Masha Herbal Clinic

Masha Herbal Clinic TIBA ASILI - MWANZA

KIBOKO YA VIDONDA SUGU VYA TUMBO, HERNIA NA HESHIMA YA NDOA NI BONGE LA DAWA✅Ni ya mfumo wa maji✅Ni lita 5 dozi yake✅Ni ...
06/05/2026

KIBOKO YA VIDONDA SUGU VYA TUMBO, HERNIA NA HESHIMA YA NDOA

NI BONGE LA DAWA

✅Ni ya mfumo wa maji
✅Ni lita 5 dozi yake
✅Ni kiboko ya vidonda sugu vya tumbo
✅Acid Reflux
✅Hernia/Ngiri/Chango la kiume
✅Inarudisha heshima ya ndoa kwa wanaume

GHARAMA TSH 300,000

WEKA ODA YAKO OFISINI MWANZA, MKOLANI

Mikoani unalipia kwanza Advance Tsh 50,000, pesa inayobaki utailipa mzigo ukifika

Simu || WhatsApp
0767 925 000

COMING SOON...DAWA YA KIMIMINIKA(SYRUP) TAMU YA KUTIBU..1. VIDONDA SUGU VYA TUMBO & ACID REFLUX 2. NGIRI3. KURUDISHA KAB...
05/05/2026

COMING SOON...
DAWA YA KIMIMINIKA(SYRUP) TAMU YA KUTIBU..
1. VIDONDA SUGU VYA TUMBO & ACID REFLUX
2. NGIRI
3. KURUDISHA KABISA HESHIMA YA NDOA KWA WANAUME

DOZI NI LITA 5
BEI TSH 300,000(LAKI 3)

Unaweza kuweka oda kwa kupiga simu au WhatsApp

Namba: 0767 925 000

04/05/2026

HII NI YENU WANYWAJI WA POMBE, ENERGY NA SODA

K**a ulikuwa hujui basi leo nakujuza kwamba matumizi kupindukia ya Pombe, Energy Drinks na Soda yanakuweka jirani mno na shida ya Figo na Ini

Ikiwa unadhani tunatania basi wewe tembelea tu Hospitali kubwa nyingi utaona watu wanaosubiri kusafishwa Figo(Dialysis) ndipo utaamini wengi wao walikuwa watumiaji wazuri mno wa hivyo vinywaji vitatu

TAHADHALI KABLA YA HATARI
Anza kutumia unga wa majani ya msitafeli k**a chai yako kila siku itakufanya ukae mbali mno na shida za:
1. Figo
2. Ini
3. Kansa
4. Uvimbe
5. Uric Acid
6. Kisukari
7. Presha
8. Tezi dume

Matumizi yaende kwa wiki 12 mfululizo kila mwaka

Sisi MASHA HERBAL STORE huwa tunatoa dozi yote ya wiki 12 kwa Tsh 80,000

Ofisi ni Mwanza, jirani mno na Kanisa Katoliki Mkolani

NB: HATUNA OFISI MKOA MWINGINE

Tunatuma mikoa yote na malipo utayafanya baada ya mzigo kukufikia

Lakini inahitajika kulipia kwanza gharama za usafiri ndipo tunakutumia

Agiza ndugu yako aliyepo Mwanza pia ni njia nzuri ya kupata

Simu || WhatsApp
0767 925 000

JINSI MAJANI YA MKARATUSI YALIVYO MSAADA KIAFYAMajani ya mti wa mkaratusi  yamekuwa yakitumika kwa karne nyingi k**a tib...
03/05/2026

JINSI MAJANI YA MKARATUSI YALIVYO MSAADA KIAFYA

Majani ya mti wa mkaratusi yamekuwa yakitumika kwa karne nyingi k**a tiba asilia kutokana na mafuta yake yenye nguvu na vimelea vya kuua bakteria

​Hapa kuna faida kuu za majani haya katika matibabu:

​1. Kutibu Matatizo ya Mfumo wa Upumuaji
​Hii ndiyo faida maarufu zaidi ya mkaratusi. Inasaidia sana katika:
​Kupunguza Kifua na Mafua: Majani ya mkaratusi yanasaidia kuloainisha makohozi na kuyatoa kwa urahisi (expectorant).
​Kuzibua Pua: Kujifukiza mvuke wa majani ya mkaratusi husaidia kuzibua pua zilizoziba na kusaidia kupumua vizuri.
​Kutuliza Pumu na Bronchitis: Husaidia kutanua njia za hewa na kupunguza uvimbe kwenye mapafu

​2. Kinga Dhidi ya Bakteria na Virusi
​Majani haya yana sifa ya kuwa antiseptic na antibacterial. Hutumika:
​Kusafisha Vidonda: Maji yaliyochemshwa majani ya mkaratusi yanaweza kutumika kusafisha vidonda vidogo ili kuzuia maambukizi.
​Afya ya Kinywa: Dondoo za mkaratusi husaidia kuua bakteria wanaosababisha harufu mbaya mdomoni, kuzuia plaque, na magonjwa ya fizi.
Ndiyo maana hupatikana sana kwenye dawa za mswaki.

​3. Kupunguza Maumivu ya Viungo na Misuli
​Mafuta yanayotokana na majani haya yana sifa ya kupoza na kupunguza uvimbe (anti-inflammatory).
​Husaidia kupunguza maumivu ya baridi yabisi (arthritis).
​Hupunguza maumivu ya misuli baada ya kufanya kazi nzito au mazoezi

​4. Afya ya Ngozi
​Kutibu Fangasi: Majani ya mkaratusi yana uwezo wa kupambana na fangasi wa ngozi na kucha

​Kufukuza Wadudu: Harufu ya mkaratusi ni dawa asilia ya kufukuza mbu na wadudu wengine wanaoweza kueneza magonjwa

​5. Kupunguza Msongo wa Mawazo (Stress)
​Harufu ya mkaratusi inajulikana kwa kuwa na athari ya kutuliza mfumo wa fahamu. Inasaidia:
​Kupunguza uchovu wa akili.
​Kuleta utulivu na kuboresha umakini.
​Namna ya Kuyatumia
​Kujifukiza (Steam Inhalation): Chemsha majani machache kwenye maji, kisha jifunike na shuka na uvute mvuke wake kwa dakika 5–10

​Chai ya Majani: Unaweza kutumia majani makavu kutengeneza chai (kiasi kidogo sana), lakini tahadhari inahitajika kwani mafuta ya mkaratusi yanaweza kuwa sumu yakitumiwa kwa wingi kupita kiasi.
​Kukanda (Compounding): Twanga majani mabichi na uyaweke sehemu yenye maumivu ya viungo

​Tahadhari: Mafuta ya mkaratusi (Eucalyptus oil) hayapaswi kumezwa moja kwa moja bila ushauri wa mtaalamu kwani ni makali sana. Pia, haishauriwi kutumia kwa watoto wadogo sana bila uangalizi, hasa kupaka karibu na pua zao

Kwetu ofisini, unga wa majani ya mkaratusi tunao, bei inaanzia Tsh 30,000 kwa dozi ya wiki 4

Ofisi || Mwanza || Mkolani

Simu || WhatsApp
0767 925 000

02/05/2026

HII NDO KIBOKO YA WANAUME WALIOJICHUA

✅Waliojichua/punyeto
✅Hisia hakuna
✅Ukifanikiwa kufanya ni sekunde chache/unawahi kumaliza
✅Kurudia huwezi au ni kwa shida mno
✅Huu Msamitu ni bingwa wa kuwanyoosha wazee wa kujichua
✅Tuna muda mrefu tunautoa
✅✅Matokeo huwa ni mazuri mno

✅Tunakupa bure Dawa ya kuondoa sumu na mafuta mabaya mwilini

✔️TSH 60,000

Agiza au fika ofisini, Mwanza jirani na kanisa katoliki mkolani

Mikoa mingine lipia usafiri kwanza halafu pesa ya dawa utailipa mzigo ukifika

Simu || WhatsApp
0767 925 000

USISUBIRI HOSPITALI WAKUAMBIE FIGO YAKO MBOVU, SAFISHA TU KWA MSITAFELI Kwenye matumizi yote ya Msitafeli unga, basi hii...
30/04/2026

USISUBIRI HOSPITALI WAKUAMBIE FIGO YAKO MBOVU, SAFISHA TU KWA MSITAFELI

Kwenye matumizi yote ya Msitafeli unga, basi hii hapa ni njia nzuri na huanza kutoa matokeo mapema sana

Andaa maji yako vuguvugu, yawe ujazo wa kikombe cha chai au glasi

Kwenye hayo maji weka unga wa msitafeli kijiko kimoja kile kidogo cha chai, endapo hauna vidonda vya tumbo fanya kukamulia humo limao kipande kimoja kisha chuja

K**a una vidonda vya tumbo usiweke limao, chuja tu

Kunywa maji hayo uliyochuja asubuhi baada ya chai, na pia usiku baada ya chakula

Tumia hivyo kwa siku 7 mfululizo, halafu siku 7 zingine usitumie. Halafu endelea tena kutumia kwa siku 7 zingine, kisha siku 7 zinazofuata usitumie.

Tumia kwa mtindo huohuo hadi muda wa miezi mitatu upite

KUMBUKA, HUO MSITAFELI UNAKUSAIDIA...
1. Kusafisha Figo
2. Kusafisha Ini
3. Kukinga na kutibu KANSA yoyote
4. Kukinga na kutibu UVIMBE wowote
5. Kukinga na kutibu TEZI DUME
6. Kuboresha hali ya usingizi
7. Kuondoa msongo wa mawazo
8. Kukinga na kutibu Sukari ya kupanda
9. Kukinga na kutibu PRESHA ya kupanda
10. Kukinga na kutibu URIC ACID

NOTE: UNGA MZURI NI ULE ULIOANDALIWA KWA MAJANI YAKE KUANIKWA KIVULINI KABLA YA KUSAGWA

Ikiwa unashindwa kuandaa unga wenye sifa hizo, bei yetu ni Tsh 80,000, fika ofisini kwetu Mwanza jirani sana na Kanisa katoliki Mkolani, mbele yako utaona jengo la bluu limeandikwa Nyota Rays, ukilivuka tu hilo jengo utaona ofisi ina bango limeandikwa MASHA HERBAL STORE, piga simu kabla ya kuja

Mikoa yote tunaweza kukutumia ukihitaji, k**a upo makao makuu ya mkoa wako basi utalipia kwanza Tsh 10,000 ya kusafirisha halafu pesa ya dawa utailipa wakati wa KUPOKEA

Simu || WhatsApp
0767 925 000

HII HAPA NJIA NZURI YA KUTUMIA UNGA WA MAJANI MSITAFELI Kwenye matumizi yote ya Msitafeli unga, basi hii hapa ni njia nz...
30/04/2026

HII HAPA NJIA NZURI YA KUTUMIA UNGA WA MAJANI MSITAFELI

Kwenye matumizi yote ya Msitafeli unga, basi hii hapa ni njia nzuri na huanza kutoa matokeo mapema sana

Andaa maji yako vuguvugu, yawe ujazo wa kikombe cha chai au glasi

Kwenye hayo maji weka unga wa msitafeli kijiko kimoja kile kidogo cha chai, endapo hauna vidonda vya tumbo fanya kukamulia humo limao kipande kimoja kisha chuja

K**a una vidonda vya tumbo usiweke limao, chuja tu

Kunywa maji hayo uliyochuja asubuhi baada ya chai, na pia usiku baada ya chakula

Tumia hivyo kwa siku 7 mfululizo, halafu siku 7 zingine usitumie. Halafu endelea tena kutumia kwa siku 7 zingine, kisha siku 7 zinazofuata usitumie.

Tumia kwa mtindo huohuo hadi muda wa miezi mitatu upite

KUMBUKA, HUO MSITAFELI UNAKUSAIDIA...
1. Kusafisha Figo
2. Kusafisha Ini
3. Kukinga na kutibu KANSA yoyote
4. Kukinga na kutibu UVIMBE wowote
5. Kukinga na kutibu TEZI DUME
6. Kuboresha hali ya usingizi
7. Kuondoa msongo wa mawazo
8. Kukinga na kutibu Sukari ya kupanda
9. Kukinga na kutibu PRESHA ya kupanda
10. Kukinga na kutibu URIC ACID

NOTE: UNGA MZURI NI ULE ULIOANDALIWA KWA MAJANI YAKE KUANIKWA KIVULINI KABLA YA KUSAGWA

Ikiwa unashindwa kuandaa unga wenye sifa hizo, bei yetu ni Tsh 80,000, fika ofisini kwetu Mwanza jirani sana na Kanisa katoliki Mkolani, mbele yako utaona jengo la bluu limeandikwa Nyota Rays, ukilivuka tu hilo jengo utaona ofisi ina bango limeandikwa MASHA HERBAL STORE, piga simu kabla ya kuja

Mikoa yote tunaweza kukutumia ukihitaji, k**a upo makao makuu ya mkoa wako basi utalipia kwanza Tsh 10,000 ya kusafirisha halafu pesa ya dawa utailipa wakati wa KUPOKEA

Simu || WhatsApp
0767 925 000

27/04/2026

KWA DALILI HIZI BASI HUENDA UNA KISUKARI

Ikiwa umeanza kujiona una dalili hizi hapa chini basi kaangalie kipimo cha Kisukari au anza kutumia Detox ya Msitafeli na Limao

1. Unapata njaa kali
2. Unakojoa mara kwa mara
3. Unapata kiu kali sana
4. Unaamka ukiwa na uchovu wa kutisha
5. Unakuwa unapata ganzi na maumivu ya mwili
6. Unapata vidonda ila vinakawia sana kupona
7. Kwa mwanaume unaanza kukosa hamu ya tendo

Kimbia Hospitali au ukiweza anza kutumia DETOX ya unga wa majani ya msitafeli, hii chai uwe unakamulia limao nusu kila unapokunywa, hakika utaanza kuwa vizuri ndani ya wiki moja tu

K**a unahitaji unga wa msitafeli ulioandaliwa vizuri kivulini basi tembelea ofisini kwetu Mwanza jirani sana na Kanisa Katoliki Mkolani

Tunatoa dozi ya miezi mitatu kwa Tsh 80,000

Mikoa yote tunafanya delivery, na unatakiwa kulipia gharama ya usafiri tu kwanza halafu pesa ya dawa utailipa mzigo ukifika(staili hii tunaifanya zaidi kwa watu walio makao makuu ya mkoa)

Simu || WhatsApp
0767 925 000

26/04/2026

K**A CHAI YAKO NI YA UNGA WA MAJANI MSITAFELI UNAFAIDIKA HIVI....

Ikiwa umeamua kukubali kugeuza chai yako iwe ya unga wa majani MSITAFELI basi wewe ni mtu sana maana unapata faida hizi:

1. Unasafisha figo yako
2. Unafisha ini lako
3. Unajikinga na tezi dume wewe mwanaume
4. Unazuia usipate uvimbe wowote
5. Unazuia usipate Kansa
6. Unazuia usipate Kisukari na Presha

WATU HAWA NI WAGONJWA WATARAJIWA WA FIGO NA INI
1. Wanywaji wa pombe
2. Watumiaji wa Energy Drinks
3. Watumiaji vinywaji vitamu vya sukari hasa vyeusi

MSITAFELI NI KINGA NA TIBA KWAKO

NB: Andaa majani yako wewe mwenyewe anika kivulini kisha upate unga ndo uufanye majani yako ya chai

K**a unashindwa kuandaa unga huu wa msitafeli unaweza kuagiza kwetu kwani dozi ya miezi mitatu yote tunaitoa kwa Tsh 80,000 tu

Tunapatikana Mwanza jirani mno na Kanisa Katoliki Mkolani, ukifika geti la Kanisa Katoliki Mkolani mbele yako utaona jengo la bluu limeandikwa Nyota Rays, ukilivuka tu hilo jengo utaona ofisi ina bango limeandikwa MASHA HERBAL STORE

Mikoa yote tunaweza kukutumia ukihitaji, tupigie tuambie uko mkoa gani ili tukutumie

Simu || WhatsApp
0767 925 000

25/04/2026

HIVI NDIVYO MSITAFELI UNAVYOWASAIDIA WANAUME

Msitafeli unahusika pakubwa ili kuleta utulivu wa mwanaume kiakili

Una kampoundi za ALKALOIDS na TRYPTOPHAN ambazo huenda kushirikiana na Serotonin na Melatonin ili kuleta utulivu wa kisaikolojia

Kupitia hali hiyo ndipo mwanaume unaweza kupata usingizi mzuri, utaondoa msongo wa mawazo pamoja na uoga ikiwemo hofu

Sasa kupitia hivyo ndo mwanaume unakuwa na uwezo mzuri mno wa kusimamisha au kuwa k**a mwanaume.

Hii ndo sababu tunasema MSITAFELI ni wa kila mtu, hauepukiki

Andaa msitafeli wako kwa kuanika majani kivulini kisha tumia k**a chai ila usiweke sukari

K**a huwezi kuandaa unaweza kuwasiliana nasi tukutumie popote ulipo, na sisi gharama inaanzia Tsh 80,000 inakuwa dozi ya miezi mitatu kopo 4

Mikoa yote tunafanya delivery

Simu || WhatsApp
0767 925 000

24/04/2026

HIZI HAPA NI COMPOUNDS 5 ZA MUHIMU ZINAZOFANYA MAJANI YA MSITAFELI YAWEZE KUSAFISHA INI NA FIGO

​Hizi hapa ni aina kuu za compounds zinazofanya kazi hiyo:

​1. Flavonoids (Viondoa Sumu)
​Flavonoids ni kundi kubwa la kemikali za mimea ambazo zina nguvu kubwa ya kuzuia uharibifu wa seli.

​2. Alkaloids
​Majani ya msitafeli yana alkaloids k**a coreximine na reticuline.

​3. Saponins na Tannins
​Hizi ni kemikali zinazosaidia katika usafishaji wa ndani:
​Sifa ya Diuretic (Kukojolesha): Saponins hufanya kazi k**a dawa ya asili ya kukojolesha. Hii inasaidia figo kutoa kiasi kikubwa cha chumvi (sodium) na maji yaliyozidi, jambo ambalo husafisha njia ya mkojo na kuzuia mawe kwenye figo (kidney stones).

​4. Vitamin C na Zinc
​Ingawa ni virutubisho, vipo kwa wingi kwenye majani haya:
​Kinga ya Organ: Vitamin C husaidia katika uzalishaji wa Glutathione mwilini—hii ni "alkimista" mkuu wa ini inayohusika na kugeuza sumu kuwa vitu visivyo na madhara ili viweze kutolewa mwilini

​5. Acetogenins
​Licha ya kufanya kazi dhidi ya seli za saratani, tafiti zinaonyesha kuwa acetogenins zinaweza kusaidia kupunguza uvimbe (inflammation) kwenye tishu za ini na figo, jambo linalofanya viungo hivi vifanye kazi yake ya kuchuja damu kwa ufanisi zaidi bila kulemewa na uvimbe.
​Namna Yanavyosaidia Kazi Hizo

Umelipenda somo?

Unahitaji unga wa msitafeli kutoka kwetu?
Karibu, dozi ya miezi mitatu ni Tsh 80,000

Ofisi || Mwanza || Mkolani

Mikoa yote tunafanya DELIVERY

Simu || WhatsApp
0767 925 000

Address

Mkolani
Mwanza
33112

Opening Hours

Monday 09:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 19:00
Sunday 10:00 - 17:00

Telephone

+255622925000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masha Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Masha Herbal Clinic:

Share