Arkey Health Care

Arkey Health Care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Arkey Health Care, Medical and health, brightmedics@gmail. com, Nyegezi.

Furahia
🩸Ushauri mzuri,
🩸Elimu, na
🩸Lishe Bora kwa tatizo La Aibu kubwa {Bawasiri}
👉Tanzania _&_worldwide
{Nutritionist_Nsõmi_rk}
📞Mawasiliano
Call/WhatsApp +255628857139

18/11/2024
17/11/2024

"Hamu_yote_Kwaheri!!👋👋😂

🔥 Mwanaume kuwa makini
Miongoni mwa madhara ya Bawasiri ni kushindwa kabisa kusimamisha uume Vizuri wakati wa tendo la ndoa,
Hivyo
Kukosa hamu na furaha ya tendo la ndoa kabisaaa.

🗣️Sababu.
🔥 Bawasiri hudhoofisha misuli hii 2
📌Ischiocavernosus na
📌Bulbocavernosus muscles
Ambayo husaidia uume kusimama kwa uimara wakati wa tendo la ndoa.

Mwanaume Fanya uamuzi haraka wa kutibu tatizo, Maana litapanuka zaidi na kukuongeza cancer, na kutoka choo chenye damu nyingi hivyo kuleta
Tatizo la upungufu wa damu.

🗣️Tibu tatizo hilo BILA UPASUAJI
Kwa virutubisho hivi vya asili kabisa
👉Kupata_Huduma
📞+255 628 857 139
Dr.Nsomi@brightmedics

15/11/2024

Mjamzito_Na_Bawasiri. (Itakutesa sana)
👇
👉Wakati wa ujauzito, kuna ongezeko la homoni za ujauzito, ambayo husababisha kuongezeka kwa kiasi cha damu na kusababisha mishipa ya damu kupanua. Ili mishipa hii ya damu iliyopanuka inaweza kusababisha Bawasiri.

👉Ndio maana, wanawake wajawazito wako katika hatari ya kupata Bawasiri.

MADHARA YAKE.

1. Ikimfikisha mjamzito katika kutoa choo chenye damu.
Inaweza Kusababisha upungufu wa damu, na kumdhoofisha sana mjamzito.

2. Maumivu makali zaidi, hasa anapojisaidia analazimika kutumia nguvu kubwa sana kana kwamba anataka kujifungua.

3. Siku/Wakati wa kujifungua, Ikiwa imeathiri sana (Misuli ya Re**um), Kila anapolazimu kupush mtoto atoke, Basi
{Kinyesi_Pia_Kinaweza kutoka}

📌Hivyo, Mwanamke kuwa makini na hili.
📌 Mwanaume, Msaidie haraka mkeo.

USHAURI.

✍️ Mwanamke mjamzito, Penda sana kutumia vyakula vingi vyenye nyuzinyuzi k**a vile (Matunda, Jeli, na Mbegu za chia, Parachichi, Embe,na kunywa maji mengi.

🔥 🔥 HABARI _NJEMAAA🔥🔥
🗣️Kutakuwa na Punguzo la gharama ya dozi ya Matibabu ya Bawasiri.
Kutoka Tsh 195,000/=
Hadi Tsh 185,000/=
{Kuanzia Tarehe 18/11/2024 Hadi 22/11/2024 tu}
Wasiliana na
.Nsomi
+255628857139

04/11/2024

👉 Bawasiri hujitokeza kwenye Mfumo wa Mmeng'enyo wa chakula tu.
Na kiini chake katika sehemu ya
📌 Utumbo Mpana=Bawasiri ya ndani
📌 Njia ya haja kubwa=Bawasiri ya nje.
Dalili za
✍️Miwasho
✍️choo kigumu
✍️ maumivu makali
Huathiri sana sehemu hizo.

Ukihisi tatizo lolote katika sehemu hizo.
Tembelea/Wasiliana na wataalam wa Afya, watakusaidia.

Huduma zetu
Name: Dr. Nsõmi
Mobile: +255628857139
Ushauri ni buree..
Karibu sana

04/11/2024

*BAWASIRI,/HEMORRHOIDS,*
📌Ni uvimbe wa mishipa ya damu kwenye eneo la puru (re**um) au kwenye njia ya haja kubwa.

📌Uvimbe huu unaweza kuwa wa ndani (hemorrhoids za ndani) au wa nje (hemorrhoids za nje), kutegemea na mahali ambapo mishipa imevimba.

🗣️Je utajuaje k**a una TATIZO hili la Bawasiri? Mtu mwenye bawasiri anakua na dalili zifuatazo:-*
-👉Maumivu au kuungua katika eneo la puru/haja kubwa.
-👉Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia.
-👉 Kuwashwa au kuwaka moto eneo la puru.
-👉Kuvimba au kujisikia uvimbe karibu na eneo la haja kubwa.
-👉Kutokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa.
-👉Kupata choo kigumu.
-👉Kupungukiwa NGUVU ZA KIUME😪.

*NB: Bawasiri ikikaaa muda mrefu inapelekea kufanyiwa "upasuaji", jambo ambalo linaweza likawa hatari zaidi kwa afya yako. Sh*tuka Sasa!🙅‍♂️

Kwa ajili ya msaada/Ushauri nasaha juu ya tatizo hilo,
Waweza kuwasiliana nasi kupitia
+255628857139
Karibu_Sana

Address

Brightmedics@gmail. Com
Nyegezi

Opening Hours

Monday 06:00 - 00:00
Tuesday 06:00 - 00:00
Wednesday 06:00 - 00:00
Thursday 06:00 - 00:00
Friday 06:00 - 16:00
Sunday 06:00 - 00:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arkey Health Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share