Relax Herbs Clinic

Relax Herbs Clinic Huduma za afya (Ushauri, Uchunguzi na Tiba) kwa dawa asilia. Tupo Mwanza Mjini, Buzuruga Plaza ghoro

Baba ninakushukuru πŸ™
31/08/2023

Baba ninakushukuru πŸ™

Yessss we do massage πŸ₯°Karibuni Buzuruga Plaza
19/06/2023

Yessss we do massage πŸ₯°

Karibuni Buzuruga Plaza

Aguaje+ Macca πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
19/06/2023

Aguaje+ Macca πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Macca zipo
19/06/2023

Macca zipo

Karibu tukusaidie kuufikia mwili unaoutaka. Mwili wenye kuvutia
19/06/2023

Karibu tukusaidie kuufikia mwili unaoutaka. Mwili wenye kuvutia

19/06/2023
11/08/2022

Usibane choo kikubwa au kidogo kwa muda mrefu. Ukipata dalili hata kwa mbali basi hakikisha unatoa.

Kubana choo kidogo muda mrefu inakuweka kwenye hatari ya kupata hitilafu kwenye figo.

Kubana choo kikubwa kwa muda mrefu inakufanya uwe kwenye hatari ya kupata Bawasiri (hemorrhoid)

Chukua hatua!





Supu sio diet ❌ usitumie kila siku/Mara kwa mara
11/08/2022

Supu sio diet ❌ usitumie kila siku/Mara kwa mara

Unalifahamu kundi lako la damu na mwenzi wako??!Ukiwa na mpenzi msiwaze tu kupima VVU,bali pimeni pia mjue makundi yenu ...
09/08/2022

Unalifahamu kundi lako la damu na mwenzi wako??!

Ukiwa na mpenzi msiwaze tu kupima VVU,bali pimeni pia mjue makundi yenu ya damu.

Mwanaume akiwa na damu yenye + ( mfano A+, B+, AB+ au O+ ) anaweza kuoana na mwanamke yeyote mwenye damu group yenye + ( mfano A+, B+, AB+ au O+ ) na watapata watoto bila tatizo lolote.

Mwanaume akiwa na group mfano ( A+, B+, AB+ au O+) akioa msichana mwenye A-, B-, AB- au O- Mtoto wa kwanza atazaliwa vizuri, na ikitokea MWANAMKE AMEJIFUNGULIA NYUMBANI au NJE YA HOSPITAL, ambako hakugundulika kwamba ana damu negative... Mtoto wa kwanza ataishi vizuri kabisa na afya nzuri. ila watoto wanaofata hawataweza kuishi au watakufa kabla hawajazaliwa kwa sababu, Msichana mwenye negative blood group ( Rh-) yaani hana D antigen, alipojifungua mtoto wa kwanza mwili wake unakuwa sasa umeandaa kujikinga (antibodies kupambana na D antigen ( Rh +) kwa baadae
MTOTO WA PILI akitungwa mwili wa mama tayari una Antibodies dhidi ya Rh+ ( mtoto anazo hizi Rh+), hivyo matokeo yake ni kuwa seli nyekundu za mtoto zitashambuliwa na kufa.
Mtoto akibahatika kuzaliwa hai, atapoteza uhai muda sio mrefu kwa vile anakuwa hana seli nyekundu za kusambaza damu mwilini.

Endapo Mwanamke huyu alijifungulia MTOTO WA KWANZA HOSPITAL, madaktari wanakuwa wameshajua kwamba ana damu negative, hivyo wanasaidiana na mmewe kufanya maandalizi ya sindano yenye dawa ( SIITAJI HAPA )
alafu msichana akijifungua tuu MTOTO WA KWANZA anachomwa hiyo sindano
na akija kupata mimba baada atachomwa hiyo sindano wakati wa mimba na pindi anapojifungua.


LIMAO & NDIMU ZINAKAUSHA DAMU??!Tofauti na mawazo ya watu wengi kuwa limao na ndimu zinakausha damu, ukweli ni kwamba li...
06/08/2022

LIMAO & NDIMU ZINAKAUSHA DAMU??!

Tofauti na mawazo ya watu wengi kuwa limao na ndimu zinakausha damu, ukweli ni kwamba limao na ndimu zinasaidia Sana katika kuongeza damu mwilini

Limao na ndimu zina wingi wa vitamin C na Citric acid ambazo husaidia mwili kusharabu kiwango kikubwa Cha madini ya Chuma (Iron) ambayo ni muhimu Sana katika utengenezwaji wa seli nyekundu za damu.

Hivyo ulaji wa matunda haya moja kwa moja unasaidia kuongeza damu kwenye mwili.

Nawashauri ndugu zangu tuyatumie na tuache dhana potofu kuhusu matunda haya.

Address

Buzuruga
Mwanza

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 14:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Relax Herbs Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Relax Herbs Clinic:

Share