09/07/2019
Sukari ya Diabliss ni sukari rafiki kwa wagonjwa wa kisukari ambayo ni asili kwa kiwango cha asilimia Mia moja (100%) bila kemikali.
Viungo jumuisho: Miwa, *gooseberry*, pilipili Manga, Manjano, *fenugreek*, Komamanga na Tangawizi kavu.
Hutoa ladha ya kipekee ya sukari yenye kiwango cha chini cha *glycemic*, ( *g1*) kuliko sukari ya kawaida.
Sukari ya Miwa ya *Diabliss* ni ya kwanza na aina ya kipekee ambayo imetengezwa kwa kutumia mimea asili kwa ustawi na ufahamu wa mfumo wa kimaisha.
Inaweza kutumika kwa aina ya vinywaji vyote na mapishi yoyote huku ukifurahia ladha ya sukari bila uchungu baada ya kuonja au kiutumia au mabadiliko ya ladha k**a vile sukari za kemikali.