23/01/2026
π© KILA UKISAFIRI NGOZI YA USO INAHARIBIKA? HII NDIO SABABU NA USHAURI! βοΈβ¨
Watu wengi hulalamika kuwa wakisafiri ngozi ya uso hubadilika, kuwa kavu, kupata vipele au kupoteza glow π
Hizi ndizo sababu kuu ππ½
πΉ Mabadiliko ya hali ya hewa β joto, baridi au upepo huathiri ngozi
πΉ Maji tofauti ya kuoshea uso β huleta irritation na chunusi
πΉ Kuvunja skincare routine β kuacha au kubadilisha products
πΉ Vumbi, uchafu & pollution β hufunga pores
πΉ Kunywa maji kidogo & kukosa usingizi β ngozi huonekana dull
π‘ USHAURI WA SKINCARE SAFARINI:
βοΈ Safiri na cleanser yako ya kawaida
βοΈ Tumia moisturizer yenye unyevu wa kutosha
βοΈ Sunscreen kila siku βοΈ hata ukiwa safarini
βοΈ Kunywa maji mengi π§
βοΈ Epuka kujaribu bidhaa mpya safarini
βοΈ Osha uso asubuhi & jioni
β¨ Kumbuka: Ngozi yako inasafiri na wewe β itunze popote ulipo!
π Hajen Cosmetics
Tupo Tanga, Barabara ya 13 β Taifa Road
π 0674 555 207
Karibu upate skincare bora na ushauri sahihi π