YouthTide Forum

YouthTide Forum The page is falls under Health issues,educations, counselling and New jobs opportunities with Discussions

Faham kwa Undani kuhusu YouthTide unga lishe πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
11/04/2021

Faham kwa Undani kuhusu YouthTide unga lishe
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Tumekua na tamaduni ya kuandaa unga wa lishe bila kufuata kanuni za uandaaji bora ambao umekuwa ukisababisha madhara kwa Watumiaji hasa wato...

K**a kuna watu wanahitaji kuchukua bidhaa zetu za unga lishe  kwa bei ya Jumla Tafadhali tuwasiliane,Tuna bei nafuu kabi...
02/04/2021

K**a kuna watu wanahitaji kuchukua bidhaa zetu za unga lishe kwa bei ya Jumla Tafadhali tuwasiliane,
Tuna bei nafuu kabisa zitakazo kupatia faida kubwa katika uuzaji, Tunatuma popote pale unapo patikana bure!

Tuwasiliane!
065 44 33 909
[email protected]
Au fika katika ofisi zetu zilizopo Nzega!

 YouthTide Unga Lishe sasa unapatikana mkoa wa geita, unga unapatikana maeneo yafuatayo 1.Chato2.Mganza3.Kibehe 4.Butara...
31/03/2021



YouthTide Unga Lishe sasa unapatikana mkoa wa geita, unga unapatikana maeneo yafuatayo
1.Chato
2.Mganza
3.Kibehe
4.Butarama
5.Nyisanzi
6.Kikumba itale
7.Nyamirembe na
8.Katoro

Kwa Mawasiliano zaidi wasiliana na mawakala wetu kwa Namba zifuatazo 0628686082 au 0718274413

YouthTide  sasa unaweza ifuata katika mitandao yetu ya Kijamii K**a vile facebook,twitter,Instagram na YouTubePia unawez...
29/03/2021

YouthTide sasa unaweza ifuata katika mitandao yetu ya Kijamii K**a vile facebook,twitter,Instagram na YouTube
Pia unaweza pakua Application yetu ya YouthTide kutoka play store ama bonyeza link hapa chini kwa ajili ya kupakua Application yetu

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.gcaforum

Sasa pakua Application ya YouthTide kutoka play store au bonyeza link hapa chini
29/03/2021

Sasa pakua Application ya YouthTide kutoka play store au bonyeza link hapa chini

Leo mapema niliweza kuhudhuria zahanati ya samora kwa ajili ya kutoa Elimu ya  Lishe! Na kuelezea ubora wa unga LISHE wa...
29/03/2021

Leo mapema niliweza kuhudhuria zahanati ya samora kwa ajili ya kutoa Elimu ya Lishe! Na kuelezea ubora wa unga LISHE wa YouthTide

Nashukuru kwa mapokeo ya wafanyakazi,wagonjwa na wateja! Sote tushirikiane kujenga afya zetu kwa unga bora wa lishe

YouthTide team ilipata nafasi katika kituo Cha Afya Eden Eden ajili ya Kutoa Somo la Lishe na unga bora!
29/03/2021

YouthTide team ilipata nafasi katika kituo Cha Afya Eden Eden ajili ya Kutoa Somo la Lishe na unga bora!

Katika uandaji wa Unga lishe Ni makosa sana kuweka nafaka nyingi zenye virutubishi sawa, Kila nafaka ina virutubishi na ...
28/03/2021

Katika uandaji wa Unga lishe Ni makosa sana kuweka nafaka nyingi zenye virutubishi sawa,
Kila nafaka ina virutubishi na kila kirutubishi ina kiwango tofauti na chenzake kinacho hitajika mwilini, kiwango cha kirutubishi kinapo pungua k**a inavyotakiwa unga hupoteza ubora kwa mtoto na kiwango kinapo zidi tu unga huleta madhara kwa mtoto,

Kwa kutambua hayo YouthTide Unga Lishe Tumezingatia idadi pamoja na kiwango cha nafaka sahihi katika kachanganya ili kupata LISHE yenye ubora zaidi kwa afya ya mtoto, pia tumechukua nafaka zinazo endana katika uivaji na tuka achana na nafaka zinazoweza kuhatibu unga wetu Mapema,

Hivyo unga wetu una wanga, Protein, na mafuta virutubishi hivyo vyote tumeweka kwa Ratio sahihi na inayotakiwa kwa kutumia formula ya LISHE kwa watoto ili ku-balance virutubishi vinavyo hitajika mwilini,

Tuna kila sababu ya kusema YouthTide Unga Lishe ni Unga bora zaidi kwa ajili ya Afya,

Unga Unapatikana maeneo Yafuatayo
Tabora- Nzega
Shinyanga- Kahama
Geita- Chato
Pia kwa walio mbali mikoani tunatuma!

Kwa Mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa Simu namba 065 44 33 909 au 0747276603

Sio kila unga lishe ni Bora Kwa Kutambua hilo YouthTide Forum Wanakukete Unga LISHE bora kwa ajili ya uji wa watoto kuan...
28/03/2021

Sio kila unga lishe ni Bora Kwa Kutambua hilo YouthTide Forum Wanakukete Unga LISHE bora kwa ajili ya uji wa watoto kuanzia miezi 6 mpaka miaka 5,
Ungaa huu umetengenezwa kwa nafaka zinazo endana katika uivaji na zimechanganywa kwa Ratio inavyotakiwa ili balance virutubishi sahihi kwa mtoto kwa ajili ya kujenga afya imara na bora kabisa!

Unga unapatikana
NZEGA
KAHAMA na
CHATO

Kwa Mawasiliano zaidi piga simu Namba 065 44 33 900 au 0747276603

Address

Nzega
45213

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YouthTide Forum posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to YouthTide Forum:

Shortcuts

Share