18/09/2022
+255747586111 Habari..!
*🌹Haya Ndio Mambo Yanayochangia usishike Ujauzito..*
Leo nitazungumzia dalili kuu sita ambazo ni viashiria vya mwanamke kua mgumba au anaelekea kwenye ugumba(kukosa kupata mtoto).
1. Kupata hedhi inayobadilika badilika.
2. Kuacha Kuona Siku Zako ghafla.
K**a hujafikia menopause(kipindi mwanamke anakoma kupata hedhi yake ya kawaida kutokana na umri),au sio Mjamzito na hutumiii njia ya uzazi wa mpango zinazosababisha kubadilika kwa hedhi na
Ukaona hedhi yako imekata ghafla maana yake ni kwamba haupevushi mayai ambapo itakuwa ngumu sana kwako kubeba ujauzito.
3. Kutokwa na damu nyingi, nzito ma yenye mabonge k**a vipande vya maini.
Hii huashiria tatizo la hormonal imbalance, uvimbe au maambukizi
4. Maumivu wakati wa tendo la ndoa yanayo ambatana na uchafu
5. Kupata Maumivu makali chini ya kitovu
6. Kukosa hamu ya tendo la Ndoa kabisa na kuhisi ukavu ukeni
7. Kupata dalilobzote za ujauzito ihali sio mjamzito
Hizo ni baadhi ya dalili Mbaya kwa mwanamke ambaye anatamani kupata mtoto +255747586111