Edmarkproducts mwanza

Edmarkproducts mwanza nutritionalist person

Edmark ni kampuni inayojihusisha na Afya pamoja Fursa Ina huduma nzur sana ambazo tunatoa kuhusiana na Afya na bidhaa zetu zina matokeo bora na haraka kwa bidhaa tunazotoa kwa watumiaji wasiliana nasi Tupo Mwanza na Dar es salaam na piga Simu 0654384013

JUST GLOW! 🥰🥰
13/08/2026

JUST GLOW! 🥰🥰

☕ Ginseng Coffee – nguvu na focus kila siku!Faida zake:• Huongeza nguvu na stamina• Husaidia kuongeza umakini (focus)• H...
11/08/2026

☕ Ginseng Coffee – nguvu na focus kila siku!

Faida zake:
• Huongeza nguvu na stamina
• Husaidia kuongeza umakini (focus)
• Husaidia kupunguza uchovu
• Huchangia kuboresha mzunguko wa damu
• Husaidia mwili kuwa na vitality zaidi
• Huimarisha kinga ya mwili (immunity)
• Husaidia kuongeza metabolism ya mwili
• Huchangia usagaji bora wa chakula (digestion)
• Husaidia kupunguza stress na kuongeza utulivu wa akili
• Ina antioxidants zinazosaidia kulinda mwili dhidi ya sumu (detox)
• Husaidia kudhibiti uzito kwa njia ya asili

📩 Oda sasa: 0654384013

CoffeeLovers

☕️☕️☕️
06/08/2026

☕️☕️☕️

Anza leo usisubiri mpaka tatizo liwe kubwa anzaa na kutumia supliment hizi 💪🏾👆
05/08/2026

Anza leo usisubiri mpaka tatizo liwe kubwa anzaa na kutumia supliment hizi 💪🏾👆

Ni collagen source ambayo Iko more basedkwenye ngozi, nywele, kucha na mifupa.Toka wengi waijue hii Siri hawataki kabisa...
05/08/2026

Ni collagen source ambayo Iko more based
kwenye ngozi, nywele, kucha na mifupa.
Toka wengi waijue hii Siri hawataki kabisa
kuiacha ndio maana watu wengi
wanazikimbilia sana hizi Cocollagen za
Edmark .

Morning healthy break fast!
31/07/2026

Morning healthy break fast!

We deliver all over the Country in and outside
30/07/2026

We deliver all over the Country in and outside

Ni kirutubisho cha lishe kinachotengenezwa kwa mchanganyiko wa soy protein, amino acids (ikiwemo glutamine), na Vitamin ...
28/07/2026

Ni kirutubisho cha lishe kinachotengenezwa kwa mchanganyiko wa soy protein, amino acids (ikiwemo glutamine), na Vitamin B5. Edmark huiwasilisha k**a bidhaa inayosaidia kuchochea mwili kuzalisha homoni ya ukuaji (HGH) kwa njia ya asili, badala ya kuwa homoni yenyewe.

Faida zinazodaiwa na mtengenezaji ni pamoja na:

* Kusaidia kuongeza nguvu na uchangamfu.
* Kusaidia afya ya ngozi na kupunguza dalili za kuzeeka.
* Kusaidia ujenzi na ukarabati wa misuli.
* Kusaidia mwili kupona baada ya uchovu au mazoezi.
* Kusaidia afya ya mfumo wa kinga kwa ujumla.

Jinsi ya kutumia:

* Changanya sachet 1 na takribani 150 ml ya maji ya uvuguvugu au ya kawaida.
* Kunywa mara moja baada ya kuchanganya.
* Mara nyingi hupendekezwa kunywa usiku kabla ya kulala.

Muhimu kujua:
Ingawa Edmark inatangaza Bio Elixir k**a bidhaa inayosaidia kuchochea uzalishaji wa HGH kwa njia ya asili, madai ya kupunguza kuzeeka au kuongeza HGH kwa kiwango kikubwa hayajathibitishwa kikamilifu na ushahidi madhubuti wa kitabibu kwa watu wote. Ni kirutubisho cha lishe,

28/07/2026

My customer if you trust me I’ll never let you down! 😊😊🇹🇿

Address

Mishen Bus Stop
Mwanza
33000

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00

Telephone

+255654384013

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Edmarkproducts mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Edmarkproducts mwanza:

Shortcuts

Share