17/04/2019
▪ Uwezo wa kuuza bidhaa au huduma au ujuzi ni lazima kila mtu awe nao!.
▪Uzuri ni kwamba hata k**a hujui ni rahisi mno kujifunza..
❌Hakuna biashara isiyo na mauzo!!!..Ili kupata pesa lazima ujue jinsi ya kuuza bidhaa au huduma.
🤔Watu wengi wana mtazamo hasi kuhusu kuuza kiasi kwamba baadhi ya kampuni husema "hakuna kuuza" k**a njia ya kuwapata watu!!!!
🙅🏽🙅🏽♂Jamani mtu yeyote yule asikudanganye kuwa hakuna kuuza hapa duniani...
Shtukaaa🔥🔥🔥🔥
📌Kuuza kumegawanyika katika makundi
1⃣Kuuza bidhaa
2⃣kuuza huduma
3⃣kuuza muda
4⃣kuuza ujuzi
👉🏼 Alieajiriwa anauza ujuzi na muda kwa mwajiri..ndio maana lazima asubuhi awahi ofisin akae mpaka jioni muda wake kauza ofisin pamoja na ujuzi ataotumia katika hiyo ofisi.Mshahara wake ni malipo ya kuuza muda na ujuzi wake.
👉🏼Alie mfanyabiashara anauza bidhaa..Akiuza bidhaa atapata pesa k**a malipo.
👉🏼Anaefanya kazi za jamiii Anauza Huduma.Atawahudumia jamii yake.Mfano..mwenyekiti wa serikali za mitaa atahusika na jamii inayomzunguka.Atauza huduma ili kupata malipo(mshahara).
*Kila mtu anauza kitu,Kuuza hakuepukiki. Elewa hii itakusaidia mtu asikudanganye*
📌Na mtu asikudharau kabisa k**a wewe ni mfanya biashara na yeye ni muajiriwa ni sawa ni wauzaji wa vitu tofauti
👉🏼Muajiriwa asipoenda kazini hata k**a anaumwa sana mwezi mzima kampuni itamuandikia barua ya kumwambia apumzike bila malipo😉..atashauriwa achukue likizo bila malipo..kwa sababu kimsingi uwepo wake ofisin unatakiwa..
TO GET MONEY YOU MUST SELL!!!!!
SELLING SKILLS IS ESSENTIAL!!!!
*tafakari* *Chukua* *hatua*
# 20/4/19