofanya babu zetu miaka ya nyuma.

Usipoteze kinga yako ya mwili bure na usiendelee kutumia migharama mikubwa bila kumaliza chanzo cha tatizo la Ugonjwa wako na uzuri ni kwamba hapo jikoni kwako tu kuna mimea na viungo au mboga ambazo ukizitumia kwa kufuata maelekezo zitakupa matokeo mazuri pengine hata kuliko vidonge.

Ili kufundishwa namna ya kujikinga na kujitibu mwenyewe magonjwa yote sugu kwa kutumia nguvu ya mimea,Tafadhali utachangia kidogo tu.

04/12/2022

*NGUVU YA UPONYAJI WA MIMEA*
UGONJWA UNAOONGOZA DUNIANI KWA KUUA NI UJINGA,
NA KUNA MAANDIKO YANAYOSEMA"watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa"

SIKU HIZI WATU WANAUGUA SANA,SIYO AJABU KUKUTA KIJANA WA MIAKA 20 AMEPIGWA NA STROKE AU ANA TEZI DUME TAYARI.ZAMANI HAIKUWA HIVI ILIKUWA UNAKUTA MPAKA MTU ANAFIKISHA MIAKA 100 LAKINI BADO ANA NGUVU ZAKE .

HII LEO KIJANA CHINI YA MIAKA 30 HANA NGUVU ZA KIUME.KINGA ZA MWILI HII LEO ZIKO CHINI SANA NA NDIYO MAANA KANSA INAZIDI KUWA LIUGONJWA LIKUBWA WAKATI ZAMANI KANSA ILIKUWA KWA WAZUNGU TU.
WATU WENGI WAKIWA WAZIMA LEO WANAICHUKULIA AFYA KITU POA TU!
JAMBO WATU WENGI WANALOJISAHAU NI KUJITIBU MAPEMA NA KUONGEZA AU KUIMARISHA KINGA YA MWILI UKIWA BADO MZIMA(Usisubiri mpaka mambo yaharibike ndo uanze kunywa mitishamba,mitishamba ipo zaidi kukukinga kuliko kukutibu).
UTAJIRI WAKO WA KWANZA NI AFYA NA UKIZUNGUMZIA AFYA UNAZUNGUMZIA KINGA YA MWILI.KWA ULAJI WETU WA LEO NA UMEZAJI HOLELA WA VIDONGE TUNAUA KINGA ZETU ZA ASILI ZA MWILI KWA KUJUA AU KUTOJUA(Ndiyo maana siku hizi ukiugua mafua hadi unalazwa lakini zamani haukuwa hivi kinga zako zilipokuwa bado zina nguvu).

NDUGU YANGU UKIWA HAUNA TATIZO LA KIAFYA NDIO WAKATI MZURI WA KUONGEZEA ULINZI WA ASILI YAANI KINGA YA MWILI.VILE VILE UKIWA UNAUMWA USIKIMBILIE VIDONGE KWANZA,VIDONGE VINGI VINA MADHARA MAKUBWA KWANI KILA UNAPOMEZA KIDONGE KUNA ATHARI ZINABAKI MWILINI MWAKO.
IPO NGUVU KUBWA YA UPONYAJI KATIKA MIMEA AMBAYO WATU WENGI SIKU HIZI WANAIDHARAU KUTOKANA NA PROPAGANDA ZA WAZUNGU KUWA TIBA ZETU NI ZA KISHENZI, NA NDO HAPO USHANGAE ZAMANI HAPAKUWA NA FAMASI NYINGI K**A LEO NA WATU HAWAKUUGUA SANA K**A LEO,TUREJEE KWENYE FAMASI ZA MABABU ZETU ZA MIMEA.
PASIPO WEWE KUJUA MIMEA ILIYOKUZUNGUKA NYUMBANI KWAKO NI DAWA NZURI NA KINGA NZURI YA MAGONJWA ,VIUNGO,MATUNDA,MBOGAMBOGA ,MIZIZI,MBEGU NA HAYO MAGUGU VYOTE NI DAWA NA KINGA ZA KUKUFANYA USAHAU KABISA KOPO LAKO LA VIDONGE.

TUTAKUELEKEZA MIMEA IPI NI DAWA NA UITUMIEJE BILA KUKULETEA ATHARI MBAYA,MATUNDA NA MBOGA ZIPI NI DAWA NA UZITUMIEJE ILI ZIKUTIBU,TUTAKUFUNDISHA NAMNA YA KUOZESHA MIMEA KWA SIKU 30 ILI UPATE DAWA.
KWA KUTUMIA NGUVU YA MIMEA ILIYOKO UANI KWAKO TUTAKUFUNDISHA JINSI YA KUJITIBU KISUKARI,PRESHA,VIDONDA VYA TUMBO,TATIZO LA UZAZI NA NGUVU ZA KIUME,BAWASIRI,TEZI DUME,FANGASI SUGU,MACHO,VIUNGO KUUMA NA ATHMA!

UTAFUNDISHWA NAMNA YA KUONGEZA KINGA YA MWILI ILI USISUMBULIWE NA MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MWILI KUANZA KUZEEKA,NA KUJITIBU MWENYEWE MAGONJWA SUGU YANAYOKUSUMBUA KWA MUDA MREFU KWA KUTUMIA NGUVU YA MIMEA KUPITIA CHAI,JUISI,SYRUP NA UNGA.
WASILIANA NASI SASA KUPITIA 0744343221.

SPINACHHii siyo mboga tu bali pia ni bonge moja ya mmea dawa,nakushauri upande ukiweza,ni nzuri zaidi ikiliwa ikiwa mbic...
01/12/2022

SPINACH
Hii siyo mboga tu bali pia ni bonge moja ya mmea dawa,nakushauri upande ukiweza,ni nzuri zaidi ikiliwa ikiwa mbichi,inasaidia sana kwenye macho,afya ya ubongo,inatibu presha,spinach ina virutubisho kibao ikiwa ni pamoja na nguvu ya kuzuia maambukizi!Kuelekezwa zaidi namna ya kujitibu na kujikinga mwenyewe na magonjwa tupigie kupitia 0744343221

01/12/2022

PUNGUZA KULA KWA MAZOEA NA BADALA YAKE KULA KWA AFYA YAKO YA KESHO!

FAIDA 3 ZA TANGAWIZI1.Hii ni antibiotic ya kienyeji au ya asili maana yake tangawizi ni kiboko ya bakteria kwa hiuo bada...
01/12/2022

FAIDA 3 ZA TANGAWIZI
1.Hii ni antibiotic ya kienyeji au ya asili maana yake tangawizi ni kiboko ya bakteria kwa hiuo badala ya kubugia mi antibiotic fikiria kwanza kutumia tangawizi na vitu ka UTI utavisikia tu!

2.Tangawizi mbichi pia ni antviral,maana yake inaweza kupambana na kuvizuia virusi,mara nyingine ujisikiapo una dalili za mafua au homa fikiria kwanza tangawizi.

3.Tangawizi itakusaidia sana pale unapokuwa unasumbuliwa na hama kwikwi au kizunguzungu au kichefuchefu au kiungulia

NB:Tangawizi inasaidia sanakwa watu wenye maumivu ya mifupa.Tangawizi ina kitu kitaalamu ambacho huitwa gingerol ambayo husaidia sana katika kutibu na kuondoa kabisa maumivu ya mwili au viungo!Kukuelezea kwa kinagaubaga faida nyingine za matumizi ya Tangawizi mwilini mwako na jinsi ya kuiandaa ikusaidie katika tiba ya magonjwa zaidi ya 300 wasiliana nasi kupitia 0744433221

 Ikiwa unasumbuliwa na maumivu  ya kichwa mara Kwa mara basi tumia chai ya limau,au chai ya karafuu,au chai ya manjano a...
01/12/2022


Ikiwa unasumbuliwa na maumivu ya kichwa mara Kwa mara basi tumia chai ya limau,au chai ya karafuu,au chai ya manjano au tangawizi!Unaitengenezaje ili iwe dawa wasiliana nasi kupitia 0744343221 tukuelekeze jinsi ya kujitibu mwenyewe magonjwa yote bila kumeza dawa za sibitali

Address

NYASAKA
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TIBA JUISI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TIBA JUISI:

Share