Dr Mabisi

Dr Mabisi Tunaelimisha, tunahamasisha.

Afya yako ni msingi wa maisha bora.
| Tiba | Lishe | Mazoezi | Afya ya Akili |
Wasiliana nasi: [email protected]
WhatsApp +255 652 399090

27/08/2026

Afya Bora inawezekana!!

27/08/2026

27/08/2026

Tumia huu mchanganyiko hata k**a hauna ugonjwa wowote!!

26/08/2026

TIBA nzuli ya Kupata choo kilaini..

26/08/2026

Muhimu kwa afya ya ngozi Yako!

Faida za Mboga za Majani na Matunda kwa AfyaMboga za majani na matunda ni sehemu muhimu ya lishe bora. Hutoa vitamini, m...
03/08/2026

Faida za Mboga za Majani na Matunda kwa Afya
Mboga za majani na matunda ni sehemu muhimu ya lishe bora. Hutoa vitamini, madini, nyuzinyuzi na vioksidishaji (antioxidants) vinavyosaidia kuimarisha afya.

Faida zake ni pamoja na:
🥬 1. Huongeza kinga ya mwili
Husaidia mwili kupambana na magonjwa kutokana na vitamini k**a C na A.

❤️ 2. Hulinda afya ya moyo
Ulaji wa mboga na matunda unaweza kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo k**a sehemu ya lishe bora.

🍎 3. Huboresha mmeng'enyo wa chakula
Nyuzinyuzi husaidia kuzuia choo kigumu na kuboresha afya ya utumbo.

🩸 4. Husaidia kudhibiti sukari kwenye damu
Aina nyingi za mboga na baadhi ya matunda zinaweza kusaidia katika mpangilio mzuri wa lishe kwa watu wenye kisukari.

⚖️ 5. Husaidia kudhibiti uzito
Hushibisha kwa muda mrefu huku zikiwa na kalori chache.

👁️ 6. Huboresha afya ya macho
Vitamini A na virutubisho vingine husaidia kulinda uwezo wa kuona.

🧴 7. Huboresha ngozi
Huchangia ngozi kuwa yenye afya na kung'aa.

🦴 8. Huimarisha mifupa na meno
Baadhi ya mboga na matunda hutoa madini muhimu kwa afya ya mifupa.

Ujumbe wa mwisho
"Kula mboga za majani na matunda kila siku ni uwekezaji wa afya yako ya kesho. Lishe bora ni hatua muhimu ya kuzuia magonjwa na kuishi maisha yenye afya."

MKOMBOZI SANITARIUM CLINIC 🌿
📍 Dar es Salaam | Tanga
📞 0652 399 090
"Afya Bora, Maisha Bora."

Naendelea kukukumbusha TU watu Huku wanapoba bila Upasuaji wa Moyo!!
19/07/2026

Naendelea kukukumbusha TU watu Huku wanapoba bila Upasuaji wa Moyo!!

Acha kuteseka TIBA zipo!!
17/07/2026

Acha kuteseka TIBA zipo!!

Maisha ni kuchagua—kila mlo unaamua hatima ya afya yako. Wajinga huchagua kuburudisha macho na ulimi, huku wenye busara ...
17/07/2026

Maisha ni kuchagua—kila mlo unaamua hatima ya afya yako. Wajinga huchagua kuburudisha macho na ulimi, huku wenye busara wakichagua kuburudisha tumbo na mwili.

Usiwe mjinga wa kula chakula kwa sababu kinavutia macho na kukupa ladha tamu kinywani. Kula chakula kwa sababu kinashibisha na kuujenga mwili wako.
☑️Chaguo sahihi—Afya imara
☑️Chagua kwa busara
☑️Hospitali sio nyumba ya starehe

Acha kusema nimekata tamaa,,,njoo sasa Ubebe mtoto wako!!
09/07/2026

Acha kusema nimekata tamaa,,,njoo sasa Ubebe mtoto wako!!

Address

Ngamiani
Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Mabisi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dr Mabisi:

Shortcuts

Share