09/08/2018
Leo August 9, 2018 Mahakama ya Wilaya Bukoba chini ya Hakimu mkazi Samweli Maweda imemuhukumu miaka 30 jela mzee wa miaka 70 kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 11 wa kata ya Maruku halmashauri ya wilaya Bukoba Mkoani Kagera. Akiongea nje ya mahakama Wakili wa serikali mkoa wa Kagera Emmanuel Kahigi....