04/06/2026
π¨ TABIA 3 ZINAZOKWAMISHA MZUNGUKO WA DAMU MWILINI!
βJe, umewahi kuhisi ganzi miguuni au mikononi, uchovu uliopitiliza, au baridi kali kwenye viganja vyako hata k**a hakuna baridi? Hiyo inaweza kuwa ishara kwamba mzunguko wako wa damu unasumbua!
βMzunguko mzuri wa damu ndio unaobeba oksijeni na virutubisho kwenda kwenye viungo vyako vyote. Lakini tabia hizi tunazofanya kila siku zinauawa mfumo huu kimyakimya:
β1οΈβ£ Kukaa Sehemu Moja kwa Muda Mrefu: Iwe ofisini au kwenye gari bila kunyoosha mwili. Hii inafanya damu ishindwe kurudi vizuri kwenye moyo na kuanza kuvimba miguu.
2οΈβ£ Kutokunywa Maji ya Kutosha: Damu yako ni zaidi ya asilimia 80 ya maji. Usipokunywa maji, damu inakuwa nzito na inakuwa vigumu kusukumwa kwa urahisi kwenye mishipa midogo.
3οΈβ£ Kula Vyakula vya Mafuta Mabaya (Cholesterol): Mafuta haya yanaganda kwenye kuta za mishipa ya damu na kuifanya iwe nyembamba, jambo linaloongeza hatari ya presha na kiharusi.
βUsipuuze dalili ndogo ndogo k**a ganzi au uchovu wa mwili mzima. Kinga ni bora kuliko tiba!
βπ Je, wewe huwa unapatwa na ganzi mara kwa mara? Drop comment yako hapo chini!
βπ² K**a unataka kuboresha mzunguko wako wa damu na kujiunga na darasa letu la afya leo, wasiliana nasi sasa hivi kupitia:
π WhatsApp / Kupiga: +255 767 866 299
π€ Page yetu: AFYA YAKO DR SILA
β.