Ijue Afya Yako

Ijue Afya Yako Hapa tunatoa elimu juu ya afya yetu kwa ujumla. Karibu uijue afya yako

PATA ELIMU KUBWA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UWEZE KUTUTAFUTA KWA TIBA NA USHAURITATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIU...
16/10/2022

PATA ELIMU KUBWA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UWEZE KUTUTAFUTA KWA TIBA NA USHAURI

TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME – CHANZO, DALILI & TIBA

UTANGULIZI – LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kushiriki tendo la ndoa kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri,

Shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. atizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.

Hili tatizo huwanyima watu raha kwa kuwa na mawazo, kuwa na matatizo katika mahusiano, watu wengi wenye tatizo hili wanahitaji kutumia dawa zisizo na madhara na kubadilisha mitindo ya maisha yao ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo, cha msingi ni kuzingatia yale utakayoelekezwa.

Kuna matatizo ya kutokuweza kushiriki tendo la ndoa kikamilifu, nayo ni; kuwahi kumwanga mbegu za uzazi, Kuto kumwaga, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoamaxresdefault (1)

CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
Kuvuta sigara na unywaji wa pombe ni sababu kubwa pia ni dhambi
Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
Kisukari
Kuwa na mawazo na wasiwasi
Matumizi ya madawa mbalimbali
Umri hasa wazee
Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili
Kuwa na tatizo la kibofu
Tabia za kujichua kwa mda mrefu
Kutopata usingizi kamili
Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni:

Kuwahi kufika kileleni
Kukosa hamu ya mapenzi
Kushindwa kurudia tendo la ndoa
Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha
Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

JINSI YA KUEPUKANA NA KUPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku
Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini k**a kisukari, moyo, punguza unene na mengine
Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi
Balansi usito wako
Usivute sigara
Punguza au acha kunywa pombe
Punguza mawazo
Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9
Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi
Kunywa maji ya kutosha

TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Hili ni tatizo ambalo huwanyima raha watu wengi kwasababu linaashiria upungufu flani wa kimwili, tunawashauri watu wengi wafanye mazoezi, kula chakula bora hasa asilia na pia wanywe maji mengi ili kuimarisha afya zao. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaondolewa japo ni kwa mda mrefu kidogo, wengi hudanganywa na kupewa dawa za kuongeza nguvu pale unapoenda kujamiiana na sio dawa ya kutibu.

Tuna dawa zinazo tibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ambayo ni za asili zisizo na kemikali ambazo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa.

Dawa hizi hutibu kwa mda kulingana na ukubwa wa tatizo, ukianza kutumia baada ya wiki mbili huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa utumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendekea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.

Tunamshukru MWENYEZIMUNGU kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, MWENYEZIMUNGU hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. MWENYEZIMUNGU
tunaomba utuokoe na kutuponya AMIN

KWA TIBA NA USHAURI
TUPIGIE SIMU AU TUCHEKI KATIKA WHATSAPO NO

+255694558262
+255622137270

 #0694558262
13/10/2022

#0694558262

Je! ni ugonjwa gani hatari ambao wanaume hupata kwa kunywa maziwa?UTATUZI NI
24/09/2022

Je! ni ugonjwa gani hatari ambao wanaume hupata kwa kunywa maziwa?

UTATUZI NI

Fahamu muongozo mpya wa afya kuhusu uhusiano wa pombe na sarataniWahudumu wa afya nchini Scotland wamepewa mwongozo mpya...
24/09/2022

Fahamu muongozo mpya wa afya kuhusu uhusiano wa pombe na saratani

Wahudumu wa afya nchini Scotland wamepewa mwongozo mpya unaoangazia uhusiano kati ya pombe na saratani.
Mwongozo huo uliochapishwa na Scottish Health Action on Alcohol Problems (SHAAP), unabainisha kuwa unywaji pombe ni sababu ya hatari kwa saratani kadhaa.
Inapendekeza wataalamu wanaweza kupunguza hatari za saratani zinazohusiana na pombe kwa kusaidia wagonjwa kupunguza ulaji wao.
Mwenyekiti wa SHAAP Dk Alastair MacGilchrist alisema madhara ya pombe ni mojawapo ya masuala makubwa ya afya ya Scotland.

Matangazo.
Mnamo mwaka 2015, karibu 6.5% ya vifo nchini Scotland vilitokana na unywaji pombe, na 28% ya vifo hivyo vilitokana na saratani. Hii ilikuwa mara ya mwisho kwa takwimu hizi kuhesabiwa.
Multiple myeloma: Aina ya saratani ambayo dalili yake kuu ni maumivu ya mgongo
Mwongozo huo pia unabainisha kuwa wanywaji wa kiume wana uwezekano wa mara mbili wa kunywa zaidi ya kiwango kilichopendekezwa cha uniti 14 kwa wiki kuliko wanywaji wa k**e.
Mnamo mwaka 2019, 32% ya wanaume walizidi kikomo kilichopendekezwa cha kila wiki ikilinganishwa na 16% ya wanawake, ilisema.
Pia iliangazia kwamba viwango vya wastani vya kila wiki vya unywaji pombe unaoripotiwa binafsi huwa juu katika vikundi vya watu matajiri zaidi.
Katika mwaka huo huo, kiwango cha unywaji pombe hatarishi kilikuwa cha juu zaidi kati ya wale wanaoishi katika maeneo duni zaidi ya Uskoti (30%) na kilikuwa cha chini zaidi kati ya wale wanaoishi katika maeneo yenye watu wengi zaidi (17%).
Hata hivyo viwango vya juu zaidi vya kulazwa hospitalini vinavyohusiana na pombe na vifo mahususi vya pombe vilionekana katika maeneo yenye hali mbaya zaidi ya kijamii na kiuchumi.

'Ushahidi wa wazi'
Kulingana na miongozo ya Madaktari Wakuu wa Uingereza ya mwaka 2016 ya hatari ya chini ya unywaji pombe, kuhusiana na hatari ya saratani hakuna kiwango salama cha unywaji pombe.
Hatari zinazohusiana na saratani huanza kutoka kwa kiwango chochote cha unywaji wa kawaida na kuongezeka kwa kiwango cha pombe kinachotumiwa, mwongozo ulisema.
Dk MacGilchrist alisema mwongozo wa hivi karibuni unawapa wataalamu wa afya muhtasari wa uhusiano kati ya pombe na saratani.
Pia inaweka wazi mifumo ya matumizi ya pombe na madhara nchini Scotland kulingana na umri, jinsia na hali ya kijamii na kiuchumi.
Na inaelezea njia tofauti za matibabu na kuzuia matumizi mabaya ya pombe au hatari Dk MacGilchrist aliongeza: "Kuna ushahidi wazi kwamba pombe huongeza hatari ya kuendeleza aina nyingi za saratani.
"Wataalamu wa afya wana fursa ya kuwafahamisha wagonjwa wao kuhusu hatari kati ya pombe na saratani na hivyo kupunguza hatari ya wagonjwa hao kupata saratani zinazohusiana na pombe na madhara mengine ya pombe.

"Tunatumai kuwa chapisho hili linaweza kutumika k**a zana ya kusaidia kuelimisha wataalamu wa afya, kupunguza hatari ya saratani inayotokana na pombe, na kusaidia wale walio na shida zinazohusiana na pombe."

FAHAMU DALILI ZA AWALI ZA MTU MWENYE MSHTUKO WA MOYO.Dalili za mshtuko wa moyo zinaweza kujumuisha:Maumivu ya kifua - hi...
24/09/2022

FAHAMU DALILI ZA AWALI ZA MTU MWENYE MSHTUKO WA MOYO.

Dalili za mshtuko wa moyo zinaweza kujumuisha:

Maumivu ya kifua - hisia ya shinikizo, uzito, kubanwa au kufinya katika kifua
Maumivu katika sehemu zingine za mwili - inaweza kuhisi kana kwamba maumivu yanaenea kutoka kwa kifua chako hadi kwa mikono yako (kawaida mkono wa kushoto huathirika, lakini unaweza kuathiri mikono yote miwili), taya, shingo, mgongo na tumbo.
Kuhisi kizunguzungu au kizunguzungu
Kutokwa na jasho
Upungufu wa pumzi
Kuhisi mgonjwa au kuwa mgonjwa
Hisia nyingi za wasiwasi (sawa na kuwa na mashambulizi ya hofu)
Kukohoa au kupumua; Ingawa maumivu ya kifua mara nyingi huwa makali, baadhi ya watu wanaweza tu kupata maumivu madogo, sawa na kukosa kusaga chakula.
Ingawa dalili ya kawaida ya mshtuko wa moyo kwa wanaume na wanawake ni maumivu ya kifua, wanawake wana uwezekano mkubwa wa kupata dalili zingine k**a vile kukosa kupumua, kichefuchefu / kutapika na maumivu ya mgongo au taya.

Kampeni hiyo inaungwa mkono na watu mashuhuri k**a vile One Foot in the Grave muigizaji Richard Wilson na mtangazaji wa Sky Sports Peter Dale, anayejulikana kwa jina la Tubes.
Bw Wilson alisema: "Nimepambana na afya ya moyo wangu kwa muda, na tangu nipate mshtuko wa moyo nimefungua macho yangu kuona athari ambayo imekuwa nayo katika maisha yangu.
"Nilichoka zaidi, ninaweza kutembea kidogo na kumbukumbu yangu imeharibika pia. Jambo la kutisha zaidi ni kwamba wakati huo sikujua vya kutosha kuhusu afya ya moyo."

Tumia lishe itakayowezesha uimara wa mifupa yako.
13/09/2022

Tumia lishe itakayowezesha uimara wa mifupa yako.

Tatua changamoto ya   bila upasuaji.
05/09/2022

Tatua changamoto ya bila upasuaji.

27/08/2022

Tatua changamoto ya

23/08/2022

Maamuzi ni yako, kufanya upasuaji, kuendelea kufuga maradhi au kutibu tatizo kwa kutumia virutubisho lishe. Jitibie kwa tiba iliyokuwa sahihi, salama na ya uhakika.

23/08/2022

WhatsApp number 0622137270
Call number
0694558262
Kwa mawasiliano zaidi tutafute kupitia number hizo hapo.

23/08/2022

Tatua changamoto za viungo na mifupa kwa njia rahisi, salama na ya uhakika. ndio suluhisho.

Address

Mtoni
Zanzibar City

Telephone

+255694558262

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ijue Afya Yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share