Z-ncda Ngo

Z-ncda Ngo Zanzibar Non-Communicable Disease Alliance. Cancer, diabetes, heart- and lung-disease.

Wahudumu wa Afya pamoja wanajumuiya ya Z-NCDA katika picha ya pamoja kuelekea kilele cha siku ya saratani dunia 4/2/2021
03/02/2021

Wahudumu wa Afya pamoja wanajumuiya ya Z-NCDA katika picha ya pamoja kuelekea kilele cha siku ya saratani dunia 4/2/2021

Wananchi na Wahudumu wa Afya wakishiriki katika zoezi la Upimaji wa afya Viwanja vya Hospitali ya Wete Pemba.
03/02/2021

Wananchi na Wahudumu wa Afya wakishiriki katika zoezi la Upimaji wa afya Viwanja vya Hospitali ya Wete Pemba.

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba akifungua upimaji wa maradhi yasiombukiza kwa niaba ya Makamo wa Pili wa Rais wa SMZ kat...
03/02/2021

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba akifungua upimaji wa maradhi yasiombukiza kwa niaba ya Makamo wa Pili wa Rais wa SMZ katika viwanja vya Hospitali ya Wete Pemba.

anachama wa Z-NCDA wakishirikiana na wanajumuiya ya watu wanaoishi na maradhi ya moyo Zanzibar (ZHF) katika kuadhimisha ...
06/10/2017

anachama wa Z-NCDA wakishirikiana na wanajumuiya ya watu wanaoishi na maradhi ya moyo Zanzibar (ZHF) katika kuadhimisha siku ya maradhi ya moyo duniani ikiambatana na matembezi yaliyoanzia barabara ya mchina mwanzo kui…

wanachama wa Z-NCDA jana walifika katika kijiji cha makunduchi kwa ajili ya kufanya uchunguzi dhidi ya maradhi ya kisuka...
24/08/2017

wanachama wa Z-NCDA jana walifika katika kijiji cha makunduchi kwa ajili ya kufanya uchunguzi dhidi ya maradhi ya kisukari na shindikizo la Damu (Presha) ikiwa ni mwashughuli zao za kijukuiya

wiki iliopita wanchama wa Z-NCDA walikua na mafunzo ya kujadili mradi mpya wa afya na uzazi kwa wakina na na NCDs unaota...
24/08/2017

wiki iliopita wanchama wa Z-NCDA walikua na mafunzo ya kujadili mradi mpya wa afya na uzazi kwa wakina na na NCDs unaotarajiwa kuanza januari 2018 uliongozwa na bi Sussan wa Denmark

Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza (Z-NCDA) uliofanyika tarehe 10/6/2017, Katika ofisi za Z-NCDA Mpendae. ...
13/06/2017

Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza (Z-NCDA) uliofanyika tarehe 10/6/2017, Katika ofisi za Z-NCDA Mpendae. Ukiambatana na Uchaguzi wa viongozi wapya.

Kwa Kuadhimisha siku ya Saratani duniani 4 Febuari viongozi na wanachama wa Jumuiya ya watu wanaoishi na Saratani Zanzib...
04/02/2017

Kwa Kuadhimisha siku ya Saratani duniani 4 Febuari viongozi na wanachama wa Jumuiya ya watu wanaoishi na Saratani Zanzibar wakizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa Z-NDCA Mpendae Zanzibar.

Viongozi na wanachama wa Z-NCDA wakishiriki katika mafunzo juu ya muendelezo wa mradi. Mapema leo Katika ukumbi Wa Z-NCD...
26/01/2017

Viongozi na wanachama wa Z-NCDA wakishiriki katika mafunzo juu ya muendelezo wa mradi. Mapema leo Katika ukumbi Wa Z-NCDA Mpendae.

If you think you might be at risk of getting an NCD, it is important to get yourself screened. Here is our communication...
05/12/2016

If you think you might be at risk of getting an NCD, it is important to get yourself screened. Here is our communications intern, Peter, at the Go Blue for Breakfast at World Diabetes Day on November 14th. He is having his blood pressure and blood sugar levels measured. ZNCDA is performing regular screenings as well as the possibility for patient support at our offices in Mpendae.

Zanzibar Cancer Association is having a breast cancer screening today at Mnazi Mmoja hospital. You can still make it, if...
26/11/2016

Zanzibar Cancer Association is having a breast cancer screening today at Mnazi Mmoja hospital. You can still make it, if you are interested!

Address

Mpendae Kwa Biti Amrani, House No. D5/109
Zanzibar City

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Z-ncda Ngo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Z-ncda Ngo:

Share