Fatmaa Ameir Afya Care

Fatmaa Ameir Afya Care BORESHA AFYA & MAUSIANO YAKO

Kuna watu ukianza nao mahusiano, hata bahati yako inanyauka… mambo yanaharibika kimya kimya hata nywele kichwani zinagom...
07/05/2026

Kuna watu ukianza nao mahusiano, hata bahati yako inanyauka… mambo yanaharibika kimya kimya hata nywele kichwani zinagoma kuota 2.
Usikimbilie mapenzi bila kujua unakutana na nani.

1. Angalia namna anavyoongea na watu wengine
K**a ana dharau, matusi au anapenda kudhalilisha watu… ujue kesho ni wewe. Tabia haibadiliki kwa sababu ya mapenzi.

2. Chunguza maisha yake yalivyo sasa
Kuna watu wana migogoro kila kona kazi hakuna, amani hakuna, mipango hakuna. Ukiingia tu kwenye maisha yake, unajikuta umebeba mzigo ambao si wako.

3. Je, ana heshima na mipaka?
Mtu anayekulazimisha mambo haraka (mapenzi, pesa, au mwili) hana nia safi. Upendo wa kweli haukimbizi, unajenga taratibu.

4. Historia yake ya mahusiano ikiwezekana
Sikiliza vizuri k**a kila ex wake “ni mbaya,” jiulize… tatizo ni nani? Mara nyingi mtu huyo huyo ndiye tatizo.

5. Hisia zako zinakuambia nini?
Usipuuze ile sauti ya ndani. Ukihisi kuna kitu hakiko sawa, mara nyingi huwa ni kweli. Intuition haidanganyi.

HITIMISHO ❤️

Usikubali kuvutiwa na maneno matamu ukasahau uhalisia. Watu wengine wanakuja k**a furaha, lakini wanaondoka wamechukua amani yako yote.
Chagua kwa akili, sio hisia pekee.**

07/05/2026

**⚠️ WANAWAKE WENGI WANAPITIA HILI BILA KUJUA!**

Unajikuta:
❌ Hedhi yako haiko sawa?
❌ Unapata chunusi mara kwa mara?
❌ Uzito unaongezeka bila sababu?
❌ Unakosa hamu ya tendo la ndoa?
❌ Unahisi uchovu kila siku?

👉 Hizi zote ni dalili za **Hormone Imbalance**!

Ukizipuuzia, zinaweza kusababisha:
🚫 Ugumu wa kushika mimba
🚫 Matatizo ya uzazi k**a PCOS
🚫 Kushuka kwa confidence yako k**a mwanamke

Lakini HABARI NJEMA ni kwamba…
💚 Inawezekana kabisa kurekebisha homoni zako kwa njia salama na asilia!

Nimeandaa **PROGRAM MAALUM YA KUREKEBISHA HOMONI** itakayokusaidia:
✔ Kurudisha hedhi kuwa regular
✔ Kuongeza uwezo wa kushika mimba
✔ Kusafisha mwili (detox)
✔ Kurudisha nguvu na hamu ya mwili

🔥 Badilisha afya yako, badilisha maisha yako!

📲 **NIANDIKIE SASA:**
WhatsApp/Call: **+255712683390**

💬 *Je, umewahi kuona dalili hizi? Andika “NDIO” au “HAPANA”*

*Njia Pekee Ya Kuishinda Hofu Ni Kufanya Tu*Kushindwa kunakuja katika namna tofauti tofauti. Kushindwa kunaweza kutokea ...
02/09/2024

*Njia Pekee Ya Kuishinda Hofu Ni Kufanya Tu*

Kushindwa kunakuja katika namna tofauti tofauti. Kushindwa kunaweza kutokea kwa kufanya au kutokufanya.

Haijalishi ni matokeo gani unayoyahitaji, ningependa kusema kuwa ni bora ufanya ili ushindwe kuliko kushindwa ukiwa hata haujafanya chochote.

Hata kutumia muda mwingi kujipanga badala ya kufanya nayo ni ishara kuwa unatawaliwa na hofu ndani yako. Kila unapofanya hofu huwa inaondoka taratibu taratibu kwasababu hofu ni kuogopa kile usichotaka kitokee.

Ndoto za watu wengi zimekuwa zikifa kipindi ambacho wahusika wamekuwa wakihofia kuanza kufanya yale ambayo yatawafanya waishi maisha wayapendayo. K**a umeshaweka malengo, fanya.

Usipende kuipa hofu yako muda mrefu mpaka ukakosa muda wa wewe kufanya mambo ambayo yanahitaji tu wewe kuamka na kuanza kufanya na wala sio kujiuliza maswali mengi yasiyo na msingi wowote kwako wewe kitokuchukua hatua.

K**a unahisi unahitaji kumpigia mtu simu, basi fanya hivyo. K**a unahisi unahitaji kumwambia mtu kuwa unampenda, mwambie sasahivi. K**a unahisi kuna kitu unahitaji kukifanya k**a sehemu ya kutimiza ndoto yako, unafeli wapi sasa?!

```Kwa kuendelea kujifunzaa zaidi, hakikisha umesave namba yangu..Kisha nitumie majina yko na ulipo nami nisave ya kwako```

________________
________________

*Mindset Expert*
Call: +255712683390.
Location; ZANZIBAR

Kwanini Kusubiri Ni Bora Kuliko Kulazimisha Mambo Yatokee?Awali ya yote ni lazima ujue kuwa kila jambo hutokea kwa sabab...
14/08/2024

Kwanini Kusubiri Ni Bora Kuliko Kulazimisha Mambo Yatokee?

Awali ya yote ni lazima ujue kuwa kila jambo hutokea kwa sababu.

Yaani siku unayopanda mbegu usitegemee ndio ikawa siku ya kuchuma tunda na kuanza kulila.

Vitu vizuri huandaliwa ndani ya muda. Usipokuwa mvumilivu na mwenye subra utajikuta ukipata visivyofaa.

Haupaswi kusubiri sana. Vile vile haupaswi kuchelewa sana. Cha msingi usiwe na pupa tu.

Unaposubiri huwa kuna mambo mawili.

Jambo la kwanza ni kupata kitu kilicho bora na sahihi.

Jambo la pili ni uhakika au kujihakikishia pasina hofu na mashaka.

Hii ni falsafa halisi kabisa katika maisha ya kila siku.

Usiposubiri na kuwa mvumilivu utapakua chakula ambacho bado hakijahiva.

Kuliwahisha jambo litokee kabla ya wakati wake ni kutafuta kuyazuia yale mazuri yote yasitokee.

Ukichagua uvumilivu, utakula kilicho tayari kuliwa. Ukichagua papara, utakula kisichofaa.

Usihisi k**a muda unakuacha. Kila kitu kinatokea ndani ya wakati uliopangwa.

Mmiliki na mwanzilishi wa KFC, Colonel Harland David Sanders alifanikiwa akiwa mzee mwenye umri wa miaka 65.

Mafanikio sio umri, isipokuwa majira na wakati unapofika ni lazima tu ufanikiwe.

Ni bora kusubiri kwa muda mrefu kwa ajili ya jambo sahahi kutokea, kuliko kuharakishia jambo usilo na uhakika nalo.

Kumbuka hata Mungu hufanya kazi zake kwa nyakati na majara. Hivyo hata wewe unapaswa kuwa mvumilivu na kuendelea kusubiri majara na nyakati zilizo sahihi.

_________________________________        *VUMBI LA MKONGO*🪶_________________________________*"FAHAMU MADHARA YA MATUMIZI...
14/08/2024

_________________________________
*VUMBI LA MKONGO*🪶
_________________________________

*"FAHAMU MADHARA YA MATUMIZI YA VUMBI LA MKONGO"*

_Kwa wanaume wanaokimbilia njia za mkato za kuboost nguvu za kiume kwa mkongo na bidhaa nyingine zilizo na madhara._

● Wanaume wengi wanapenda sana njia za mkato, yaani kupata matokeo ya haraka kwa muda mfupi, bila kufahamu kuwa njia hizo huleta madhara na athari nyingi, licha ya manufaa yake kidogo yasiyo na tija.

● Imegundulika kuwa licha ya kutumia vumbi la Congo pekee, ambalo huleta ganzi, wamekuwa wakiongezea mpaka bidhaa zingine zenye kemikali ili kuhakikisha mtu anapata matokeo upesi ambayo huja na madhara makubwa.

● Siku zote ukifanya njia ya mkato ambayo haiendi kuimarisha mifumo ya mwili ili kuruhusu mwili kufanya kazi yake kwa ubora na ukatumia njia za mkato, basi jiandae tu na madhara, na haya ni baadhi tu ya madhara ya mkongo ⤵️⤵️

*FAHAMU MADHARA YA VUMBI LA MKONGO NA DAWA ZINGINE ZA KU-BOOST*⤵️

● Ukweli ni kwamba Vumbi La Congo haliongezi kabisa nguvu za kiume , Yaani kuuchochea uume uliolala usimame imara. Bali inafanya kichwa cha uume kupata ganzi (Nusu kaputi), kwaiyo wakati unafanya mapenzi ule utamu mkali unaofanya ufike kileleni (umwage) unazuiwa na ile ganzi iliyoko Kwenye kichwa cha uume.

● Unaweza kushiriki na mwanamke kwa muda mrefu zaidi bila kupata ule utamu utakaokupelekea kumwaga , na kwa mwanaume usipomwaga mpini unaendelea kuwa imara k**a simba hivyo hupelekea kumuumiza na sio kumfurahisha tena.

● Hukuacha na madhara mengi yanayoambatana na kemikali.

● Hufanya kuwa tegemezi ili kupata ujasiri, yaani bila kuupaka unakuwa hauna ujasiri na uwezo wa kushiriki.

●N.k...

● K**a bado ni muhanga wa kutumia njia hizo za mkato ili kumkomoa Mwanamke, basi tambua tu kuwa, Haumkomoi mwanamke, bali unajikomoa wewe mwenyewe, kwa kujijengea matatizo mengi sana mwilini mwako , na siku si nyingi madhara yake utayaona. Maana madhara huja kidogo kidogo ila kwa uhakika.

● *NI WAKATI SASA WA KUANZA KUIMARISHA AFYA ZETU KWA UBORA WAKE KIASILI, NA KUEPUKA NJIA ZA MKATO.📌*

*_ Unaipambania Afya Yako...... 🏋️🥗_*

*_ #....... 🥬_*

Kwa UHITAJI WA kupona kabisaa Matatizo hayaaa... wasiliana Nami Moja kw moja NIKUSHAURI uanze matibabu haraka iwezekanav...
07/08/2024

Kwa UHITAJI WA kupona kabisaa Matatizo hayaaa... wasiliana Nami Moja kw moja NIKUSHAURI uanze matibabu haraka iwezekanavyooo 📞 0712683390

```JUISI YA KARANGA NA KITUNGUU MAJI HII TUNAITA UTAMU KWA WOTE🔥JUISI HII UTAWASAIDIA;```‼️Wanaokosa hamu ya tendo la nd...
03/07/2024

```JUISI YA KARANGA NA KITUNGUU MAJI HII TUNAITA UTAMU KWA WOTE🔥

JUISI HII UTAWASAIDIA;```
‼️Wanaokosa hamu ya tendo la ndoa
‼️Wenye shida ya uke kulegea
‼️Wale wa kimoja tu chali.
‼️Wale ambao hawasikii kabisa msisimko.
‼️Wale wa milio mara kwa mara wengine wanasema gesi.
‼️Hata wale wanaotaka bibi anenepe yani ajae😆
‼️Yani hii inafanya kubane.

```MAHITAJI```
🥜Karanga mbichi robo
🧅Vitunguu maji viwili mpaka vitatu.
💧Maji ya uvuguvugu nusu lita.

```MAANDALIZI.```
Saga kwa pamoja na upate juis yake.

```MATUMIZI.```
Kunywa glass moja asubuhi na moja jioni.

Haina muda maalum unaweza tumia kila siku.

✍️ Madamfatma Health care
Whatsapp|call||0712683390
Mission, ZANZIBAR

Namna tulivyoumbwa kuna namna tumezidiana kwa kila kitu, lakini kuna changamoto za kimaisha unazoweza kuziepuka zinazope...
18/06/2024

Namna tulivyoumbwa kuna namna tumezidiana kwa kila kitu, lakini kuna changamoto za kimaisha unazoweza kuziepuka zinazopelekea uume kupungua , Utazifahamu hapa.👇

⭆ UNENE AU KITAMBI; unene au kitambi kwa mwanaume hupelekea mafuta mengi kuongezeka tumboni na maeneo mengine , hii hufanya uume uonekane mdogo na kurudi ndani kutokana na mrundikano wa mafuta kuliko ulivyokuwa kabla ya uzito mkubwa, hivyo unavyo endelea kufuga uzito mkubwa na kitambi, ni sawa na kulea maradhi.

⭆ UMRI ; umri wa mwanaume unavyozidi kuwa mkubwa uume pia huzidi kusinyaa na kuwa mdogo hii husababishwa na kupungua kwa homoni za kiume, lakini pia upungufu wa Nitric oxide inayotanua mishipa kuruhusu damu kupita vizuri kwenye mishipa.

-Hii haimaanishi kuwa kila mwanaume mwenye umri mkubwa lazima awe na hizi Changamoto, bali hutokana na namna unavyojitunza na kujijali.

⭆ KUTOSHIRIKI TENDO LA NDOA MARA KWA MARA; uume ni k**a misuli mingine ya mwili, misuli inayofanya kazi mara kwa mara hua na uwezo wa kukuwa, kutanuka na kuwa mikubwa na minene lakini misuli ikiwa haifanyishwi kazi hupungua ukubwa, hivyo kushiriki tendo la ndoa husaidia kufanya uume uweze kutanuka kwa uzuri zaidi 💪

⭆ UKOO; baadhi ya koo fulani unakuta familia nzima ina uume mdogo, sasa hapa ndipo panakuja kwenye kujifunza namna nzuri ya kuutumia uume ulionao kuhakikisha kazi inafanyika vizuri, maana unaweza ukawa na uume mdogo lakini ukajua namna ya kuutumia vizuri.

-Kamwe usisahau mazoezi ya uume, maana seli za uume huvutika, ni elastic, hivyo yanaweza kusaidia utanukaji wake ukawa mzuri zaidi.

⭆ UPASUAJI WA TEZI DUME; Tafiti zimeonyesha kwamba upasuaji wa kuondoa tezi dume husababisha uume kuingia ndani kidogo, utafiti huu ulifanyika nchini marekani kwa wanaume 126 ambao miezi kadhaa baada ya upasuaji huu walikiri kupungua kwa ukubwa wa uume, Lakini pia hisia na uwezo wa mwanaume kwa baadhi ya wanaume unaweza kupotea kabisa, au kupungua nguvu

⭆ KUPIGA PUNYETO AU KUJICHUA; Misuguano na kuuminya minya uume kwa mkono hupelek

Ikiwa unasumbuliwa na changamoto za uzazi USISITE kuwasiliana nami moja kwa Moja 📞0712683390. Fetty Natural Products
05/03/2024

Ikiwa unasumbuliwa na changamoto za uzazi USISITE kuwasiliana nami moja kwa Moja 📞0712683390. Fetty Natural Products

```HATUA 6 ZA KUJIKINGA DHIDI YA HARUFU MBAYA UKENI.📌Vaa nguo za ndani za pamba, zisizobana sana.📌Badili Nguzo zako Kila...
11/02/2024

```HATUA 6 ZA KUJIKINGA DHIDI YA HARUFU MBAYA UKENI.
📌Vaa nguo za ndani za pamba, zisizobana sana.

📌Badili Nguzo zako Kila Baada ya Kufanya Mazoezi.

📌Punguza uzito k**a inawezekana.

📌Epuka Kuflash Uke Kila Mara (Douching)
Kusafisha uke kila mara hasa kwa kutumia kemikali na sabuni inaharibu mazingira ya bacteria wazuri walinzi

📌Epuka Kutumia Spray Ukeni

📌Epuka Baadhi ya Vyakula Ambavyo ni Adui wa afya yako.
Vyakula vyenye sukari, Pombe, ngano na vyakula vilivyosindikwa huchochea ukuaji wa fangasi wa Candida.

NJIA ZA KUTUMIA ILI KUKATA HARUFU MBAYA UKENI.
📌Matunda na Mbogamboga.
Matunda yenye uchachu mfano machungwa, mapera na strawberries yana Vitamin C kwa wingi sana ambayo ni huimarisha kinga ya mwili na kusaidia utoaji wa sumu mwilini. Chakula k**a Parachichi na mboga za kijani ina Vitamn B6 na madini ya potasium ambayo huongeza hamu ya tendo la ndoa na kujenga kuta za uke hivo kuzuia hatari ya kushambuliwa mara kwa mara.

📌Kitunguu Saumu.
Kitungu saumu kinafahamika tangu miaka ya zamani kwa uwezo wake mkubwa wa kuimarisha kinga na kupambana na maambukii ya bacteria na fangasi. Unaweza kula kitunguu saumu punje mbili mara tatu kwa siku

📌Karanga na mbegu.
Matumizi ya karanga,kwenye mlo wako wa kila siku huzuia kukauka kwa uke kwa sababu kuna Vitamin E kwa wingi. Unaweza kutafuna mbegu k**a maboga, almond, karanga, walnuts na alizeti.

📌Maji safi ya Kunywa
Kiungo hichi cha uke chenye tishu laini kinahitaji maji ya kutosha ili kukiweka laini na hivo kupunguza harufu mbaya. Unapopata kiu usinywe soda kunywa maji ya kutosha.

📌Kutibu chanzo cha tatizo lako la harufu mbaya ukeni (kutokana na vipimo vya tatizo) Ni muhimu zaid,
Kuimarisha kinga ya mwili na kuzuia maambukizi ya fangasi na bacteria
Kuimarisha ukuaji wa bacteria wazuri na kurekebisha pH.

✍️ Madamfatma Health care
Whatsapp|call|
0712683390
Mission, ZANZIBAR

Address

Zanzibar

Telephone

+255776265472

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fatmaa Ameir Afya Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share