05/06/2026
NaturalAsilia Kids Hair Care Workshop imerudi tena!
Warsha ya siku 2 ya vitendo kwa watoto wenye umri wa miaka 6–14 kujifunza:
• Jinsi ya kuchana na kuchambua nywele
• Kutumia bidhaa sahihi
• Mitindo rahisi ya nywele
• Jinsi ya kufumua nywele kwa usalama
• Usafi wa kichwa na utunzaji wa nywele za asili
Watoto watafanya mazoezi:
1. Siku ya kwanza kwenye mdoli
2. Siku ya pili kwenye nywele zao wenyewe
Kila mtoto atapata:
✔ Lunch
✔ Starter kit ya bidhaa
✔ Vifaa vya mazoezi
✔ Shughuli za kuchora na kuburudika
MAHALI NI
📍 ARUSHA: Usa Plaza, Leganga
📅 15–16 June 2026 (Likizo time)
💰 60,000 TSH
👧🏾 Nafasi ni watoto 20 tu
Watoto waje na nywele ambazo hazijafungwa wala kusukwa.
Usajili unaendelea sasa
📞 0762 559 454
Au DM US
www.naturalasilia.com/hello