24/05/2026
•Karibu Chuo Cha Afya na Sayansi Shirikishi Bwima usome kozi zifuatazo kwa vitendo:-
1. FAMASI (PHARMACEUTICAL SCIENCES) 💊
•VIGEZO: Wahitimu wa kidato cha 4 wenye ufaulu wa angalau alama D katika masomo ya Chemistry na Biology.
-
2. UTABIBU (CLINICAL MEDICINE) 💉
•VIGEZO: Wahitimu wa kidato cha 4 wenye ufaulu wa angalau alama D katika masomo ya Chemistry, Biology na Physics.
-
3. MIONZI (DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY)
•VIGEZO: Wahitimu wa kidato cha 4 wenye ufaulu wa angalau alama D katika masomo ya Chemistry, Biology, Physics, Basic Mathematics na English Language. KOZI HII INA MKOPO WA 100% kutoka Bodi ya Mikopo () 🚨
-
4. USTAWI WA JAMII (SOCIAL WORK)
•VIGEZO: Wahitimu wa kidato cha 4 wenye ufaulu wa angalau alama D katika masomo yasiyokuwa ya Dini.
-
∆KWANINI UJIUNGE NASI LEO?
✓ADA 💰 NAFUU NA INALIPWA KWA AWAMU NANE.
✓HOSTELI 🏢 NI BUREEE.
✓USAFIRI 🚌 WA KWENDA MAENEO YA KUJIFUNZIA UPO.
✓TUMEZUNGUKWA NA UFUKWE WA ZIWA VICTORIA.
-
📍 Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza.
📞 0767493683/0710583683/0791493693
🌐 Tovuti yetu ni (www.bwihas.ac.tz)